W'END INAANZA HIVI: ..tufuate njia..

W'END INAANZA HIVI: ..tufuate njia..

Mie nafikiri niwashauri watanzania wenzangu hebu wkend hii itumieni kujadili juu ya matokeo ya wanenu,mtastarehe baadae!
 
Msisahau kutuombea sisi wenye zambi.......ngoja niwahi kwenye kanyumba kadogo kangu viserengeti bois visije vikakanyatia.
 
Msisahau kutuombea sisi wenye zambi.......ngoja niwahi kwenye kanyumba kadogo kangu viserengeti bois visije vikakanyatia.
.
Bishanga.. "Umeshndwa kukesha nami hata saa 1?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom