Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
RISASIFRONT2.jpg

wema akipata busu na mpenzi wake mpya

Du! Kweli huyu changu jiko la mchina kama siyo daladala. Yaani anabeba kila kinachopita karibu naye! Nadhani miwaya itamsaidia kutulia kama siyo kuchusha na kususwa.
 
Dogo nasikia ana mkwanja....
Ila kaingia choo cha kike YSSUP kibao mjini za ukweli zilizotulia ma hazijatumika yeye kaenda kwa YSSUP ya huyu... kweli maisha ni full of... malizieni
 
After introducing her house, Now, she is introducing her "hubby", what is the next introduction?
 
Sasa si ndoo mkorogo unazeesha.

We hujawahi kuona mtoto mdogo sura ka Bi Kidude kwa sababu ya mipombe? Anazeeka kwa pombe huyo.
sawa amejichubua lkn hajazeeka sura manake sio skin aging kwake zaid ya kuwa mweupe. ukweli ni kwamba ana mvuto ila tabia zake zinafanya watu wamclassify kwa namna ambazo ni mbaya tu na hata afanye nn bado ataonekana mwovu unless abadilike juu ya kudandia wanaume.

nmetafakari hivi wanaume waliowah kuwa nae kimahusiano huwa wanajiskiaje nashindwa kuelewa kabisa, na kuonyesha kwamba yuakoa juu zaid akipigwa chini miez miwili mingi anapata mbadala. kweli bidada ana mvuto.........LOL!
 
Biashara matangazo,ikibidi promosheni au kujitolea kwa wateja ili kuikuza vizuri.
 
sawa amejichubua lkn hajazeeka sura manake sio skin aging kwake zaid ya kuwa mweupe. ukweli ni kwamba ana mvuto ila tabia zake zinafanya watu wamclassify kwa namna ambazo ni mbaya tu na hata afanye nn bado ataonekana mwovu unless abadilike juu ya kudandia wanaume.

nmetafakari hivi wanaume waliowah kuwa nae kimahusiano huwa wanajiskiaje nashindwa kuelewa kabisa, na kuonyesha kwamba yuakoa juu zaid akipigwa chini miez miwili mingi anapata mbadala. kweli bidada ana mvuto.........LOL!

Mwanamke akishajichubua tu kwangu anakosa mvuto.

Kama nataka mwanamke mweupe kwa nini nisitafute mweupe asilia?
 
mwanamke akishajichubua tu kwangu anakosa mvuto.

Kama nataka mwanamke mweupe kwa nini nisitafute mweupe asilia?

hahahah! Kiranga bana kumbe umesema kazeeka kwasababu ya dislikes zako sio?? Lkn sio kweli kwamba kazeeka.

Ukweli ni kwamba kujichubua ni kubaya sana hasa matumizi ya hydroquinoine na mercury. Waache wangojee melanoma carcinoma.
 
Last edited by a moderator:
hahahah! Kiranga bana kumbe umesema kazeeka kwasababu ya dislikes zako sio?? Lkn sio kweli kwamba kazeeka.

Ukweli ni kwamba kujichubua ni kubaya sana hasa matumizi ya hydroquinoine na mercury. Waache wangojee melanoma carcinoma.

Kuzeeka as in ku age.

Mzee anaweza asizeeke kutokana na anavyojiweka, na kijana akazeeka.

Wazoefu tukitaka kujua umri sehemu moja ambayo haiongopi ni mikono.

Na hiyo mikono ishaanza kuchoka, whether kwa age au mkorogo.

Net result = kuzeeka.

Mie ndo maana nikaacha ugimbi mwaka huu.
 
kwahiyo siku hizi wewe ni mtu wa maziwa sio??
hongera sana kwa hilo.
 
Back
Top Bottom