Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

mkuu kumbuka wakati Mungu anamuumba mwadamu haikuwa lengo lake mwanadamu kufa ila alimwambia utakapo kula mtu huo ni hakika utakufa.

Na mimi na wewe tunajua kabisa kuwa shetani ndio sababu ya mwanadamu kula lile tunda kwa maana yeye ndie alie washawishi hivyo ni Lucifer anapaswa kulaumiwa juu ya vifo vya wanadamu.
Hayo ni mawazo yako wanavyo sema viongozi wa Dini eti kwamba mungu akosei na hashindwi kitu kwa maelezo yako hapa ni kwamba mungu anakosea na anashindwa mana nasema mpango wake sio sisi kufa. Na pia kashindwa na shetani ndo mana kamuharibia mipango yake kwetu
 
Kuwa na amani Mkuu, hakuna Mungu, ni utumwa tu ulioletwa na hawa wazungu na waarabu miaka hiyoo! Kabla hao wahuni hawajaja kwenye bara letu zuri kabisa hakuna Ancestor wetu yeyote aliyejua kuhusu Yesu, Yehova, Muhamad, Allah wala upuuzi mwingine wowote unaofanana na huo!! And still waliishi vizuri zaidi kuliko sasa hivi ambapo hizo takataka zinaleta kila aina ya masononeko duniani kote
 
Kama Mungu anajua kipi anaenda kukitenda huyo binadamu wakati hata duniania hajakpeleka, inamaana yeye Mungu ndiye aliyetaka huyo binadamu aende duniani akakitende hiko. Nakupa mfano

Mimi ni fundi ujenzi, nimejenga nyumba lakini inacheki juu kwenye bati nikaona kuna tundu ambalo litasababisha nyumba kuvujisha pindi mvua ikinyesha. Lakini pamoja na kugundua hilo sijafanya chochote kurekebisha. Maana yake nimekusudia nyumba ivuje. Ni hivyo hivyo kwa Mungu, mpaka anaona binadamu akienda duniani atakuwa ni muovu maanake hayupo kamili katika kiumbwaji, laiti kama angekuwa kamili basi angefanya maamuzi yaliyo sahihi. Huyu binadamu asiyekamilika anapelekwa duniani hivyo hivyo unategemea atafanya kipi tofauti na Mungu alivyotaraji?

kwanini unaita binaadam muovu ni kiumne asiyekamilika??
 
Cha kwanza binadamu wote wameumbwa wakiwa na mapungufu (sio wakamilifu) lakini binadamu muovu ndiye binadamu pekee mwenye kiwango kikubwa cha kutokuwa mkamilifu. Kwanini?
Kwasababu uovu kwa mujibu wa imani hizi dini mbili ni matendo yasiyo faa. Hivyo yeyote anaishia kwenye matendo ya kiovu hayupo sawa na chochote kisicho sawa kina mapungufu.
 
binaadam ameumbwa na mapungufu kwamba ana nafasi ya kuwa vyoyote,lakini si sawa kusema mtu mwovu ndiye dhaifu zaidi.

utakubalina na mimi kwamba kuwa mwema si ishara ya utimamu wala uimara wowote,wema wanaugua,wena wanakufa,wema wanateseka,wema wanachukizwa pia.

kuwa dhaifu ni kwa sababu uko vurnerable,si kwa sababu umetenda maovu.
 
Mapungufu au udhaifu upo katika nyanja nyingi. Mimi nazungumzia mapungufu kwa maana utimamu wa akili na utashi.
Mtu muovu ana mapungufu katika akili na utashi. Twende kwenye uhalisia sasa;
Wewe mkorinto unaichukia sana dhambi na pia haupendi kwenda kinyume na Mungu, lakini ukikaa usiku ukatathmini matendo yako unaona kabisa kuwa kuna mahali ulimkosea Mungu hata kama kwa kijikosa kidogo tu cha kumuongopea mtu na hiyo ndiyo nature ya binadamu no one is perfect 100% na huyo muumbaji ndiyo kafanya iwe hivyo. Sasa swala linakuja kwenye kiwango cha utimamu wa huu utashi na akili vinatofautiana na ndio maana wanapatikana watu wa matendo tofauti, wa tabia tofauti tofauti na mienendo tofauti tofauti. Aliyekuumba ndiye ametaka uwe hivyo
 
sasa utimamu wa utashi wa mtu uko katika kurejea kile alichokifanya,kama mfano wako ulipo.

ndio maana kuna nafasi ya kutubu.
 
mkuu kumbuka wakati Mungu anamuumba mwadamu haikuwa lengo lake mwanadamu kufa ila alimwambia utakapo kula mtu huo ni hakika utakufa.

Na mimi na wewe tunajua kabisa kuwa shetani ndio sababu ya mwanadamu kula lile tunda kwa maana yeye ndie alie washawishi hivyo ni Lucifer anapaswa kulaumiwa juu ya vifo vya wanadamu.
Sara kwanini mpaka leo tunakufa na nikosa la mtu mwingine?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
sasa utimamu wa utashi wa mtu uko katika kurejea kile alichokifanya,kama mfano wako ulipo.

ndio maana kuna nafasi ya kutubu.
Kabla hatujaenda kwenye hoja ya kutubu je tumekubaliana ya kwamba mtu anayetenda maovu anakuwa na kiwango kikubwa cha kutokuwa na ukamilifu wa utashi na akili?
Je tumekubaliana ya kwamba huyo mtu kuwa hivyo ni mapenzi yake huyo Mungu?
 
hapana hatujakubaliana.

kutenda maovu sio kutokuwa mkamilifu,hautendi maovu kwa udhaifu mkuu.otherways dhana nzima ya ya Mungu itapoteza maana.
 
mkamilifu,tena kaumbwa siku ya 7 ya off.
Ndio leo nasikia kwako kuwa binadamu ni mkamilifu. Kama binadamu ni mkamilifu basi hapaswi kufanya makosa anabidi kuwa na sifa sawa sawa na malaika. Vipi wewe hua haufanyi makosa?
 
mkuu ndio maana nakwambia usiishi kwa story za mtaani,hapa tunajadili mambo kwa mujibu wa maandiko,hujawahi kusikia mtu anakwambia"Mungu amesema jisaidie nami nitakusaidia"??? huu ni uongo hakuna sehemu Mungu anasema hivi.

binaadam kaumbwa aje aishi duniani,anakuwa dhaifu ukimrefer kwa kiumbe kipi chenye sifa kama yake!!!
tena maandiko yanakazia,katika viumbe vyote binaadam ndiyo kiumbe bora kuliko wote.
 
Nimekuuliza swali haujanijibu. Ukisema binadamu ni mkamilifu inamaana binadamu hawezi kufanya kosa lolote lile.
Je wewe huwa haufanyi makosa ili tuanzie kwako huo ukamilifu?

Biblia inasema hivi

Muhubiri 7:20

Hakika, hakuna mtu mwadilifu duniani atendaye mema daima bila kutenda dhambi.

Marko 10:17-19

17Yesu alipoanza tena safari yake, mtu mmoja alimjia mbio, akapiga magoti mbele yake, akamwuliza, “Mwalimu mwema, nifanyeje niupate uhai wa milele?” 18Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.
 
mkuu labda hunielewi ninvyokujibu,nimekwambia ukamilivu au utimilifu wa kiumbe binaadam hauko ktka maovu au dhambi anazotenda.

tukirejea maandiko hayo chini hapo
muhubiri 7:20
sijui imekuwaje uadilifu umekuwa utimilifu,refea maelezo ya kwanza hapo huu.

marko 10:17-19

bado nasisitiza mtu mtimilifu siye yule aliye mwema.
yesu pamoja na Umungu mtu aliokuwa nao bado anaikataa sifa ya kuwa mwema,unajua kwanini???wema sio utimilifu.yesu alikuwa binaadam kwa wakati huo,ni uchuro kumwita binaadam mwema.

binaadam ametimia katika ubinaadam alio nao.
 
Naona tunaenda mbele halafu unarudi nyuma. Huko juu tulikubaliana kuwa mtu anayetenda maovu anakuwa sio mkamilifu katika nyanja ya akili na utashi hivyo kupelekea kufanya maamuzi yasiyo sahihi, saivi unakuja kukataa. Haya ngoja twende unavyotaka wewe niambie mtu anayefanya maovi ni mkamilifu je kipi kinachomfanya akosee ilihali ni mkamilifu?
 
hujakubaliana na mimi popote kwamba anayetenda maovu kuwa sio mkamilifu.

niambie kwanza tafsiri ya neno udhaifu,ni kutenda dhambi umeitoa wapi??ili twende vizuri.
 
Back
Top Bottom