Weekend Story: You Can't Handle The Truth

1989 DODOMA.

Walter akazidi kuwa mkorofi wa mjiii. Kitendo cha kutoka hospital ikawa kama ndo kaambiwa yeye kwenye ngumi bado kabisaaa. Akaanza kufanya mazoezi sasa ya kivita, Akienda cinema akiona moves anazi kremisha afu anakuja kuzifanyia mazoezi makali sanaaaa.

Matokeo ya form 4 akafeli kabisaaa 0. Mjomba wake akamwambia rudia basi form 3 shule ingine akasema hapanaaa mimi shule basiii. Akawa sasa ndo kijana wa mtaani fulll. Kazi yake ni kufanya mazoezi ya ngumi, kubeba chuma na kuwa mkoraaa mtaani hapo.

Umalaya nao kama kawaida. Mtoto form 4 tu ila ashalala mpaka na wamama watu wazima, wanafunzi ndo usiseme, vischana vya mtaani yaani balaaa. Ikafika mahala women didnt amuse him anymore. Akawa sasa hana stimu na wanwake, wanawake wooote anawaona wa kawaidaaa tu. Basi anapanic aanza kuuliza demu gani mzuri Dodoma hii, demu gani mzuriii ili tu labda akimuona atapata stimu.

Kweli akimuona demu kama kisu sanaa anapata stimu za muda. Sasa mkorofi afu mtu wa amri sanaa, very rude and unromantic kwa hio mademu wanakuwa wanamuogopa sanaa, na kujishtukia kwa hio hawampi mapenzi yale yanayotakiwa. Basi akiona mtu na demu waka wako crazy about each other ana dataaaa kabisaa maana yeye kwa ubabe ule hamna hata mtu alie crazy na yeye.

Kupanic siku hio mshikaji wake Muddy ana ana demu wake anaitwa Grace, yaani Grace kwa Muddy kadata, na Muddy kwa Grace kadata. Basi siku bila Grace na Muddy kuonana haijaishaaa. Muddy anaweza hata kunyongea mkahisi ana malaria kumbe anaumwa hamu ya kumuona Grace.

Akiwatazama ile wanaandikiana barua, Muddy mda wote kichwani mwake ni Grace, wakionana furaha yao ni priceless, wanaweza kukaa saa 10 mpaka saa 1 usiku shambani na asione huo mda kama unatoshaaa. Walter akaanza kuingilia kidogo kidogo mapenzi yao kwanza kama mshauri wa Muddy, anamuuliza uyu demu ushamtia? Muddy anamwambia bado? Basi Walter anajipanikisha why? Unangoja nini men? Unatakiwa umtie haraka iwezekanavyo.

Muddy anakataa, anamwambia i want iit to be special our first day. I want it to be a day to remember. I dont want to do Grace like other girls she is special. Muddy anadakia NONSENSE, huyu ni malaya kama malaya wengine wote haitaji special treatment wala nini. Muddy anakataa kwamba nitamtia siku atakayoniomba, just being with her i am so happy, sitaki ku rush things. She has to ask for it.

Walter akiona hivo watu walivo wanathaminiana it drives him nuts. Anakerekaaa maana ni kitu amabacho yeye hawezi kukipata. Akawa anatoka na demu mmoja anaitwa Erica mswahili ila mmbulu kama msomali hivi. Akakata shauri kwamba kama vipi ajaribu kuwa kama Muddy perharps wanaweza kuexperience wanacho experience Muddy na Grace. Basi eti na yeye akaamua hammbito huyo dada alikuwa anaitwa Ashina mpaka Ashina akiwa tayari na kumuomba yeye, vile vile kama Muddy na Grace.

Sasa Ashina alikuwa anamuogopa Walter maana mpaka kaka zake wakamshauri wewe mkubali tu maana ukisema umkatae tutapigwa sisi balaaa. Akawa akikaita hakaongei kitu kimyaaa kama kipo gerezani. Basi anapiga nacho story kiutu uzima tu maana kilikuwa form 2 yeye hapo kamaliza form 4 na kafeliii. Ameenda enda kama wiki 3 hajakaomba chiu. Sasa story zao hazinogi kama Muddy na Grace akikaa nako hata robo saa inaonesha akili yake haipo hapo.


Akaanza kumwambia Muddy huweiz amini i found love kwa Ashina. Hahahaaaaaaaaa! Muddy anamwambia i am happy for you. Anamuuliza ushamtomba yule mtoto? Muddy anamwambia badooo, kwani deni Wlater? Hapana Muddy nafatilia maana sasa naona kama haitowezekana vile. Mwenyewe na Ashina nafata mfano wako we taking things slow man. Muddy akamtega una uhakika Ashina anakupenda lakini isije kuwa anaogopa kupigwaaa? Walter akaona hio point ya msingi sanaa.

Akamtega Muddy we una uhakika gani Grace anakupenda? Muddy akamwambai Grace mi ananipenda sababu bila kuniona jua halijatuaaa, najua kila kituuu chake ananisimulia A to Z. Najua ana anti yake anaitwa Koku anakaa London. Nawajua binamu zake kina Collin na Carina wanamletea vitu kichizii, vikitua mwanangu lazima father house nileteweeee. Afu demu ana uwezo kichizi mwanangu akipewa hela na mzee wake lazima aniambie na tuileee, na mimi nikiwa na hela lazima nimwambie na tuitumie mpaka iishe. Tunachanga hela zetu huwezi amini. Yaani Grace yule umwambie kesho yake bila mimi haioni. Ashawaambia kwao wote, maza, dada zake kwamba mi ndo nashika usukani. Kasoro mzee tu ndo hajajua. Na wamenikubali aaaah! Na mimi maza anaelewa Grace ndo kila kitu kwangu sema ananiambiaga Grace matawi akikua lazima animwage. Me and Grace we have a life. Hapo na wasiwasi nikisema nimpe mambo atadataa sanaa huenda hata shule ikamshindaaa.

Basi Wlater ana panic akisikia ya Muddy na Grace. Anavurugukwa akili kabisaaa. Akikutana na Ashina anajitahidi kumuongolesha wapiii, mjadala hauendiiii kabisaaaa. Ikabidi siku hio amfungike kumuuliza hivi Ashina unanipenda kweli? Akajibu tu haraka haraka ndio kama ya mgambo ile. Akamuuliza kweli? Akajibu kwa woga kweliii! Mbona mwezi umepita tuko wote huniombi mambo wala nini? Ashina kimya. Walter ikabidi atumie diplomasia akamwambi niambie ukweli sikupigi wala sikufanyii fujo kama hunipendi kuwa muwazi, tutabaki tu marafiki. Unanipendaaa? Ashina akawa anamuangalia kwa kusita sita. Akamuuliza tena Unanipenda? Bado Ashina anasita anatetemeka kwa woga? Akawa mpole sema sikupigi wala sikufanyi chochote. Ashina akatikisa kichwa kuwa HAPANA! Walter roho ilimuuuma hamna mfanooo. Akawambia nenda tu.

Basi akiwaona Grace na Muddy anadataaa akili. Akawa anawazungumzia sanaaa, mpaka mchizi wao Issa akamuuliza Walter mbona hivo Muddy na Gile wamekukaa mdomoni sanaa? Usikute ufirauni wako ushamtamani shemeji yako Gile ooohhhh! Walter moyo ukafanya paaaaah! Akawaza huenda kweli namtamaniii akawa hajielewi elewi. Mtaani kila mtu akawa anajua Muddy ndo boy wa Gile.

Wlater akamfata tena Muddy akamwambia wewe zembea kumtia yule demu nikimtia mimi kabla yako usije kunilaumu oooohhhhh! Muddy akamwamngalia like WTF akajua Wlater ashaanza tamaa ila yeye kumtia Grace kwa kufosiwa na Walter alikuwa hataki kabisaaa. Akaamua tu kumpuuza Walter.

Walter akaanza kumfukuzia Grace bila hata hayaaa. Akamvizia dukani siku hio yuko mwenyewe. Grace anajiachia tuuu si anajua rafiki yake Muddy haina shidaaa. Walter akamwambia kuna party home kwangu jumamosi niko mwenyewe wanasafiri usije na Muddy, njoo peke yako. Grace akawa anashangaaa how come? Anamsisitiza Muddy asijue wewe mkubwa bwanaa. Usipokuja au Muddy akijua utanijua mimi nani si unanisikiaga Walter! Grace akaogopaaaa.

Akaenda hio ijumaa saa 1, hamna party wala nini yuko Walter peke yake. Akamuwekea bia, Grace yupo sinywagiii, Wlater ana mcomand ndo utaanza kunywa leo sasa. Tobaaaa! Akawa anakunywa anaogopa ogopa. Wlater akaanza kumshika, Grace hataki mi sijawahiiiii. Walter mbabe anamkomalia wewe mkubwaaa bwanaaa. Kuvutana vutana Walter akampaga Grace. Grace aliliaaa. Saa 3 akaondoka zake kwenda kwao. Walter akajua maybe ile feeling ya ajabu ajabu itaondoka wapiiii.

Kesho kaibuka maskaniii, kwa bashasha kubwaaa, kufika kawakuta wana wamekaaa ile kumuona tu wote wakanyanyuka wakaondokaa. Akiwasalamia hamna hata anaemjibuuu. Akaenda sokoni kazoea yeye ndo mbabe wa mtaa huo akawakuta wamaaa akata kujitia Don apimiwe nyama wa kwanza. Wakamtunishia misuli. Wakamchambaa mbakaji mkubwa weee, mbwa uliekosa hayaaa. Akaona ayaaaaaaaaaaa yasha sambaaa. Unambaka mpaka demu wa mshkaji wako lione. Yaani akajua tu watu wamemchokaa sio kidogo.

Kila mchizi anaekutana nae anampotezea kama hamjuiii. Akaanza kuuona mji mchungu sasa. Jioni saa 2 hivi akawaona Muddy na Grace wako woteee! Akayeyukaa moyoni kama mshumaaa. Ikamchanganya kabisaaa. Afu Grace alikuwa bikra. Daaah! Akajua pamoja na ufirauni wake Muddy kastic na demu wake, probably Grace kamwambia na wame waambia watu wote mjini hapo na mji ulivo mdogooo. Akachoka kabisaaaa.

Akawa sasa anaishi kama digi digi haonekani mtaani. Ghafla siku hio hana hili wala lile akagongana uso kwa uso na GRACE NA MUDDY wako wote.

ITAENDELEA USIKU HUU HUU.
 
Back
Top Bottom