Weledi wa makamba

Weledi wa makamba

Makamba anaelimu ya darasa la saba, nasikia aliwahi kuwa mwalimu , kisha mwanajeshi. zaidi ya yooote ndio mwanaCCM mwenye akili zaidi , ikihisiwa IQ ni kubwa kuliko woooote na anaaminika zaidi, na anakarama ya uongozi kuliko ccm wooote na ndio maana kwa kutumia uwezo wake wakufikiri alishawishi kuajiriwa kwa Tabwe Hiza , Chiligati kama wasaidizi wa mwenyekiti wa ccm Taifa, ni yeye alieshauri fomu yakutafuta wadhamini Ya JK itembezwe na Ridhwani.kile kichwa adimu ccm.


Nakuaminia kwa hili! Ni Mwenye IQ Kubwa kuliko wote Huko CCM!
 
Back
Top Bottom