Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Hahahahaha...... Hii orodha imenifanya nicheke kwa loud spika lol
Mtoto mzuri, bigup Nicas Mtei na Sweetlady.
Mtoto mzuri, bigup Nicas Mtei na Sweetlady.
Wow!!!!! Mke Mwenza zamu yangu lini kupika 'mtori?
nawe kwa umbea lazima ulipata A
Nawe ondoa upuuzi wako hapa......... sweetlady ni hausgeli wangu na ana ujauzito wa miezi sita mpaka sasa.
We unaonekana ni aina ya wale wanaohudhuria misiba afu wanasema marehemu alisoma naye darasa moja bila kujua kama marehemu ni mtoto mchanga
Hahahaha tena A+ lol
We mdada....... Hajambo mtoto???...... Hope ulinifadhia supu yangu
Hahahahahah....... Nimependa hiyo ya kufungua bucha lol...... Mungi wewe lazima utakuwa mchagaNicas Mtei hajui kama DNA nayo inaweza kuwa hacked! usiliache hilo dili akili kumkichwa! tena mwambie stock ijae kwa wingi. supu kwa sana, mbuzi mzima kila baada ya siku mbili, usijali manke ukishindwa tunafungua bucha letu
macho yake hayana ushrikiano