ukomo wa uwezo kiimani ni kweli haujawa limited maana unategemea imani ya binaadam husika,kwa Mungu ndiko kuna imani isiyokadirika ndio maana hata uwezo wake unaandikwa usio na kikomo.
kisayansi ni kweli hawajaweza kufanya hayo,lakini kwa uwezo wao wamefanya mengi pia ambayo yanaonyesha ni kwa jinsi gani Mungu hakuwawekea kikomo,inawezekana kumsikia na kumwona mtu aliye mamia au maelfu ya km kutoka ulipo,ameweza kusafiri melfu ya km ndani ya muda mfupi tu,na ameweza kuunda mashine zinazoweza kunyanyua vitu vizito sana.
mimi sijui kama ayubu alikosea,wewe unajua??