Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 571
- 1,829
Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier.
Mkate wananua mlimani mall tu
Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa,
Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth.
Nilijihisi niko mwenyewe ila as time goes on najiona siko mwenyewe, tupo wengi wenye depression humu🤣🤣