tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 21
kuna habari zimesambaa mjini leo kwamba baada ya kushawishiwa sana na watu hatimaye yule mwanadafada mrembo na star wa move za kibongo Wema Sepetu amechukua form ya kuomba kushiriki shindano la Big Brother Africa linafanyika nchini Afrika ya kusini baadaye mwaka huu!