mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Mfano uliotoa ni tofauti na uwezo wa Mungu. Mzazi angekuwa na uwezo asingetaraji mpaka mwanae ahoji maumbile yake kwa kumchungulia, ndio ajue akili yake bali kabla ya chochote kutokea yeye mzazi angeshaanza kutambua na kisha kukiweka sawa. Umetoa mfano ambao unaonesha Mungu ni dhaifu asiyejua kama akili ya binadamu ipoje mpaka pale alipofanya tukio ndio katambua akili ya binadamu ilivyo
nimekupa mfano wa binaadam ili uelewe tu,maana Mungu ni mfano wake ila sio binaadam,kama utamkadiria kwa udhaifu ni sawa pia,acha tumjadili katika udhaifu chini kabisa.

