Wengi wetu Afrika hawabebeki hata ufanyaje!

Wengi wetu Afrika hawabebeki hata ufanyaje!

siku ukifika afghstan, irani au pakistan kuna kitu utamaduni wao unaitwa bacha bazi ni unyama na ushetani, huu utamaduni wanaume watu wazima wanachukuwa watoto wa kiume wadogo miaka labda 10 hasa kutoka familia masikini wanawaweka ndani na kuwachezea kwa kuwalawiti, wanachezeshwa ngoma kuwavalisha magauni na kuwafila, na wanao fanya hivi ni wale maelite matajiri, yaani ni jambo la kujivunia, ni lazima uwe na uwezo ndiyo upate privillege ya kuchezea watoto watoto wa kiume, ni kawaida ira, pakistani na afghstan.
hivyo kama ulifikiri watu weusi tumelaaniwa haujatembea bado.

google kuhusu bacha bazi, ni neno la ki-persia i.e kiirani

i bless the day Wamisionari walikanyaga ardhi yetu ...
Sasa hiki ndo kigezo cha kujivunia kuwa mmatumbi?

What a pitty way of thinking dude.

Kwani hayo mataifa yaliyo endelea hakuna wapuuzi wachache?

Let's not compare our state of illiteracy to other people's bad culture, it's them na sisi ndo kitu pekee tuna weza. Comparing, hata mzungu leo akianzisha trend ya kuvaa cheni mapajani mmbongo atafuata tu
 
nimekujibu hivyo kwa maana umetumia neno sisi ni "watu pekee duniani" tunaofanya blah blah, ndiyo nikakwambia hatuko pekee yetu, ingawaje tuna matatizo lkn ukitembea hii dunia kuna mambo huko asia ya kishetani ambayo ni ya kawaida kwao lkn ushetani hata by tanzagiza standards ...
 
Nakubaliana na POV yako ila naona kabisa kwa wamatumbi sio special case hili ni janga lisilo koma
 
Na umatumbi halisi ndio huu uliouonyesha hapo Umeamka tu unawaongelea watu ambao hawali kwako...
Maisha ni matamu sana kila mtu akifanya yanayomhusu
HIvi kwani siku hizi mtoto wa jirani akikosea hakosolewi kisa humlishi?
 
Kumbe ugali dagaa ni chakula cha maskini🤔
Hapana, ni bei rahisi tu ila dagaa anafaida sana hasa madini ya chuma.
Wamatumbi huendekeza mlo huo huo. Hawataki balanced diet ndo maana wamekomaa sana
 
Dagaa gani hilo ambalo ni bei rahisi?
Dagaa kg 1 bei gani
Nyama kg 1 bei gani
Kilo moja ya dagaa utaweza kulinganisha na ya nyama.

Kuna watu wanakula kilo moja week 2 mfulilizo na nyama akinunua kilo ana kula siku tu
 
Vyote havina maana , mbio za maisha ni zile zile ;kuzaliwa na kufa . Hayo mengine ni ujinga wa kujifananisha , kama mwanaume usipende kujifananisha kabisa.
ni kweli kabsa uwezi kujifananisha na mtu yeyote wew ni wa pekee dunia nzima hakuna mtu kawa wew jikubali watu waache wafanye wanavyotaka
 
Maskini gani huyo familia yake inakula kg ya nyama siku 1?🤔
Kilo moja ya nyama inatoa minofu mingapi?
Gawanya hiyo minofu kwa watu watatu minimum alaf wale mara mbili mchana na jioni
 
Back
Top Bottom