lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #161
COLLINS DARESALAAM
Carina nashukuru sanaa mdogo wangu ume exceed my expectation ni jambo jema you showed the boy some quality time. Si unajua mambo mengine Mungu ndo anavotaka hivo binadamu tupendane. Carina akamuwahi Collins "Spare me the sentiments kabisaaa, Mungu hausiki na makubaliano yetu, usijisahauloshe i did my end sasa we are getting to your end. By the time you get a clie how long this week is gonna be i doubt if you will have appetite for religious issues. Collins akacheka anamjua Carina na alijia lazima Carina atakomesheaaa. Atafanyaje ndo kuku kashajiingiza bandani. Siku saba si nyingi ila chini ya utwala wa Carina ni kama karne.
Carina akaanza kumsomea hukumu yake. "As of now entertaining me and my firiends should be your priority, which will include but not limited to serving us drinks, making conversation interesting, getting us rid of mom all aftermoon long and preparing snacks of our choice. I loke your cooking better, i hate dadas cooking. Collins akamuitikia Yes Boss.
Jioni akowa mejipumzisha akajua tu wiki haitakuwa fupi. Kesho mchana Carina akamtaafifu "Do your magic i wanna go out tonight" Collins akadakia Whaaaaa? We si unajua kesho jtatu mzee hawezi kukubali hata kwa dawa....." Carina akam shussssh! Whatever i want the whole week remember? I count on you big bro to keep your end of the bargain. Collin akajitahidi kumielewesha it is not that easy! Carina akamuuliza "Do you think it is easy to like retarded kids that you dont know and you have never met? ?...??? I didnt think so too. Tonight at 10:00pm usiniangushee nakutegemea.
Collins aka anawaza na kuwazua kwa kinaa atamtoaje pale kwao. Akaomba baba yao asiwepo mama atammudu. Mpaka jioni jioni baba yupo hana dalili zakutoka kabisaaa. Akajitia kuanza maongezi nae Pops i heard there will be a band down at Police Mess, Sikinde will be playing live tonight! Mjungu akashangaa tangia lini mwanae akawa mtu wa band? Mbona maajabu ila akawa exited mwanae kuwa interested na dunia kidogo. Akamjibu tu "Really! It would have been great if we hanged out together down there spend some father and son quality time trying to catch and all but tonight tumbo langu haliko vizuri kabisaa. Najisikia hovyo sanaa, i guess nitalala but if you wanna go you can take my car uwachanganye totoz na nini. Collins akamuangalia Carina akakuta anampa doleeee gumba huku na tabasamu pana.
Ikafika saa 3, bado hajajua anamtoaje Carina humo ndani. Akaanza kukosa amani sasa. Akakumbuka kitu akamfata chumbani kwake akagonga akasikia ingiaaa. Kuingia si ndo anamkuta na chupi na sidiria kakalia kioo utamjua? Hana hata shakaaa. Ikabidi tu atizame pembeni kama reflexx action. Akamwambia Carinaaaa! I am your brother for crying out loud, jigunge hata kanga. Mbona huna adabu wewe. Carina anchekaaa anamwambia kuniona mimi unastuka je ungemuona mama si ungedataa! Wenzio na mama tushazoeana tunakaa hivi hivi full kujiachia. Collins akaguna tu na kutikisa kichwa akiendelea kuongea nae uso uko pembeni.
Carina akamujliza umefanikisha nasikia tumepewa gari la Mzee, safi sanaa. Collins akamwambia kufanikisha bado ila wewe vaa decent kuna kitu nimekifikiria. Kufanikiwa au kutofanikiwa hiko kitu inategemea wewe utavaa nini. Naomba uvae decent. Carina akamwambia usijaliii. Collins akaenda pale kwa wazee wameketi, koku ashalewa maana tangu asubuhi mzee yupo hakuna kutoka out amebakia hapo anazinywa tuuu.
Collins akaanza kujieleza kuna fellowship mitaa ya msimbazi ni nzuri sanaa kuna pastor anakujaaa. Baba yake akamkatisha Son you are 20yrs boy, you dont have to ask permission anymore knock self out! Collins akaguna, akaanza well i was thinking of going with Carina because i think she needs God in her life. Akasema serious na kwa msisitizo. Wazazi wakaangaliana. Pastor kazini. Baba ake akawafanyia sawa nendeni na mkono manake hakuwa in mood na hio discussion.
Carina akawa anatoka kwa kunyata. Baba ake akaita Carrina akaenda yes dad! Kumcheki kavaa sweta na sketi ndefu, akawa convised kweli kuna fellowship. Akamwambia tu be good to your brother and find God my daughter huku akimuangalia mkewe cheko limembana. Carina akanongoneza mama yake "The house is yours, he is all yours dont get too nasty on him" Mamake akabakia mdomo wazi haaaaaaaa ya kimya kimya.
Kwenye gari Colins anamuuliza nipe ratiba Madam. Carina akamuelekeza Masaki huko kwenye nyumba za watu. Wakakuta party, ila party yenyewe ya watu wakubwa kama A level hivi. Carina keshavua nguo zote kabakia na kigauni kifupiii. Akaambiwa kaa kwenye gari. Collins akakubali kukaa kwenye gari. Amekaa amekaa akaamua kushuka na kwenda huko huko.kwenda kule akakuta kimewakaa, akamuona Carina anavuta sigara akaenda kumporaa na kuikanyaga, akatoa pakti zima kwenye pochi akapewa tu FYI we both smoke with mom and Dady knows. Akawa tu mdogo.
Yuko bega kwa bega na Carina, Carina anamwambia mbona yunabanana lakini, go find some one to get laid. Collins anaendelea kumchagiza nakuona una muangalia yule halfcast isnt he a too old for you? Come on sis look at the guy he is what 18, 19 or 20? You should be with some one your age. Carina akamjibu tu how about you the girl from Saturday isnt she too young for you? Is she what 12, 13, or 14? You should take your advice and be with someone your age. Collins akachoka mkuki kwa nguruwee.
Akasikia Carry, who is this hansome guy you have here? Carina akageuka kwa matumaini, him, you can absolutely steal him from me, forever if you want. Have fun! Akawa anawakimbia, collins akamfanyia ishara ya vidole machoni kuwa nakuangaliaa. Yule bi dada akajiongeza Hi im Deissy! I see you arround, we neighbours. Collins akajibu tu Hi, im Collins Carrinas big bro.
Wakaanza maongezi mdogo mdogo, Daissy ndo kumwambia nae alikuwa nje karudi bongo siku si nyingi na nini. Wakawa wanajadiliana mambo mbali mbali ila akili yote anamfatilia Carrina, akamuona anaongea na yule half cast. Ikawa anaongea na daissy huku anamfatilia Carina kama kawaida. Ilivofika saa 7 akamuaga Daissy akamfata Carrina waondoke. Basi yule halfcast akataka kuleta ushikaji kwa Collins like they should be cool and all! Collins akamuoneshea ngumiii. Yule half cast aka back off peacefully. Carina anamuuliza did you have to be that rude? Collins akamtabasamia.
Kurudi Koku akawafungulia mlango, ulevi Carina akasahau kuvaa zile nguo alizotoka nazo. Koku akamfata chumbani fellowship ilinoga sanaaa! Carrina akacheka. Koku akamuuliza pastor uliwezaje kumcorner mpaka akakutoa? Uli mblackmail na ninj yule Pastor! Carina akamjibu tu This is blackfemale mom. Wakagonga. Koku akasema umenipa wazo nitaanza kumtumia kwenye mitoko yangu.
Collins akawa amelala anamtafakari Daissy the way she was throwing herself at him. She was all over him. Ila kama ilivo ada hana hisia nae. Nothing special. Just like other girls aliokuwa anawala for fun. There was no connection between them. No chemistry at all. Na inatokea mara nyingi anakuwa na demu mkali, demu anajitoa for everything, lakini tatizo yeye anakuwa sio kivile. Ile covalent bond inakuwa haipooo kabisaa. Akakumbuka jinsi Daissy alivokiwa anatengeneza mazingira ya second meeting kwa nguvu zote afu yeye akawa anamkwepa kwepa. Akalala na kujiuliza hivi kweli atakuja kupata demu ampende mpaka achanganyikiwe kabisaaa kabisaa akadoubt!
Asubuhi akawahi kuamka akatrain jogging kama kawaiada, akaja kunhwa chai, hapo Carrina keshaenda shule, akasikiza miziki, hakuwa na program jeshini. Akawa tu bored kimtindo. Saa saba akaangalia ratiba ya vyakula walivobandika kwenye ubao wa menu, akakuta Carina kaagiza apikiwe wali maini, na chini kaweka Snacks afu kwenye mabano Collins yaani azipike Collins. Akamtengenezea hizo Snacks vizuri kabisaa. Wakaja akaenda kuvaa appron tayari kuwahudimia.
Akawawekea snacks! Akawauliza mnakunywa nini mabinti? Carina akasema yeye anakunywa wine ya mzee. Akaanza kuwatajia lebels zilizopo kwenye counter ya mzee. Collins akajikoholesha wakamuangalia akasema may i suggest! Carrina akamjibu tu No, manake anajua ata suggest Soda, wale wengine wakamjibu Yes! Akawashauri awatengenezee cocktails sababu ni mchanaa, jua kali sanaa, isitoshe kesho shule wasiwe na hangover. Wazo likakubaliwa.
Akarudi jikoni kutengeneza hizo cocktails akawawekea na ice cubes. Akawaa,bia niko najiegesha mkihitaji chochote mniite. Basi wenzie wanamwambia your brother is so sweet! Anawaambia too he is not one bit, i earned this service from him. Wakawa hawawaelewi. Mwingine akasemaai wish i could turn my bro to z zombi like this. Hahaaaa wakacheka. Collins alihudumia jioni yote.
The rest of the week mpaka Friday Carrina alikiwa booked kwenye birthday party jioni so akirudi kachokaa ndo nafuu ya Collins. He couldnt wait the week to be over. Alhamisi akiwa hana hili wala lile Carina akamwambia simu yako kule! Akastukaa akauliza nani kapiga? Carrina akamjibu i dont know some one Daissy! Collins akamwambia chonde chonde kamwambie sipooo. Hahahaaaa, Carina akamwambia kwa coctails za juzi poa. Akaenda kujiongelesha i thought he was on the shower but it was not him, it was just daddy just call some other time. Say Hi to Lilly for me. Akakata!
Whuuuuuuuu! Carina akastua running from girls as usual! Collins aka frown. Carrina akamwambia sasa sikia kesho unatakiwa kunipeleka Kariakooo. Nikitoka shule. Naenda kwa Iqra. Collins hakustuka kabisaa, akamuuliza huyo Iqra ana birthday au? Carrina akamwangalia akatabasamu. Iqra your little girlfriend, the one with sick brother! Collins akastukaaa! Are you sure Iqra is her name? Carrina akamjibu Daaah! You must like her so much your shocked face is priceless! Collins akaji compose akaanza kumsihi aisende, anamuuliza kwani lazima kila party aende kama vipi atampeleka kokote mradi asiende kwenye hio party.
Carrina akamwambia sio party alini promise nguo ndo naenda kuchaguaaa, afterall i miss the sick kid, he reminds me of my friends young sister in UK remeber the Bills young sister was sick like the boy you know. And the sicke girl used to like me a lot. Collins akawa off na hio safari. Basi tu for no specific reasons, ila kama alivojiweka bond kwa Carrina kumpeleka ikawa lazima.
Usiku akiwa kalala akamkumbuka yule mtoto aliemkuta UK analia siku ile amempoteza mdogo wake Fahad, nae yule binti alikuwa anaitwa Iqra, na ilimchukua mda sanaa kumtoa kichwani pake. Akawa anajiuliza ndo yeye au sio yeye. Akajipa matumaini sio bwana ni coincidence tu.
Kesho wakiwa njiani anamwambia Carrina sasa uniuliziea yule mdogo mtu anaitwa nani? Sawa Carrina nakutegemea. Carrina akamjibu anaitwa Fahad! Collins akashika break fastaaa! Carina akamuuliza what is wrong with you why do these people make you so jumpy! Collins akazuga zuga, akajizoa zoa akamuuliza how do you know his name? Akiamini ukute Carrinan nae kakumbuka anamjambisha jambisha tu. Carina akamwambia i was the MC at the party remember so i got introduced. Anything more you wanna know? Like they live only with their father and grandma. Huku collins akafumba machooo akajua ndo yule yuleee. Akachokaaa, na kuishiwa nguvu kabisaaa.
Kariakoo akamuomba Carrina asishuke kwenye gari, Carrina akamruhusu, akashuka yeye Carina akaingia dukani, akawaona wanatoka wote wakaenda huko mbele, basi roho inamuenda mbio sio kidogo. Kijasho kinamtokaa. Baadae Carrina akarudi na fuko akamwambia twende. whuuuuu, alivotoa gari kama mwehuuu mpaka home.
Kuingia anamkuta Daissy yuko na bi mkubwa wake Koku. Akastukaaa ila akajikaushaa. Daissy anajitetea i was just passing i thought i could just say Hi! Sijakukuta but your mom is so sweet akani invite kukungoja. Mmmmmhhh! Collins akazuga zuga ooohhh! Akawa join ila akili yake haipo kabisaa. Most conversation ilikuwa kati ya Koku na Daissy. Mpaka mda mwingine Koku anamkanyaga miguuni chini ya meza asizubae sana achangie. Basi anakuripukaa kuchangia. Daissy akaaga anaondoka Collina kajikalisha nae anapokea bai bai, Koku akamkanyaga na kumkonyeza msindikizeee. Ndo Collins kimsindikiza.
Alivorudi Koku anamwambia hahahaaaa kwaninj huampendi mdada wa mtu lakinj? Mpaka kakufata hapa? Acha maringo wewe mtoto wa kiume loooh! Collins anamwambia mama sitaki majingu. Koku anamchokozaa ila ana ushepu aiseee. Pale umepataaa. Collins akaondoka zake.
Usiku kalala anatafakari msichana ndo yule yule na sura imeanza kumjia vizuri sasa. WHAT NEXT! Na kwanini zikija ishu kuhusu huyo msichana anakuwa so jummph, so unfocused ana doubt every next move he wants to take, hana coutage kabisaa, mpaka kujificha kwenye gari, wakayi wasichana wengine he can lie to them while looking them in the eyes. Akakosa majibu mbadala kabisaaa.
ITAENDELEA SAA TANO USIKU HUU.

laraaaaaaaaaaa