MAMA: Hivi ni kwani mnaendekeza udini na ukanda kupeana madaraka, mbaya zaidi mtu mmoja mnapa nyazifu kibao? PINDA:Mimi huwa sishirikishwi katika uteuzi wa viongozi ngazi za juu.MAMA: Vipi kuhusu watoto wangu mnapango nao wa kuwapa japo Wizara kama sio kuongoza dola kama mnavyo wandaa watoto Mwinyi na Kawawa?PINDA:Mama nitaufikisha ujumbe huu kwa Kikwete japo hashauriki.MAMA: Kamwambie pia kuwa huku Mara sasa ni bora achie CDM wachukue majimbo yote maana vurugu za siasa na ukabila zinatukosesha usingizi hasa sisi wazee,hivyo ni bora awachie CDM watawle kupunguza vurugu maana hata wawakilishi wetu Wasira na Nyambari wanaongea upuuzi mtupu mbungeni na kusinzia ovyo.PINDA: Uko sahihi kabisa mama haya najionea mwenyewe mjengoni na watanzania wote na mashaidi juu uzembe na upuuzi wa wabunge hawa.