Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
kweli kabisa. MMU imekuwa jukwaa la utoto sasa. inakatisha tamaa.
babu kaongea kwa masikitiko jamani. naona mode walikisikia
matesha kafika??
kweli kabisa. MMU imekuwa jukwaa la utoto sasa. inakatisha tamaa.
babu kaongea kwa masikitiko jamani. naona mode walikisikia
matesha kafika??
Weee ichana kwa umbea utasutwa na kigodoro!!! Khaaa
Hahahaha umenifurahisha sana.Mie siwezi kumendea kwa mume wa mtu isitoshe ninae wangu yanini kumendea?
Mkuu unasheria kali sana, haonekani siku hizi, unamfungia, ila safi sana, mambo kama haya hayawezi kutokea, nitafuata nyayo zako.
Nlitaka kushangaa....my wifi anamendea...???
Anadhani nammendea mume wake.Na wakati wanaume wakisukuma wamejaa huku kwetu
Hahahahahaah........... kafika wapi?
Ngoja nikakuchungulie.....:cool2:
aisee asante! nimeanza pepa leo! though ni somo la maelezo, lakini hm! hm! asikwambie mtu!
aisee asante! nimeanza pepa leo! though ni somo la maelezo, lakini hm! hm! asikwambie mtu!
kameletwa huku kamekazwa kama nini! all in all namshukuru Mola nimefanya salama na kumaliza!
mishe zimeendaje leo mamii?
bado bado kidogo shem! nina kamwaka kazima aisee sijakamaliza kabisa!Jamani shem bado unasoma?mie najua ulishamaliza?
NO! mambo yanaingiliana sana kh!We Excel unasoma chuo gani mnachoanza mtihani leo? Nijuavyo mimi wengi wamemaliza
aisee asante! nimeanza pepa leo! though ni somo la maelezo, lakini hm! hm! asikwambie mtu!
kameletwa huku kamekazwa kama nini! all in all namshukuru Mola nimefanya salama na kumaliza!
mishe zimeendaje leo mamii?
ichana, ujue huyu binti anaegombaniwa hapa.
si chepuko kwangu, nilimwanzaga mimi naona na wengine wanataka kujaribu.
ni mzuri lakini.
Ok.duh pole bhana.hope utapga na kumalza fresh
In diva's voice....mwanasheria wangu kanikataza kuongelea jambo hilii...bwahahahaaaa