Wengi wetu Afrika hawabebeki hata ufanyaje!

Hakika itoshe kusema wamatumbi(ngozi nyeusi) hawatofautiani na nyumbu tu

Wamatumbi ndo watu pekee wanaweza kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight bila kukinai

Wamatumbi ndio watu pekee wanao kwenda shule lakini wakabaki kuamini ushirikina

Wamatumbi ndo watu pekee watakao kushauri uache pombe na umalaya wakati ndo wao wamuwindao mkeo.

Wamatumbi ndo watu pekee wakusemawo vibaya ukiteleza na wakati wewe ndo uliowatoa kwenye dimbwi la umaskini

Wamatumbi ndo watu pekee wasio amini katika jitihada na mafanikio pasipo kutoa kafara

Ndio watu pekee washindiawo ugali dagaa huku wakimiliki iPhone 17 pro max

Ndo watu pekee wasio penda ustaarabu wa kufuata protocol wanapenda shortcut

Ndo watu pekee wasio na u rafiki wa kudumu anakuchekea usoni wakati ukimpa kisogo anakusngenya

Hakika wamatumbi ni jamii mbaya sana duniani, ni watu wasio bebeka...😔

Mwenye nongwa na yeye ni mmatumbi basi afanye kama hajasikia... Aamke blue Monday hii akaendele kufanya kitu kile kile kwa miaka 50.

Nimemaliza.
Ugonjwa ulionao ni kujichukia, ni kama vile watu wanavyokuwa wepesi kuua mwizi wa kuku, au simu, lakini wakisikia waziri kaiba bilioni 100,hata kumrushia jiwe tu wanaogopa, hasira zao watazimalizia kwa wanyonge waliokaribu nao, SA wameumiza wahamiaji haramu, weusi kwa vile ni rahisi kuwafikia,na kupunguza hasira, hawana uwezo wa kwenda Cape Town, Pretoria, wakavsmia maeneo ya wenye mipesa Yao, ni rahisi kuvamia tandale, kawe, kitunda, jichanganye ufike,masaki, Oyster Bay!
 
Wrong perception
Kwani hao sio wamatumbi? Read quietly and understand.
 
Hakika itoshe kusema wamatumbi(ngozi nyeusi) hawatofautiani na nyumbu tu

Wamatumbi ndo watu pekee wanaweza kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight bila kukinai

Wamatumbi ndio watu pekee wanao kwenda shule lakini wakabaki kuamini ushirikina

Wamatumbi ndo watu pekee watakao kushauri uache pombe na umalaya wakati ndo wao wamuwindao mkeo.

Wamatumbi ndo watu pekee wakusemawo vibaya ukiteleza na wakati wewe ndo uliowatoa kwenye dimbwi la umaskini

Wamatumbi ndo watu pekee wasio amini katika jitihada na mafanikio pasipo kutoa kafara

Ndio watu pekee washindiawo ugali dagaa huku wakimiliki iPhone 17 pro max

Ndo watu pekee wasio penda ustaarabu wa kufuata protocol wanapenda shortcut

Ndo watu pekee wasio na u rafiki wa kudumu anakuchekea usoni wakati ukimpa kisogo anakusngenya

Hakika wamatumbi ni jamii mbaya sana duniani, ni watu wasio bebeka...😔

Mwenye nongwa na yeye ni mmatumbi basi afanye kama hajasikia... Aamke blue Monday hii akaendele kufanya kitu kile kile kwa miaka 50.

Nimemaliza.
Wamatumbi Corruption wanaiita connection.
 
Back
Top Bottom