Ni hivi punde nimeiona hii kupitia blog ya www. miss Jestina george.com,kwamba wema sepetu msanii mwenye kila aina ya vituko lukuki,kwamba ni miongoni mwa watanzania ambao wako mbioni kutua katika lile shindano la Big brother afrika,2013.
My take:hivi ni namna gani huu mchakato wa kupata wawakilishi wa taifa hili huko big brother afrika unavyoendeshwa?
Je ni katika upana gani mchakato huu hutangazwa nchi nzima ili watu wengi waweze kujitokeza ili kumpata mtu sahihi mwenye upeo mpana mwenye kuweza kuchanganua mambo kulingana na dunia ya leo.
Ebu wadau kwenye hili tueleweshane kuhusu hnii multichoice na jinsi inavyofanya shughuli zake hapa nchini.

msaidie mkuu matusi ya nini!?hivi wewe kwa akili yako unaona big brother afrika na uwakilishi wa nchi ni jambo la kujivunia kama taifa....acha us...e!
Zamaradi na wewe una mambo, vp mjengoni wazima lakini.muache mtoto wa watu, wewe ambae sio devil haya mpige mawe
Zamaradi na wewe una mambo, vp mjengoni wazima lakini.
niko poa kabisa, naona Shafii wamemuengua kugombea TFF ungemsgauri aachane na mpira wa kiswahili utampasua kichwa bureWazima, habari ya kwako?
Me kipindi changu ni take one na movie leo, mpira wapi na wapiniko poa kabisa, naona Shafii wamemuengua kugombea TFF ungemsgauri aachane na mpira wa kiswahili utampasua kichwa bure