Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Nakwambia my wi yani wabaya tuna shida?Ila uzuri wa mtu upo machoni so na sie tutapata wakutupenda na ubaya wetu
Hakuna mbaya dunia hii shostto...as long as sabun za roho zpo kbao benk..
Nakwambia my wi yani wabaya tuna shida?Ila uzuri wa mtu upo machoni so na sie tutapata wakutupenda na ubaya wetu
ingepelekwa CC
Hakuna mbaya dunia hii shostto...as long as sabun za roho zpo kbao benk..
Best tupo dilemma cos kila upande unasema charty ni wake
Na bibie hatokelezei aseme ukweli nani kipenz cha roho yake
Nimekupenda bure my dia
ichana, ujue huyu binti anaegombaniwa hapa.
si chepuko kwangu, nilimwanzaga mimi naona na wengine wanataka kujaribu.
ni mzuri lakini.
tuko kwenye maombolezo...
lala tuu udaku ni mpaka hii misiba iishe...
Aaaah ngoja nilale maana nilikuwa nasubiri kupata nakala yangu.