Wema Sepetu ataka kugombea ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema Sepetu ataka kugombea ubunge

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Saint Ivuga, Jun 21, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,513
  Likes Received: 19,932
  Trophy Points: 280
  [h=2]Saturday, June 18, 2011[/h][h=3]WEMA SEPETU ATAKA KUGOMBEA UBUNGE[/h]
  Posted by Abby Hass on 11:44 PM

  [​IMG]
  Wema akiwa na Cate

  HE! Mhusika rasmi katika ‘industry’ ya filamu za Kibongo, Wema Abraham Sepetu (pichani) ametoa kauli iliyojaa mshtuko kuwa, anajipanga kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015.

  Akizungumzia na ‘The Five Star Paper’, Risasi Jumamosi ndani ya Hoteli ya The Atriums iliyopo Sinza-Afrikasana, Dar es Salaam juzikati, Wema ambaye ni Miss Tanzania 2006/07 alisema kuwa, katika mipango na ndoto zake za miaka minne ijayo, ni pamoja na kugombea nafasi ya ubunge.

  Wema alifunguka kwamba, nyuma ya mpango huo kuna baba yake ambaye aliwahi kutumikia siasa kwa ngazi ya kidiplomasia ikiwa ni pamoja na kuwa balozi ambaye amekuwa akimshauri mara kwa mara kujikita kwenye kilinge cha siasa.

  “Mwazo nilikuwa silifikirii sana jambo hilo, lakini baba amekuwa ‘akini-inspire’ mno.
  “Nimeshaanza maandalizi kuelekea 2015, naomba Watanzania wanipe sapoti,” alisema Wema.
  Alipoulizwa chama na jimbo atakalogombea, Wema alisema:

  “Kuhusu chama nitaangalia kitakachokuwa na nguvu hadi kufikia 2014. Jimbo nitakalogombea bado nalitafiti hivyo nitaliweka hadharani ‘leita’.”

  Wema ambaye kwa sasa ‘anatoka’ kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amekuwa akikumbwa na skendo za hapa na pale lakini sasa ameahidi kubadilika ili kujijenga kisiasa​
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Atagombea chama kitakachokuwa na nguvu, 'kuhusu chama nitaangalia chama chenye nguvu..' mhh! ALL THE BEST WEMA.
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Madam ubunge sio sawa na ulimbwete.
   
 4. d

  doctore. Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu nae anaelekea ukichaa
   
 5. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wema jiangalie wewe kwanza kabla ya kuangalia chama chenye nguvu. je wewe una nguvu?
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ivi anaujua ubunge uyu au anausikia
  ila kwa bongo sitashangaa.....
  all the best mamito
   
 7. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,185
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  Ndo hao akina miti mirefu.
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda ubunge wa umalaya ndiyo utapata ukawawakilishe bunge lao lakinia siyo hili la watu makini.
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kwa nini asijaribu bahati yake viti maalum ccm?
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani what is a big deal with Ubunge?

  We have Komba, Rostam, Mr II, why not Wema?

  Please, please, please, do not make it a big deal. I agree with you that we have bright wabunge, Tindu Lissu, Mnyiak, Zitto kwabwe, but still we have others who are .....useless materials....

  Please, give her a break, mwacheni!
   
 11. M

  Mkomandaa Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Yaliyopita si ndwele, na si ajabu kuwa ilikuwa utoto tu. Kwa miaka minne ijayo onesha kwamba umekua na utapata hiyo sapoti unayoitafuta. Kila la heri.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  kwa kupitia CCM inawezekana!
   
 13. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  kwani wewe ulifikiria kuna option nyingine zaidi ya hiyo?
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  au kabugia viagra nini? bilashaka amejitangaza rasmi kwa wanamagamba ili waanze kumhudumia apite bila kupingwa au viti maalum vya jk. CDM hapamfai kabisaaaaaaaaaa...
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kwa ccm ubunge hauna tofauti na ulimwende! wale walimwende wa viti (vikalio) maalum wa CCM wanajua walichokwenda kukifanya huko bungeni?
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nakutakia kila la kheli!!
   
 17. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ivi na Rostam nae ni msanii? naona umemuweka kwenye kundi la Mr II na Komba!
   
 18. z

  zamlock JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ah ah zimemtimia vizuri? Haswaaaaaaaaa?
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  aiseeee... agawe tu nanihii kuna naafasi za bure viti maalyumu
   
 20. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Bado kanumba na wengine wa maigizo watajaa bungeni. Hata mkulu naye si maigizo tu?? wacha aende Maana mtumbwi hauna mwenyewe ujanja kupata!!
   
Loading...