Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

IMG01423-20110709-0117.jpg



Wema%2Bna%2BDiamond.jpg
 
Pengine anachofurahia ni hili tunalolifanya sasa, yaani ni misifa tu, huenda hata haoni tofauti kwenye hilo tendo kwani angekwishaonja iliyo tamu zaidi ya kumfanya atulie nayo!

hahaha yawezekana yeye anaona ujiko alafu anapewa promo na wapenzi wengi wanamiminika kutuma maombi wagegede kwa hiyo anawapanga kweli list
 
....Nasikia nae ni bata!na analazimishia kabisa ndio haja yake na mzuka unatulia!mtoto ana figure nzuri sana basi tu kwenye miti...
 

Katika wanaume walimchujisha Wema huyu Jumbe, alimfubaisha msichana wa watu kama kaniki iliyofuliwa na Omo.

All in all wa mama tujenge urafiki na watoto Wetu aw kike, tuweze kuwashauri Vema phylosophy za mahusiano na kuhusiana kimapenzi kabla hawajaonja dudu
 
He he he, kumbe wewe ni dada yangu mdogo?

Familia yetu kubwa jamani, hadi nilitaka kukusahau

weee shia adabu yako mie dada yako mkubwa ..........lolz!!
mwanao Blaine anapaswa aniite mamkubwa umeelewa?? nakushangaa unanisahau ilihali mm do nilikuwa nakufulia nepi na kukutawaza ulipokuwa mdogo. tena umesahu kuna siku nilikuunguza kwa maji ya moto mgongoni wakati nakuogesha.
 
Last edited by a moderator:
....Nasikia nae ni bata!na analazimishia kabisa ndio haja yake na mzuka unatulia!mtoto ana figure nzuri sana basi tu kwenye miti...
 
khaaa! hivi hapa hiki ni nini nacho?? naskia kutapika aagrrrrrhhhhhhhh!
kwanza tu inaonekana wamelewa bwiiiiiiiiii, halafu alivyomlalia like hata kuvuliwa nguo avunjiwe mayai hatajali. istoshe huyo mvulana mwenyewe mbaya mungu nisamehe sijaumba ila aaaaaaah! hapana basi na hilo pozi ndo ikaonekana uchafu uchafu.
 
Back
Top Bottom