Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

1. Mcha MUNGU
2. Awe na elimu kiasi
3. ajue kupika
4. anayejisitiri
5. mwenye upendo kwa watu wote
6. mrefu ila sio sana
7. asiwe mnena sana
8. asiwe wale wanaotaka 50% ya mshahara wakati MUNGU anahitaji 10% tu.
9. asiwe na umbea umbea
10. awe msafi asiyenuka k
11. ajue kufua nguo za mume
n.k
 
1. Mcha MUNGU
2. Awe na elimu kiasi
3. ajue kupika
4. anayejisitiri
5. mwenye upendo kwa watu wote
6. mrefu ila sio sana
7. asiwe mnena sana
8. asiwe wale wanaotaka 50% ya mshahara wakati MUNGU anahitaji 10% tu.
9. asiwe na umbea umbea
10. awe msafi asiyenuka k
11. ajue kufua nguo za mume
n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom