Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

Mashine ya huyu dada imeingia shaft nyingi sana,hivi haoni ni hatari kwake sababu sidhani kwamba anatumia condom muda wote na kws wote hao. Tumuombee!
 
After introducing her house, Now, she is introducing her "hubby", what is the next introduction?
Am sure kitakachofuata ni jamaa kuachwa na kutambulishwa mwingine.....chezea wema wewe......huyu dada itafikia kipindi hata akitembea uchi hakuna atakayeshangaa.
 
lakini wema anamvuto sana aisee
Mkuu George J Minja Pamoja na mvuto wake wema hatulii na Mwanamme mmoja kazi yake kubadilisha wanaume kama nguo ya ndani mtu anavyobadilisha tabia sio nzuri hiyo leo ana huyu kesho yule yule mvuto wake hauna faida yoyote wema ni sawasaw na kunguru anaye hama hama.
 
Last edited by a moderator:
sawa amejichubua lkn hajazeeka sura manake sio skin aging kwake zaid ya kuwa mweupe. ukweli ni kwamba ana mvuto ila tabia zake zinafanya watu wamclassify kwa namna ambazo ni mbaya tu na hata afanye nn bado ataonekana mwovu unless abadilike juu ya kudandia wanaume.

nmetafakari hivi wanaume waliowah kuwa nae kimahusiano huwa wanajiskiaje nashindwa kuelewa kabisa, na kuonyesha kwamba yuakoa juu zaid akipigwa chini miez miwili mingi anapata mbadala. kweli bidada ana mvuto.........LOL!
mwenye no yake ya simu sitaki msimu upite bila......
 
wima na dayamondi wanashindana kuvua nguo za ndani!! utadhani walilelewa kwenye danguro halafu wanajiita "kioo cha jamii" :A S angry:. ukipata malezi mazuri mshukuru Mungu kwa kukupa wazazi waliojituma na kutimiza wajibu
 
RISASIFRONT2.jpg

wema akipata busu na mpenzi wake mpya


Kila la Kheri Wema Sepetu.
 
Nonsence, achaneni na wema hamna issue zingine watanzania bwana, hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom