Wema Sepetu aonesha alama ya Freemason liveeee!

Tatizo lenu mmeshadanganywa sana na wachungaji uchwara mpaka sasa mnaboa.Hivi wewe leo hii watu8 unarudi nyumbani unakuta binti yako mdogo amechora kwenye karatasi au kupiga picha na kuweka hiyo sign, utakuja kutuambia hapa kuwa sasa mwanangu kapotea, kajiunga freemason? Kweli??!!! Mnaudhi sana tangu mjue juujuu kuhusu freemason.

hahahaa...kila kitu ni mipango mkuu, ishu za imani huwa haziji kwa bahati mbaya au coincidence. There is a pattern, sequence.
hivyo mkuu hakuna kitu kinatokea accidentally, believe me or not haijalishi WEMA anajua anachokifanya au hajui in a spiritual world it means a lot and someone somewhere is being praised for what WEMA was tryin to show off
 
hahahhaha naona umezichunguza sana hizi picha mana umeonekana kugundua mengi tuko pamoja mkuu mana na mm nimegundua magoti ya wema yalivo meusiiiii
Kwani na wewe hii ni picha yako?
avatar73087_3.gif
 
Mara nyingi najiuliza sipati Jibu walah, hivi wabongo akili zetu zimejambiwa ushuzi, au zina nini jamaniiiii?maana tunapenda sana kushadadia vitu hatuvijui tunaongeaongea ovyooo Na kila mtu kujifanya anajua Zaidi ya mwenzio! Yaani sasa hivi mtu huhemi kila kitu freemaass freemaass tumechokaaaaaaaaa!!! Leteni ishu zingine jama! Asanteni kwa kunisoma
 
Ukisoma habari za free masons, mwanamke si mwanachama. Wao wanadeal Na me tu.
 
Fotoshop angalia kichwa hicho kimepachikwa stuka.

Aisee kumbe sasa nimeamini kuwa ccm mko humu jf kubisha kila jambo......kwa taarifa yako hizo ni picha halisi na huyo ni wema na jack kweli......hata jana kwenye kipindi cha zamaradi clouds tv walirudia kuonyesha hilo pambano la wema na jack....eti fotoshop khaaa.....kama hujui ni busara pia kukaa kimya!
 
Jamani hii kitu nimeisoma mahali, nikaona si vibaya nikiwarushia wanaJF hasa ambao hawajaiona. Soma mwenyewe basi...SIKU chache baada ya staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kuripotiwa kufunga ndoa mjini Dubai, mchumba wa staa huyo aliyetambulika kwa jina moja tu la Jeff amesema kuwa, anashangazwa na Aunt kuolewa huku akiwa na ujauzito wake, Amani linashuka na mistari ya habari hii.
Akizungumza na Amani jijini Dar hivi karibuni, Jeff amesema kuwa taarifa za kuolewa kwa Aunt alizipata akiwa nchini China na kushtuka sana.
“Kinachonishangza ni huyo jamaa anafungaje ndoa na mwanamke ambaye ana ujauzito wangu wa miezi sita ambao aliondoka nao kwenda Dubai?” alihoji Jeff.
Jeff aliendelea kutiririka kama mtu alikuwa akiimba mashairi ya Muziki wa Injili kuwa, kingine kinachomuumiza ni tabia ya Aunt kumuomba fedha za matumizi akiwa Dubai huku akijua kwamba amefunga ndoa na mtu mwingine.
“Wanawake ni mama zetu lakini ni wauaji wakubwa, inakuwaje anagawa mimba ya mtu kwa mwanaume mwingine halafu mbaya zaidi nilipokuwa China kila wiki alikuwa akiniomba fedha za matumizi nami nikawa namuagiza aende sehemu kuchukua kumbe ni mke wa mtu!” alishangaa Jeff.
Juhudi za kumpata Aunt ili kuthibitisha madai hayo ya ujauzito hazikuweza kufua dafu baada ya simu yake anayoitumia huko Umangani kutokuwa hewani.
Jambo lingine lililomshtua Jeff ni kusikia kuwa aliyemuoa Aunt huko Dubai anaitwa Sunday Dimonte kwani msanii huyo ‘alisevu’ namba yake kwa kutumia jina hilo.
“Nilipomuuliza kwa nini ananisevu kwa jina la Dimonte, Aunt aliniambia kuwa jina hilo lilimaanisha mpenzi kwa Lugha ya Kifaransa,” alisema kwa masikitiko Jeff.
 
mbona nimesikia toka Clouds FM toka kwa Zamaradi Mketema kwamba huyo bi shosti ataolewa October mwaka huu
 
Kuna wanaume wengine Wanapenda Sana kuchafuliana majina,Ukute uongo mtupuuu ametaka tu kumdhalilisha mwenzie! Kwani alilazimishwa atume hizo pesa? Na ana uhakika gani km mimba ni yake au ya aliyemuoa? Always mtendwa akitendwa uhusi kaonewaa,wanaume mnataka ufirauni muufanye nyinyi mkifanyiwa mtabweka kila kona!! Big up anti Ezekiel,akukomeee miaka Mia Saba!!
 
huyo jeff ana uhakika gani kama hiyo mimba yake? Wahenga waliposema amjuae baba wa mtoto ni mama anajua walimaanisha nini?????
 
Back
Top Bottom