DARESALAAM 1993
Carina shosti mbona unaniangushaaaa. Mambo yote tayariiii? Mi nakutegemea kwenye maandalizi ya hii surprise party si unajua kaka yako amegraduate college ndo anarudi hapa Bongo? Sasa i dont expect anything go wrong in any way. Nime kuweka incharge wa kufatilia hii surprise party inaenda inavotakiwa.
Mom dont worry as i told you i got this, everything is going according go plan. Relax, party is my thing. Akamtoa shaka mama mtu. Basi bi Koku akashusha pumzi na kujitahidi ku relax ila anashindwa. Carina remind me who and who is invited again, si unajua kicha yangu haiko vizuri na mimi nimeanza kuzeeka sahivi mwanangu, i know i know i am a bit slow, but when you get to be over 45 years old you will understand.
Mooooommm! Okay lets go over the list for the hundreth time. We have Minister of Defence, from the army we have Grand pa, Retired Lieutenant General Mujungu, Retired liutenant general Mushi, Lieutenant general Mafuru, Lieutenant general Rweshogera, Major general Mzava, Major general Semgoa, Major general Gamba, Major general Molleli . Brigedia general Ali, Brigedia general Kusekwa, Brigedia general Maro, Birgedia general Khamis, Kanali Mwaijage, Kanali Sanga, Kanali Ilomo, mama bwana wako wengi sanaa jeshi zimaa limealikwaaa wengine hata hujawahi kuwaonaa, wanajuana na mzee mwenzao. Majirani ndo usiseme, wahaya wenzako wote wa mji huu wamealikwa, ndugu ndo usiseme, si wako sio wa Mzee. Yaani hii sio graduation party ni harusi.
Bi Koku akatafakari kwanza juu ya hilo. Anamwambia Carina unafikiri maandalizi yametosha tusiongeze kitu au kuboresha mahali. Sitaki kumdissapoint Collins si unajua hajawahi kuja Africa na kule tulimuacha boarding baada ya kupata scholarship he must be home sick, na si umesikia amegraduate top of the class. Sasa nataka kumfanyia kitu kikubwaaa.
Carina akawa amekaa ameshika tamaaa kwa kuchoka haya maongezi ,aana mwezi wote huo maongezi ndo hayo hayo tu hamna lingine. Kama Majesty the King ndo anarudi. Akabakia tu kashika tamaa, maana kila kitu kilikiwa tayari, beyond expectation ya wazazi wake ila ile mama yake kutokujiamini ndo kuliko mboaaa.
Mda ukawadia familia wakamfata airport na kuongoza ukumbini, Ndo kumsurprise na hio party ya kumpongeza kumaliza collage na kufaulu vizuri. Collins yeye party hakufurahia kihivo kama kumuona mama yake. Ila party ilinogaaa balaaa. Mzee Mjungu anamuuliza Koku haya mambo aliokushauri nani? Carina wetu huyu huyu.! Koku anamwambia ndiooo, Carina huyu huyu. Mujungu akasema aiseee mke wangu tumezeeka watoto wamekua , Carina yupo vizuriiii.
Party kiukwi ilipendeza sanaa, ikaisha wakarudi nyumbani kwao Upanga.Mwanzoni Collins alikuwa anapata shida maana mambo tofautiii kabisaaa na huko Uk. Carina anamwambia si bora umekuja 1993 baada ya mzee Ruksa kuruhusu hivi vitu vyote kuuzwa nchini. Ungekuja 1989 ndo ungedataaaa. Ooooooooh! Wanavosema ungekuja enzi za mwalimu 1885 kushuka chini ndo kabisaaaa unhekuwa disapointed sanaaa. Kulikuwa giza nene kabisaaa. Collins akawa anashangaa kama hayo ndo maendeleo basi kibokoo.
Baba yake akawa anamtafutia placement jeshini, Collins akakataa yeye hataki kuwa mwanajeshi. Akawa ndo anamuulizia kwa ndugu zake wengine kwenye mashirika kama kuna placements ana kijana wake katoka UK kama itapatikana nafasi. On the mean time akawa anajitolea kawa coach tema ya jeshini, na anapumzika kwanza. Wakaenda ngorongoro na mamy yake na Carina, wakaenda na Serengeti, , Zanzibar. Ile life style yake ya UK hakutaka kuiacha.
Kule Upanga saa kumi na moja lazima akimbie mpaka Masaki na kurudi. Na jioni pia lazima akimbie na kufanha aerobics za kutosha. Jeshini napo anafundisha tema za jeshi kwa kiwango cha UK, wanamichezo wenyewe wakawa wanamkubali kuwa coach anajua nini anakifanya. Afu vile mdogo kijana mwenzao wa mtoniii ndo balaaa. Anawaazima cassete na movies ambazo bongo bado kuingia. Na sababu scholaship yake ilikuwa ya michezo alishazoea kutrain sanaa. Mda mwingi alikiwa anautumia kwenye pitch.
Mademu wa Upanga nao wakaanza kujigonga si mtu kaja kadondokaa toka majuuu balaa hilo. Carina akaanza tena kupata offer na kiwa famous sasa. Na u teenager basi na hivi mama mtu ashajikibali mshamba anamsikiliza Carina amuelekeza mambo yanavoendaa. Carina ndo anampotezaaa anampotezaa bi mkubwa. Koku maisha bongo ni very cheap, na kazi yake aliokuwa anafanya UK ni sio proffesional hivo alivorudi bongo akawa kazi yake kunywa, kurelax na kucheza golf gymkana basi. Anapiga story na wake za mabalozi trying to catch up alichopoteza ujanani wake.
Maana Koku aliolewa mdogo sanaaa, Mjungu ndo mwanaume wake wa kwanza kumbikiri na ndo kumuoa kabisaaa. Na aliolewa na miaka 18. Sasa kuolewa na kuolewa akabeba mimba mwaka huo huo. Kuhangaika malezi na nini mda ukamkimbia. Kwenda UK mume mwenyewe mpigajiii akawa anaogopa kuwa na marafiki manake watajua anapigwa na mume wamreport aachike kurudi bongo itakiwaje.
Kiukweli ujana ulimpitaaa bila kuufaidi. Akakumbuka alichelewa kupata bwana mpaka miaka 18 hana bwana wala hatongozwi mpaka akahisi yeye mbaya labda au hana mvutooo kabisaa. Mpaka siku akaenda kwenye party na rafiki yake Koku gonza akamwambia ana bwana wa urayaaa, kuna party ya vijana wa urayaa waende nae atapata kijana wa urayaaa. Ndo wakaenda hio party na ushamba ushamba wake na alivokiwa mwembamba mti mkavuuuuu, mrefuu.
Kweli party ilinoga hatariii, wakawepo vijana wa urayaaa, ila akatokea kumuona mjungu kipindi hiko mjungu yupo rank za chini ndo kwanzaa mgeni jeshini anawahudumia ma officer. Akapata danga officer likamwambia liko urusi. Ila kila mda lazima aangalie kwa Mjungu, na anakuta mjungu anamuangaliaaa. Basi akamnongoneza koku gonza yule kaka mzuriii, black beauty. Koku akamkatishaaa bwana weeeee hana rank yule mbwa tu humu jeshini atakusaidia nini. Deal na maofficer mambo ya urayaaaa. We vipiiii.
Kila akikaa anamuangalia, wanagongana macho basi anamchekea. Huku na huku mjungu akampa kinote chini ya bia njoo police messy kesho saa 11 jioni niulizie Mjungu counter. Akawa kakiminya kimtindo officer hakukiona. Kesho akaenda akamuulizia, wakaonana. Mjungu mnywajii, akalewa chakariii, akamrudisha kwao wakisindikizwa na rafiki wa mjungu.
Kuanzia hapo lazima mjungu amfate kwao jioni wakanywe bia. Mpakaa koku akaanza kuwa nae mlevi. Akienda shule kufundisha anakuwa mzitoo kwa kukesha. Wakawa wamekaa mda wako wote kila mtu anajua Mjungu bwana wake. Ila hamuombi mambo wala nini. Akawa haelewielewi inakuwaje.
Akamwambia Koku Gonza majanja wake, Koku akawa ana complain Koku Shubi anachezea maisha, Mjungu hana kitu hawezi kutoka kimaisha kibaya ni mlevii. Shubi akamwambia mimi nimefika bei kwa Mjungu nampendaaa, i care about him nimeridhikaaa kabisaa. Hanipi chochote zaidi ya bia ila nafsi yangu imetosheka na napenda kuwa ane kuwa na familia nae sasa nishauri hii problem tunafanya vipi?
Koku G akamwambia sababu umeamua kuinvest kwa mjungu, type ile ya wanaume unatakiwa kujiongezaaa. Kama mkienda kunywa unamuwahi kabla hajalewa kumwambia nataka kupajua kwako. Twende ukanioneshe kwako, hivo mapemaaa. Akilewa atakupeleka na akikupeleka kule lazima mambo atatakaaa.
Shubi akafata maelekezo ya Koku G, akawa anamwambia Mjungu mi nataka nikapajue kwako, Mjungu akasema sawaaa. Kama kawaida full shangwee mpaka usiku wa manane. Akataka kumpotezea amrudishe kwake, Shubi akakazaa si tulikubaliana tunaenda kwako. Mjungu akakubali. Ndo kwenda wote mpaka Ilala kapanga chumba kimojaaa. Ana kitanda tu na shuka mbili. Hali ilikuwa mbayaaa. Akamkumbuka Koku G ushauri wake afocus kwa Ma Officer. Sababu ya ulevi ule hakuomba mchezo wala nini. Akawahi kutoka saa 11 maana alitakiwa kikosini siku hio akamwambia fungua ampe Bi Zai.
Shubi ndo kuchota kusafisha chumbaa, kadeki ndoo 4 ndo kukangaa. Kafua zile shuka 2 (mnacheka mnafikiria mazuri hahahaaa) Akaenda kwakwe na hakwenda shule akatoa taarifa anaumwa sanaa. Funguo hakumpa bi Zai wala nini. Wakati anaondoka Bi Zai akamuuliza mbona funguo hunipi? Akamjibu narudi sasa hivi. Mchana karudi na jiko la mkaa na sufuria na vyombo vyake. Na ndoo. Akapika chakula. Mjunhu kurudi ndo kukuta chakula kinanukiaaa. Jioni akamuaga mi naondoka. Akamwambia subiri ndo kupeana sasa mambo, yale mambo yetu ya kikubwa. Koku kupiga mikelele mpaka kazibwa mdomo. Baada ya zoezi akawa hana hamu na Koku G kumdanganya haiumii loo. Anaenda kuoga miguu pande kama katahiriwa. Mjungu anamwambia tembea vizurii bwanaa. Kurudi anakomaa kuondoka. Akamwambia unaenda wapi bwanaa kachukue nguo uje kukaa hapa. Mmmh! Akawa akiwaza ile kazi inavouma kama unakatwa ngozi mmmmh roho haitakiii. Mjungu anambembeleza tukirudia haiumi, mwenye uta enjoy nakwambia. Mmmmmh! Akakubali kishingo upande. Wamaefanya mara 3 ndo kidogo akaanza kuenjoy ila cha baridi alikionaaa. Akawa anajitahidi kukizoea chumba Ashazoea kwake chumba na sebule akavumilia kukubali.
Basi wakawa wanakaa wote, akachukua nyumba kubwa jeshini. Mjungu akiwa hajanywa ni very romantic n understanding utampendaaa. Yaani anajua kujali na kumhandle mwanamke. Na yale mambo mseme mfanye hajalewa mbona utafurahiiii. Badae akamuoa, zamani mambo sio makubwaa kuhivooo kuolewa harusi kijijini msomaa. Walivorudi mambo kama kawaida jioni wanatoka out, mwanaume anaudumia fresh, raha ya kuolewa akaiona. Koku G anasaga lami na ma officer tu. Mwaka huo huo akabeba mimba ndo kash kash zilipoanzia. Yeye hatoki tena, akikaa ndani mume anachelewa akija kalewa analalamika anapigwa na mimba yake.
Asubuhi akijua kampiga anamletea zawadi na kumuomba msamaha sanaa kama sio yeye. Kesho anapigwa tena. Ukafika mda akasimashwa kazi ya kufundisha kapelekwa kijijini akazilie kwa baba mkwe. Uzuzri baba mkwe alikiwa mkubwa wa jeshi mstaafu ila utawala wa Nyerere hakuw fisadi so hakuwa na kitu. Kufika kule baba mkwe akamshauri arudi tu mjini, wanaume sio wa kuwaamini. Yeye takaa msoma kule mwenzie ataoa. Akamwambia nenda huko huko hospital zipo kaendelee ma kazi asikubabaishe. Akaa wiki tu kijijini baba mkwe akamrudisha na kumchimba biti Mjungu kuwa Koku hatakiwi kuacha kazi.
Akajifungua Collins, maisha hayo hayo ugomvi kidogo tu anapigwaaa. Baadae Mungu kafungua njia Mjungu kapata chansi la kwenda ubalozi wa kijeshi Wingereza na kufanya mafunzo huko na akaambiwa achukue familia yake. Ndo Koku kuingia UK na watoto. Siku anamuaga Koku G roho ilimtokaaa. Hapo ana mimba kubwaa kweli. Koku akamwambia Shubi ulifanya uamuzi sahihi. Uk ulevi ukaandela. Alivozaa watoto wa 2 ndo akawa hatoki kabisaa yeye na malezi na vipigo.
Over the years akajifunza kuwa Mjungu akilewa sio mtu mzuri basi akaweza kiji control kutomprovoke kabisaaa. Kutomuuliza chochote na vipigo vikapungua nankuisha kabisaaa. Akawa anamtizama tu. Sasa baada ya kurudi bongo watoto wamesogea akaamua na yeye kuishi kidogo looooh! Akaamua kuyaonja maisha mengine ambayo mjungu hayupo ndani.
Umri huo mwanaume anaemjua ni Mjungu tu ndo mambo gani sasa. Akaamua sahivi stress hataki yeye ni kujienjoy na jiji baaasss. Na Mjungu cheo kimekuwa kikubwa hela ipoo, wasiwasi wa nini. Ndo kujoin golf club, yatch club. Kikundi cha wake za maboss Upanga na Masaki yeye ndo katibuuu. Sasa kutokana na ushamb ushamba na kupitwa na wakati akawa anachukua ushauri kwa Carina amabe sasa ndo teenager. Nani asiemjua Carinaa?
Siku hio kakuta vichupi bafuni vya bikini Carina kaanika. Akamuita njoo shoga angu, Carina akaja haya mambo umeyapata wapi? Carina akapata shaka, akamwambia nimenunua kwa muhindi Posta. Koku akamwambia hana size zangu? Naona wenzangu wanavivaa kule kwenye golf tukiwa tunachange sasa nikawa sijavifuma bado. Carina akachekaa. Shoga fanya uniletee hata vi 4 haiwezekani mimi niwe nyuma nyuma. Carina akasema nipe hela. Akamgea.
Siku anamletea, akavichukua. Siku hio karudi kaoga kamkuta Mjungu chumbani kajilaza, akatundika taulo lake kainama anajipaka mafuta kwa raha zake mwili mzima. Mjungu anamchokoza hivi mke wangu mbona hukui wewe ukajielewa na kuwa na adabu? Akamuuliza vipi kwani? Yaani mwili wako ulivo mitako mikubwaa, unainama inama hovyo mbele ya mimi mumeo afu unanigeuzia kabisa mbona hujielewi hahaaaa! Koku akacheka tu akamwambia usinizeeshe babu mimi bado kijana. Nina miaka 38. Akachukua thong alioletewa na Carina akaivaaa. Mjungu macho yalimtokaaaaaaaaaaa! Akabakia kutingishaa kichwa. Kuko akamuuliza nini wewe mzee? Mjungu akasema naona unavaa chupi za binti yetu? Hahaaaaa! Koku akamwambia utanitaka tenaaaa, we tulia hapo mzee wewe. Wakacheka tu.
Akaja kumwambia Carina inabidi uniongezee vile vidude, michupi mingine naona inanibanaa. Hahaaaa! Carina akatikisa kichwa. Akamletea dozen nzima. Anamwambia Carina ukiona vitu vizuri unichukuliage hukoooo na mimi mama yako. Nava size 40 usinisahau sanaa. Carina atanatikisa tu kichwa.
Wakienda shopping anachochukua Carina na Koku anachukua size kubwa yake. Watu wakaanza kumwambia Koku huzeeki kabisaa utadhani una miaka 25. Anawaambi nyie mi na mtoto ana miak 20. Wanambishia. Carina hana manyonyo kama Koku wote vinyonyo vidogo, Carina akavaa sidiria booster, Koku akamwambia shosti na mimi booster hio. Carina ana tikisa kichwa tu.
Carina akija na mashoga zake wakitoka shule Koku hana hata msaada kwao, useme kuna mtu mzimaa oraaa. Wakienda counter ya Mjungu anawaambi msinywe sanaa hizo bei ghali, mzee wetu anaweza kuzitaka ikawa kasheshe. Wanamjibu sawa mama. Akiona mtoto kati ya mashoga wa Carina kavaa Gold nzuri anamuawahi hizi umenunua wapi, anamwambia mama kanipa, kaniulize amenunua wapi. Akielekezwa wanaenda na Carina kununua wote pair 3, 3.
Collins kuja nyumbani na kukuta hali ile ndo kuanza kiwashoonya wote mama na Carina. Akapiga marufuku Carina kunywa pombe za baba yao. Kuleta mashosti. Kuna siku lilitokea tukio la ajabu akategemea mama mtu angetoka adhabu kali, na kukemea hiko kitendo kumbe ndo kabisaa. Alikiwa kalala mchana, akawasikia kina Carina hakupatilizaa. Kuja kustukaa dushee imeshikwaa na mtoto moja kati ya hao rafiki zake wa Carina, Alistukaaa, akagomba what the ***? Ndo kuita mamaaa! Koku kuja anampozaaa achana na hizi habarii. Akamwambia binti nenda nyumbaniii. Binti akaondoka haraka. Collins akagombaaa.
Baadae Koku na Carina wakachekaaa, na kuambiana mshamba yuleeee. Unadhaniii.Basi Carina amakumbusha mama mtu Collins alivoita mamaaaaa? Wanachekaaa. Koku akamwambia jiangalie usije pastor karudi humu ndani. Wakajua yameishaa kumbe Collins anayo bado.
Baba yao alivorudi kamwambia, akawa anaongea kwa kugombaaa, anamgomba mpaka Koku. Mjungu akamwambia Son, huyu ni mke wangu jiangalie unavoongea nae, Carina sawa deal nae ila Koku niachie mimi. Collins akazidi kuwa frustrated. Kuzima soo Koku chumbani akamuwahi Mjungu na BJ, na mambo mazitoo aliosikia club hukooo. Mjungu akayasahau na kuyapuuzia. Chezea Koku nyie.
INAENDELEA.
Wakawa
K