Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Wewe keyboard warrior, wenzako wapo front; uwezi kujua uchungu wa kunyimwa sauti kama wao.

Ata siku za maandamano upo JF una type unaogopa virungu, wakati wao ndio wanaokutana na misuko suko ya kwenda polisi na kulala magerezani.

It’s only easy when you don’t have to do it. Hakuna mwana JF au mwanaharakati huko Twitter mwenye kuelewa pain walizopitia hakina Mdee.

Watu wakuamua kwenda bungeni au wasiende ni wao Bulaya, Matiko, Mdee et al maana ndio wanaoucheza huo mziki, sio cowards kama nyie.
Kama wao ndio waucheza huo Muziki na wana mbinu mbadala za kuingia Bungeni....kwa nini sasa huwa wanakuja kutupigia magoti Wanachama ili tuwape kura. Siasa ni ujinga na usanii tu...Am very happpy that i didnt vote. Sijutii kwa hilo asilani
 
Hata mbunye wameliwa sana mwenyekiti wao! Wanajitoa ufahamu
Shida zote wao ndio wanaozijua, wafuasi wengi wa CDM hawana uhalali wa maamuzi yao kwa sababu awajitokezi pale wanapohitaji wapo kwenye mitandao tu.

Kwa ivyo haki ya kuamua kwenda bungeni au la; hayo pia yanatakiwa kuwa maamuzi yao, sio mtu aliekimbilia Belgium na familia yake.
 
Kama wao ndio waucheza huo Muziki na wana mbinu mbadala za kuingia Bungeni....kwa nini sasa huwa wanakuja kutupigia magoti Wanachama ili tuwape kura. Siasa ni ujinga na usanii tu...Am very happpy that i didnt vote. Sijutii kwa hilo asilani
Hiyo ni opportunity ya kuendelea kupaza sauti zao, kwa sababu mkiitwa mtaani amuendi na mtu kama wewe unakiri kabisa kura wala upigi. Hila unataka waendelee kuumia tu kwa ajili yako.

Kwa ivyo tusiwaamulie pia kwenye maamuzi yao.
 
Shida zote wao ndio wanaozijua, wafuasi wengi wa CDM hawana uhalali wa maamuzi yao kwa sababu awajitokezi pale wanapohitaji wapo kwenye mitandao.

Kwa ivyo haki ya kuamua kwenda bungeni au la; hayo pia yanatakiwa kuwa maamuzi yao, sio mtu aliekimbilia Belgium na familia yake.
Yuko huko Belgium anakula bata na mabeberu, huku anawapangia chadema!! Maajabu ya nane ya dunia.
 
Serikali inazalisha na kufundisha "WANASIASA NA RAIA" kuwa sio wazalendo. Taifa letu la kesho halitakua na viongozi wazalendo.

Serikali inavyotengeneza sinema za kununua (Kwa rushwa) wapinzani na kwa vitisho, inafundisha na kutuaminisha kwamba siasa ni "KUJALI TUMBO LAKO" pia "VITA DHIDI YA RUSHWA HAIWEZEKANI".

Vyombo vya dola (hasa vya usalama) vime lawitiwa na viongozi wachache baada ya kujitoa kwenye mfumo wa "VYOMBO VYA USALAMA" na kua "VYOMBO VYA SIASA", credibility imekufa, division of power/delegated legislation hakuna, havina hadhi tena kama vyombo vya usalama, na hakuna raia anaeviamini kwasasa hivi.

Imefikia hatua raia wanashindwa kutofautisha kati ya "KUWA ASKARI POLISI NA VIBARAKA WA CCM", raia wanaona askari ni kibaraka na sio mtu wa kumwamini. Kwasababu jeshi la polisi limekubali kutumika kisiasa.

NB tumeshudia OCD wakiimba mapambio ya CCM. Na hakuna hatua za kinidhamu walichukuliwa.

Hii, tunajenga "UADUI WA NDANI YA TAIFA", na hakuna vita mbaya kama kujenga uadui wa ndani (Katika familia, ni rahisi kupambana na adui wa nje ya familia, kuliko kupigana na adui wa ndani ya familia).

Uadui wa ndani ya taifa ni njia rahisi ya kuruhusu maadui wa nje ya taifa.

Serikali isilalamike kama inavyopenda kulalamika "KUNA BAADHI YA WATU SIO WAZALENDO WA NCHI YETU". Yenyewe ndio inazalisha hao watu, yenyewe ndio inaharibu uzalendo kwa raia, yenyewe ndio inajenga chuki na kuvunja uaminifu kwa raia.

Yaliofanyika jana ni kashfa kubwa kitaifa na duniani. TISS, POLISI, TAKUKURU wanatakiwa watoe "MAJIBU YA KURIDHISHA KWA WANANCHI NA DUNIA". Kukaa kimya, raia na dunia tutaamini wamehusika katika "UVUNJIFU WA SHERIA NA KATIBA YA NCHI".


CHA KUJIULIZA:

Uchafu huu wote pamoja na kuliangamiza taifa, unafanyika kwasababu gani?

Jibu, kwaajili ya viongozi wachache wa CCM (Wasiojali wala kuogopa amani ya nchi kuvunjika, raia kufa, taifa kuangamia) wenye tamaa ya kushika madaraka kwa miaka 5 ijayo.
Hapo mwisho hapo
 
Mnyika anasema...

Uhakika nilio nao, hao 19 walioenda kuapa, walishirikiana na ofisi za NEC, pamoja na Bunge kughushi nyaraka za chama, kujiteua bila kikao na kujipeleka kwenda kuapa. Huu ni USALITI mkubwa. Wote 19 wanafahamu orodha haiwezi kwenda NEC bila kupitishwa na Kamati Kuu ikiwa na saini ya Katibu Mkuu na mihuri ya chama. Na mimi sijasaini wala Manaibu wangu. Sasa NEC watueleze hiyo orodha waliyopewa ina saini ya nani?

Kughushi ni jinai. Na ni jambo la aibu kama Ofisi ya Bunge na Tume ya Uchaguzi wanaweza kushirikiana na watu wachache ndani ya chama kufanya jinai ya kughushi kwa maslahi yao wenyewe. Naomba wanachama wa CHADEMA, mtoe maoni yenu ni hatua gani zichukuliwe dhidi ya akina Halima Mdee na wenzake. Maoni hayo yawasilishwe kabla ya kikao cha kamati kuu Novemba 27.

Ieleweke hawa sio wabunge wa CHADEMA. Ni wanachama wa CHADEMA walioamua kutumia mwavuli wa Chama kunajisi heshima zao na heshima ya chama chao. CHADEMA hatuwatambui. Ni wabunge wa Viti Maalum kwa matakwa ya CCM, ni Wabunge wa NEC na ni Wabunge wa Spika Ndugai. Kwa ujumla CCM imeamua kujiundia kambi yake ya upinzani Bungeni ili kuokoa Trilioni 2 za wafadhili zisipotee."

Moja ya mambo ya msingi katika nchi huru kujenga taasisi imara ambazo hazitegemei mtu bali mifumo imara itakayofanya taasisi isimame hata asipokuwepo fulani.

NEC, DPP, Bunge n.k wanahusishwa katika jinai. Tafakari kama Tanzania ina taasisi na mifumo au kitu gani?
Mnyika,Lissu na Chadema yenu hakuna wa kumuamini, wote ni waongo,mara oh tumeibiwa ,mara oh tunafuatiliwa ,mara oh hatuko salama,mara oh tutashitaki ICC ,ni kama watoto vile wanaocheza kidali poo au wacheza bao,ambao wanatakata na kujenga nyumba kwenye bao.
 
Yuko huko Belgium anakula bata na mabeberu, huku anawapangia chadema!! Maajabu ya nane ya dunia.
Tena ata kazi afanyi huko analipwa ‘disability allowance’ sawa na tsh 3m kwa mwezi, nyumba anayoishi bure kodi analipiwa na serikali, elimu ya wanae bure mpaka chuo, matibabu ya afya bure, mkewe nae anapewa hela ya child support na care allowance ya kumwangalia mumewe.

Halafu huku anataka wenzake wale vumbi.
 
Hiyo ni opportunity ya kuendelea kupaza sauti zao, kwa sababu mkiitwa mtaani amuendi na mtu kama wewe unakiri kabisa kura wala upigi. Hila unataka waendelee kuumia tu kwa ajili yako.

Kwa ivyo tusiwaamulie pia kwenye maamuzi yao.
Asante sana. Nimekuelewa kumbe ni maamuzi yao.
 
Back
Top Bottom