Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

d48940b07ac672c5d1e2d5fa1aa815fd33656bdd0d62e899bf1b714098a7df7eeefdda67ab50954c2500783affc9320434662c82af902e0f9e167b218ab97b545f59ea6a5023fe6db10f5725d2092d5d24801883cddfd1603015030
 
Simfahamu vizuri sana bi Wema, lakini isije ikawa yeye ni kati ya mabinti ambao wanakuwa na bahati mbaya za kuangukia relationship mbaya (za kukurupuka na kufikiri wapendwa kumbe watumika). Matokeo yake anamwagwa na yeye kuishia kupaparikia relationship nyingine tena. If this goes on and on, ni yeye ndio atakayeonekana 'kunguru asiyefugika' na siyo mwanaume. Just think of hao wakaka alioachana nao, are they not into new relationships?
Bibie Dina Kwa Historia yake hii Wema hawezi kukaa na Mpenzi mmoja mpaka A Balance sana amapate mtu makini ndio anaweza kukaa na kuolewa pasipo na hivyo atakuwa akizunguka kama Kunguru asiye fugika hebu soma Historia yake Wema Sepetu hapa chini

Wema Sepetu

Miss​
Tanzania2006

Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28 Septemba, 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2006.

Maisha ya awali, elimu, na sanaa

Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika shule moja tu iitwayo
"Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam.

Kipaji zaidi cha Wema kiligundulika katika sanaa ya filamu, ambapo alifanikiwa kucheza vema kabisa katika filamu ya
A Point of No Return akishirikiana na mchezaji filamu maarufu wa Kitanzania Steven Kanumba.

Amekuwa na mahusiano na watu maarufu wengi wa Tanzania wakiwemo Mr.Blue,Charlz Baba,Steven Kanumba ,james fredrick, Diamond Platnumz na wengine wengi,ingawa kwa muda huu bado haijajulikana wazi ana mahusiano na nani. Pia Wema amekuwa

akijulikana kwa kuwa na sauti ndogo ndogo. Wema alivishwa pete ya uchumba na msanii maarufu wa bongofleva Diamond. Lakini kwa sasa wameshaachana ambapo Diamond kwa sasa ana mahusiano na Jokate Mwegelo. Pamoja na yote hayo,binti huyu amelelewa na kuishi kama mtu wa Magharibi
(Ulaya).

Source.
http://sw.wikipedia.org/wiki/Wema_Sepetu
 
Mkuu George J Minja Pamoja na mvuto wake wema hatulii na Mwanamme mmoja kazi yake kubadilisha wanaume kama nguo ya ndani mtu anavyobadilisha tabia sio nzuri hiyo leo ana huyu kesho yule yule mvuto wake hauna faida yoyote wema ni sawasaw na kunguru anaye hama hama.

mie naonaga kama huyu dada anajua kupenda but hajapata wa kupendwa nae, sijui uchaguzi mbaya ama vipi, but bora yeye anafanya hadharani wengine wetu tunafanya makubwa zaidi yake sema tu hatuna jina/kwa kujificha, hajapata wa kumpenda tu, kanapendeka sana tu.
 
bibie Nyamayao Pamoja na hivyo unavyosema hajampata mtu wa kufanana nae kitabia ndio maana kila mwanamme akianzana nae hakawi kuachana nae Tabia ya wema kimapenzi hii hapa chini:

UHUSIANO WA KIMAPENZI
(Punda na Mizani)
Tabia ya Punda ya haraka haraka. Vishindo na kutumia nguvu bila kufikiria, hulainishwa au kuzimwa na diplomasia, uerevu na ujanja wa mizani. Punda vile vile hupendezwa na uwezo au kipaji cha mahaba walichonacho wenye nyota ya mizani.

Wema akitaka ampate mume wa ukweli basi ampate mwanamme mwenye nyota ya NYOTA YA PUNDA ndie atakuwa ni mume wake wa maisha Mwanamme aliyezaliwa

tarehe
kati ya tarehe 21st March mpaka tarehe 19 April ya mwaka wowote. Akimpata mtu wa kuzaliwa Tarehe hizo basi atakuwa ni mume wake

wa kufa na kuzikana lakini hao wengine wanamchezea maisha yake tu kwa sababu yeye wema kazaliwa Tarehe 28 Septemba na nyota yake ni Mizani mwenzi wake ni nyota ya Punda na akimpata mtu

aliyezaliwa kuanzia tarehe 21st March mpaka tarehe 19 April ya mwaka wowote basi ndio wataelewana vizuri kabisa na ndio atakuwa ni mume wake wa maisha huu ndio ushauri wangu mimi.

Chanzo. MziziMkavu. Email Fewgoodman@hotmail.com
 
Uwiiii, kikombe cha kuwa na mtotot wa kambo kama wewe naomba kila siku kinipite

Mtoto gani anatuchanganyia Bhange kwenye wali??
Afu tunalewa nyumba nzima? Utamharibu Blaine

kwetu sie waswahili kila mtoto wa ndugu ni mwanao. Ila mie inabidi niwe dadako mkulu manake Kongosho ni mamangu wa kambo, lol. So gfsonwin unamuita mama pia, thawa?
 
Last edited by a moderator:
Nasikia dau lake limepaa kweli bila Tsh.2m humegi mzigo huo kwa huu mwaka
 
Hivi haya ya nyota huwa yanaaminiwa??

bibie Nyamayao Pamoja na hivyo unavyosema hajampata mtu wa kufanana nae kitabia ndio maana kila mwanamme akianzana nae hakawi kuachana nae Tabia ya wema kimapenzi hii hapa chini:

UHUSIANO WA KIMAPENZI
(Punda na Mizani)
Tabia ya Punda ya haraka haraka. Vishindo na kutumia nguvu bila kufikiria, hulainishwa au kuzimwa na diplomasia, uerevu na ujanja wa mizani. Punda vile vile hupendezwa na uwezo au kipaji cha mahaba walichonacho wenye nyota ya mizani.

Wema akitaka ampate mume wa ukweli basi ampate mwanamme mwenye nyota ya NYOTA YA PUNDA ndie atakuwa ni mume wake wa maisha Mwanamme aliyezaliwa

tarehe
kati ya tarehe 21st March mpaka tarehe 19 April ya mwaka wowote. Akimpata mtu wa kuzaliwa Tarehe hizo basi atakuwa ni mume wake

wa kufa na kuzikana lakini hao wengine wanamchezea maisha yake tu kwa sababu yeye wema kazaliwa Tarehe 28 Septemba na nyota yake ni Mizani mwenzi wake ni nyota ya Punda na akimpata mtu

aliyezaliwa kuanzia tarehe 21st March mpaka tarehe 19 April ya mwaka wowote basi ndio wataelewana vizuri kabisa na ndio atakuwa ni mume wake wa maisha huu ndio ushauri wangu mimi.

Chanzo. MziziMkavu. Email Fewgoodman@hotmail.com
 
Ila huyu mtoto ana kitu, basi tu hajaongozwa akitumie wapi.

Ona uzi wake tu
There are currently 60 users browsing this thread. (24 members and 36 guests)
 
Ila huyu mtoto ana kitu, basi tu hajaongozwa akitumie wapi.

Ona uzi wake tu
There are currently 60 users browsing this thread. (24 members and 36 guests)

mtoto huyu anapenda sana kuonja onja kila size akipata hogo la jang'ombe anakumbuka bamia akipata bamia anakumbuka ukuni akipata ukuni anakumbuka tango maisha yanasonga
 
Ha ha ha ha a ha ha, hujatulia kabisa wewe

Anapenda 'radha' tofauti tofauti

mtoto huyu anapenda sana kuonja onja kila size akipata hogo la jang'ombe anakumbuka bamia akipata bamia anakumbuka ukuni akipata ukuni anakumbuka tango maisha yanasonga
 
Back
Top Bottom