lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #101
1993! DODOMA TANZANIA
Mi nampenda kweli huyu kaka wa Garage. Weeeeee acha mambo hayo mwenyewe nampenda kama nini. Akuuuuu mi ndo nampenda zaidiiiiii. Tutamalizana wenyewe kwa wenyewe. Bwanaaaa eeeh msitoshe na mikelele kaka mwenyewe huyo hana hata shida na demu. Yuko busy na mambo yake hana mda huo kabisaaaa.
Mmmmmm! Kaka mwenyewe mnaemuongelea ndo huyo Walter? Ndiooooo! Kwani unamjuaaa? Embu tupe habari zake, navompendagaaa, nampenda tu basi. Kim akawa anauliza kwa msisimuko mkubwaaa. Mmmmmmmh! usione naguna mara 5, 5 huyo kaka muone hivo leo hiii, kakua sijui, sijui ila kwa sisi tunaomjuaaaa, tuliozaliwa Dodoma hii Walter SI MTU. Ni mnyamaaaaa tena mnyama mwenyewe faru aliejeruhiwa. Muulize mtu yeyote aliekuwepo Dodoma hii 1980s atakwambia Walter ni mdudu gani." Akalimwaga Da Tausi. Wakabaki kimyaaa wanasikiliza file Walter. "Ninunulieni bia niwape sasa ubuyu kamili wa Walter. Wakaangalianaaa, wakaona sio kesi wakaweka 200, 200 zikafika 1000 noti za 100 kumi. (Kama uliziona hizi hela kaolewe ushazeeka). Wakamletea Safari larger hapo ndo iko on peak in hit.
Walter mimi nilisoma nae Mazengo Sekondari, namjua nje ndani. Walter ni mkorofiiiiiiiiiiiiiiiiii, yaaani ni mkorofiiiiiiiiii hujapata kufikiri. Leo hii hamna mtu anaejua kwanini Walter yuko vile. Hamnaaaaaaaaaa! Enzi zetu Walter alikuwa tishioa Dodoma hiii. Tunavoongea hivi ilikuwa hairuhusiwi kumuita Walter shule. Lazima uanze na Mkubwa Walter. Ukiropokaa ukamuita Walter plain unapigwaaa mpaka unatia akili.
Kuna demu pale mazengo alikuwa anajitunza weee, bikra wa shule. Walter akapata taarifa kwamba kuna bikra pale mazengo. Akasema kama ndo hivo basi yeye Walter ndo ana haki ya kumbikiri huyo bikra. Mmmmmmhhh! Kamtokea demu kachomoa kamwambia Walter wewe mkorofi sanaa mimi sitokuweza. Walter kampandia juu oooh wananisingizia usiamni wanachokisemaa juu yangu. Demu akamkazia Walter. Walter akasema coz demu amepanga kuadhiri mi nishajitangaza nambikiri afu ana nikazia manake ninii? Sasa nitatumia gharama yoyote kumpata na nikimpa ndo atanijua sasa mi nani.
Akawa busy anamfata, anamsindikiza shule mda wa kutoka, katumia kama mwezi na kwa Wlater mwezi ni mwingi sanaa sawa na karne kumtongoza demu. Demu akaanza kuona kumbe Walter ni msweet, loooooooooh, akajilegezaaa. Wlater kambembelezaaa mpaka akakubali kwenda kwao wazazi wake wakiwa wamesafiri. Msitake kujua kilichomkutaaa." Wakawa wanamsikiliza kwa makinikutaka kujua kilimkuta nini. Akawaoneshea chupa tupuu manake Safari Lager zimeishaa hivooo waongeze ndo story iendelee. Wakatikisa tu vichwa na kumkazia. Baadae kwa tamaa ya story wakamuongezea bia zingine 3 na kumchimba mkwara zitoshee mpaka mwisho wa story.
Akanywa kwanza funda 3. Demu bwana alikuwa anaitwa Lucy dada, mlokole. Kaenda kwa Walter kwao kajiandaa kutoa mchezooo. Sasa sijui alipiga makelele sanaa akambore, sijuiii. Sijui alimngataa hatujuiii. Ila Walter alifumua fumua bikraaa, demu akaanza kujiliza kudekaa anajua sasa atamkteka Walter vizuri si kampa tamuuu brand new, thubutuuuuuuuuuu! Unaambiwa mchezo umeishaa Walter kamtimuaaaaa. Vaaa chupi uende kwenu. Haaaaaaaaa! Demu hakuaminiii nawaambia." Hahahaaaaaaaaaaaaaaa Halooooooooooo! Zikasikika kwa wingi sanaaa.
Tausi akaendelea kufungua page za file la Walter. Mlokole maumivu ya kutapeliwa bikra akaenda mpaka kwa mama yake kulalamika iweje amuharibu afu amuache. Mpaka wazazi kujua Walter kambikiri mtuuu. Dada akikaa anamsononekea bikra yakeee kutapeliwa kuleee. Loooohhh! Wakaaa mpaka vikao vya wazazi kwanini Walter amtoe bikra afu asimtake? Wapi mlokole alishindwaaa. Mlokole mwenywe mnafikiria nani kwani? Si mke wa mchungaji!: Hahahaaaaaaaaa! Halooooooooooooooo! Tausi tuachee si kwa umbeaaa huuu wenye S.L.P. Weeeeeeeeeeee! Huyu Mama mchungaji wa KKT. wakauliza kwa shauku. "Kumbee jeee, mi akiwa anatoa nasaha kwa mabinti nakumbukaga VAA CHUPI UENDE. Sasa sijui alikumbuka kuivaa hio chupi au aliicha kwa Walter, sahivi anajitia mtatakatifu kuliko baba mchungaji nyooooo." Hahahaaaaaaaaaaaaa! Kasheheeeeeeeeeeee ndani ya kirobaaaa!
Sijamaliza file la Walter, Muoneni vile vile anajichetuaaa. Sasa basi hilo dogooo, kuna demu alikuwa ana mdomoo hatariii, kwao kina uwezo uwezo kiongozi wa dini. Kutwa kuchakumsemaa Walter malayaaa, Walater muhuniiii, Walter hafaiiii. Walter anapewa tu data zake akasema huyu mbwa ngojaa si ananitaka kinguvuuu? Sasa subiriiii. Akamtongoza kistaarabu kama mtu vile. Looooh! Akamkubaliaa ila wafanye siriii. Mmmmmhhhh! Si ashampakaza Walter koteee. Walter akamkubali sawa siri. Weeeeeeeeeeeeee! Siku ya siku kamuita kichakani tu hata kwao hajampeleka.
Unaambiwa kajaza watu kibao nje ya kichakaa kawaambia demu nampa boloyanki huyu mpaka atatoka chupi mkononi. Wakambishiaa. Dakika 10 nyingiii. Mbona demu alitoka chupi mkononi anapiga mayoweeee kama chiziiii.Hamna aliemkamata hizo mbio zakeee. Katoka mkukuuuuuuuuuuuuuuu. Watu mpaka leo wanajuaga Wlater ana boloyanki kubwaaa, kumbe uhuni tu hana lolote. " Wkabakia mdomo wazi. mmoja akauliza Da Tausi hana lolote unamaanisha nini sasa yule dada alikimbia nini? "Bwana weee, Walter mshenziii tu, kumbe alikuwa na pilipili mfukoni, katika fower play kajitia kumpiga dada watu vinanda kumbe ndo anampaka pilipili ndugu yangu, pili pili kumkoleaa ndo kutoka ndukiii, alienda mpaka hospitali. Mnacheka mnadhania mazuri ya kucheka hayooo?. Wakabakia wanachekaaa tu.
Kilichosikitisha Wlater alimbaka demu wa mshikaji wake anaitwa Muddy huyu muuza mitumba wa sokoni. Grace na Muddy wameanza kitambo sanaa na hawaji kuachana wale. Kipindi hiko Muddy hajamla Grace bado Walter katumia mabavu kamla Grace. Kwa jinsi kapo yao ilivokuwa talk of the town kila mtu roho ilimuuma na ndo utawala wa Walter uliishia hapo. Alivofanya hiko kitendo ndo ikawa mwisho kabisaa wa watu wa mji huu kumuendekeza Walter.
Na kitendo cha Muddy kutomuacha Grace ndo kilizidi kufana walter aonekane Msengeremaaaa. Muddy alijua, mji mzima ukamchunia Wlater ila Muddy alikuwa anaongea nae kama kawaida. Sasa ile Muddy kutomchunia na ufedhuli aliomfanyiaa vikamfanya Walter akayeyukaaa kabisaaa. Akaacha umalaya jumlaaa, akaacha ukoraaa jumla, akawa kijana mpole, anashinda Garage kwa baba yao, ukimuona mahali yuko mdogo wake yule Wayne Baaaaaas. Ila kumuona ndo mpaka uende garage kwao. Yani ni nyumbni na hapo Garage. Ndo maana nyie wakuja hamuwezi kumjua Wlater nyie.
Grace na Muddy waliendelea kuwa wote mpaka form 6 wako wote. Muddy kafeli form 4 karudi Dodoma kalostiiiii, Gile mzazi wake kamuendeleza A level akirudi likizo yuko na Muddy. Chuo tukajua tapata wa huko msomi mwenzie walaaa, ndo kwanza yuko na Muddy. Chuo akikaa kidogo utaona Muddy kaenda Dar ili wawe woteeee. Wakirudi wako wooote. Wanavopendana sasa mpaka kerooooo. Muddy yule pale anauza nguooo mademu kibaooo wanajigongaa kwake lakini huwezi kumkuta ana demu mwingine. Mpaka washkaji zake wanamtania Grace kampa libwataaa.
Grace alivomaliza O level ana nati yake anakaa london akataka kupelekwa na mzee wake, akagomaa, kisa Muddy. Angeena ulaya wangeonana vipi sasa na Muddy? Oooooohhhh! Wenzio wanavopendana wale hela wanachanga. Grace akipata hela zozote anamgea Muddy afu Muddy sasa ndo anamuhudumia Grace kidogo kidogo kama mume chezeaaaa. Sahivi wamejenga nyumba sijui banda huko nje mji Muddy anavosema yeye Grace akimaliza shule anamuoa, Wanaenda kuishi huko. Baba yake Grace alivo na hela na ule mjumba waoooo, kaka zake wako Urusi na Marekani utaamini anakuja kwa Muddy hapo uswaziii. Anashinda pale kwenye mitumbaa siku nzima na Muddy na haoni kerooo. Kweli mapenzi upofuuuuuu. Analala pale uswaziii paa liko chini, jotooo, na anaamka asubuhi karidhika kabisaaa.
Siku ya zamu ya Muddy kusafisha choo na kufagia uwanja, kama Grace yupo anakuja kumfanyiaaa. Kama baba mtu yupo ana damka asubuhiii kwao kuja kufanya zamu ya FREE P Muddy. Hahahaaaaaaaa! Mimi Tausi baba yangu maskini wa kutupwa mjini hapa ila usengerema huo sijafanya badoooo. Hahahaaa! Ila Grace mwenzio pale ndo kafika beiiii, mwisho wa reli kigoma kwake. Hapo yuko field CRDB ila lunch anakuja sokoni kumfata Muddy ana nyege mbaya nae yulee, anaacha kuwaona maboss bank huko, watu wa maana anangangana na Muddy FREE P. Yule Lawyer Rweyongeza alitaka kumuoaaa, Grace kagomaaa kisa Muddy jamaniiii. Ooooooh!
Walter muoneni kakaa pale ndo nawaambia msione kobe kainama anatatunga sheria hivoooooo. Wkashusha pumzi sio kwa story ile.
Walter akiwa garage anafanya zake kazi kumsaidia mzee wake akasikia LALA CHINI WOTEE. Tobaaaaaaaaaa! Akastukaaa. Akajua mambo ya ujambaziii maana yalikthiri sanaa hapo Dodoma karibuni, Akachungulia akaona wako na silaha zao magobole (kama uliyaona haya kaolewe ushazeeka) Akawaza mle kuna hela za mjomba wake, afu maisha yao yamekuwa magumu sanaa, biashara sio, afu mjomba wao ana deni kubwa bank, mda wowote nyumba yao inauzwaa. Akahisi mahasira yake ya zamani yamempandaaaaaaaaaa. Alikuwa hajashikwa na hio mizuka siku nyingi sanaaa.
Akaendela kubana pale alipokuwa. Zile hasira zake na ile hali hali yake ya kupiga watu ikamjia kwa kasi, akajikuta katokaa mafichoni. Akanza kupamba nao wale majambazi. Pigana pigana nao kama sterling Van Dame. Pigana na wewe na wale majambazi sio watu wa mkono. Wakachezea kichapo toka kwa teminator Walter. Aliwakungutaaaaa mpaka wakazimia. Wakaka wanne wote kunguta kungutaaa, piga piga nawewe wakwa nyang nyanga na hivi ana ugwadu hajapiga watu kwa miaka kama mi 4 hivi basi akakata kiu yake kabisaaa.
Watu wote wakaikmbia akabaki peke yake na wale mizoga wanaopumuaa, hapo akili inamchemkaaa wanamuogopa hakawiii kuwachanganya na wao. Akakusanya vile vigobole vyao vi 2, akawafunga kamba wote wannne akaanza kuwaburuza mtaani kuelekea polisi. Gobor zake begani. Njia nzima wanamtolea macho.
Kafika polisi kawaburuzia ndani. Polisi wakaitanaaa. Akatoa maelezo walikuja kutuvamia na magobole haya nimedhibitiii na ndo nimewaleta hapa. Akaulizwa peke yako akajibu ndio peke yangu. Polisi kuwaangalia kwa ukaribu si ndo kujua ndo mijambazi sugu inayotafutwa Dodoma nzimaaa. Mara ya mwisho na polisi kweny mapambo waliua polisi wa 4. Akakimbia kumuita mkuuu wa kituo. "Bosi kuna kijana kwaleta kina kanjanja kawadhibiti peke yake anawaburutaa boss njoo uone wenywe kabisaa." Boss akashangaa masihara hayo kina Kanjanja most wanated?" Ndio bosss. Boss akainuka, akauliza"Na Kanjanja klaletwa?" Akajibiwa ndio boss" Akatoka kuja kujionea akamkuta kanjanja hoii kwa kipigooo.
Wakampongeza Walter kwa ujasiri wake na kumshukuru wkawaingiza kina kanjanja mahabusuuu. Wakapiga simu kwa Mkuu wao DSM. Kesho mkuu akaja, akauliza wako wapi kina Kinjanaj? Akawaona akasema pakia nao naenda nao DSM. Njiani wakasimamisha gari porini, akaamuru washushwe. "Mimi nina lengo la kugombea ubungee staki ungese kwenye azma yangu hio. Nipe bastola Coplo" Akapewa. Akawalamba shaba kina Kanjanja wote wa 4. Wakafa hapo hapo. Akasema naomba wapige muhuri hao. Biashara ya ujambazi Dodoma imeishia hapa. Unajua cha kufanya na hio miili ianze kutokea mtaani na maadamu muhuri uko fresh sitegemei kelele zozote" Akajibiwa "Sawa mkuu"
Akaingia garini, akamwambia dereva geuza gari tunarudi Dodoma. Dreva kashangaa ila akaa kimya tu. Dodoma hakurudi kituoni akaenda kumuulizia Kijana aliekamata majambazi 4 jana na kuyaburuta. Watu wakamuelekeza kwa kina Wlater. Akafika mpaka kwao akashukia mbali kidogo na kumwambia dreva wewe nenda kalale kesho tukutane stand kwa safari kuna kazi moja ya mwisho natakiwa kuifanya.
ITAENDELEA.