Harris kilimuuma sana kitendo cha demu kalala nae ndani yeye afu MD kupiga simu tu kasahaulika kabisaa akawa haonekani ghafla pamoja na show ya kibabe alionesha mda sio mrefu uliopita kilimuuma sanaa mpaka kwenye uvungu wa moyo wake. Akawaza bora hata asingemuonja yule demu kabisaaa, kumuonja ndo kumeharibu mambo. Raha alizozipata mda ule mfupi hazisimuliki and he can do that forever.
Akakumbuks kitendo cha kutumwa chupi usiku usiki kwanza akawaza apeleke chupi na boxer yake basi tu kumuharibia mambo jumlaaa na kumkomoa MD, na alivibeba vyote chupi na boxer tena boxer yake ya juzi chafuuu kimtindo ili tu kukamilisha ushahidi hahaaaaaa. Alibofika akamkumbuka Stacy akamuua tu kumsaidia hajui kwa nini.
Akakumbuka anamdai mechi moja, akawaza ngoja kwanza adai deni lake hilo afu memngine atayapanga. Akakumbuka toka baada ya tukio akituma sms hazijibiwi, wala simu hazipokelewi. Ila hakuwa na mpango wa kususa kabisaaaa. Akatuliza kichwa akaamia kumbadilishia gia maana alikuwa anamtumia Hi! Hazijibiwi. Akamuandikia sms inhine safari hii. Stacy kumbuka deni letu mimi na wewe, ahadi ni deni. Unanipotezea mi nakuangalia tu.
Ikajibiwa nakumbuka sanaa, wewe mchizi wangu sema nikupe sh ngapi tufute deni. Akasonyaaaaaaa! Akasema unafikiri mi nanunulika? Akamjibu "kwangu you are more important than all money in the world, mi nataka mechi tu na si kingine" Akiwa kaka ikaingia sms toka kwa Stacy, acha hizo kaka, mi nilinusurika kufumwa, sichepuki tenaa, im committed kwa boss. Huwezi jua, thanks for everything that day na kweli unanidai mechi na nalijua hilo ila naomba nikulipe pesaaa tu tumalizane.
Harris akaona mziki mnene kweli kweli, dalili za kulipwa deni lake hazipo kabisaaa, afanyaje sasa, akaamua kumwambia. "Kufidia deni njoo nyumbani tuongee tu, we just talk and thats it. Tunakuwa tumemalizana." Stacy akamjibu " Anyway kama unavotaka sawa ila i thought hela ndo ingekuwa akili kubwa, but i can come we talk" Harris akamuuliza lini specific, Stacy akamwambia atamwambia.
Siku hio hana hili wala lile akaona Stacy anampigia akapokea, akamuuliza upo nyumbani? Akasema nipooo, akamwambia nakujaaa. Akawa kafurahiii, anaomba Munguawe kavurugwa anaweza kupewa mchezooo kama siku ile huwezi jua. Akakimbilia kwa pushaaa kabisaa kumnunulia misokoto walau mi 3 just to keep her in the mood.
Baadae kaja kweli, basi Harris anamiangalia tu hammalizi, kama hajawahi kumuonaaa. Stacy anamwambia you wanted to talk, here i am. Harris akamwambia mi napenda tu kukingali roho yangu kwatuuuuu. Akamtolea msokoto, Stacy akamwammbi situmi siku hizi. Harris akamuuliza kwanini? Stacy akamwambia nina Athma imenianza karibuni wakacheka woteeee.
Stacy akaanza kumsimulia story alivodai ya rafiki yake na kumuuliza Harris atoe ushauri. Iko hivi kuna mti anatoka na married man, siku nyingi sanaa, before he was married, huyo married man ni mtu mzuri generally, sanaa, ana roho ya kipekee, tatizo ndo kwamba mda mwingine mkatili sanaa afu anaendesha sanaa. Sasa the girl alichepuka na mtu mwingine tu one night stand, hamjui kabisaa, ilitokea tu wakawa at the wrong place in the wrong time, afu siku hio hio akalala na mtu wake yule married.
Akaja kujigundua ana mimba, hajui ya nani maana alilala nao wote kavuuuu. Sasa akaamua kuwa single mother which is not easy, and she sucks at it. Akaghairi na kuamia kumshirikisha mume wa mtu ila bila kumwambia direct akamuuliza tu je kama nikibeba mimba utafurahi! Mmmmmmh! Akategemea atalipuka kwa furahaaaa, labda atashangilia au vipi alichojibiwa ni kiwa ukibeba mimba utakuwa hujui nafasi yako na huna shukrani. Utakuwa inamchokonoa mke halali. We nafasi yako ni kuwa Gf, to have fun and goodtimes, kubeba mimba ni kuniweka kwenye cross roads na kutaka haki sawa na mother house na kucomplicate mambo. Nitakushangaa sanaa. Na utakuwa umekosa shukrani kabisaa. Akajobolewa na mengine mengi tu, inshort huyo mume wa mtu akamtahadharisha asibebe mimba.
Kumpa mimba huyu mtu mwinhine haiwezekani. Sasa kama ni wewe ungemshauri nini huyu dada?" Harris akamuuliza kwanini kimpa huyu mtu mwingine mimba haiwezekani sababu hana hela au nini hasa sababu? Stacy akabakia tu anawaza akaishia kugunaaa.
Hadi hapo Harris ashajua mimba ni yake au ya MD, na hakuwa tayari kupoteza haki zake, hata ikiwa ya MD yeye ataikomalia hivo hivo, potelea pote. Akamsogelea Stacy akaanza kumbusu shingoni, baadae mdomoni, akamkumbatiaaa, akawa kamshika tumbo. Akamnongoneza hii mimba ni ya kwangu sio ya MD, i can feel it. Stacy akashtukaa how did he figure it out? Ila akikumbuka alivojobolewa na Gill akawa hana hata nguvu za kukanushaaa.Akawa tu anasikitika na nafsi yake.
Harris tena, akaanza kumvua nguo moja moja baby mama tenaaa, na Stacy akawa anajisikia nyege balaa mpaka akawaza ni mimba nini ndo inamfanya ajisikie horny kiasi hiko. Akaamua tu kutoa mechi kwa baby daddy tenaa, atleast for that night ana baby daddy, na aenjoy even for 1 night kudekaa kama wanawake wengine na yeye. Akazima simu kabisaaa.
Harris tenaaa, basi mara amuwekee mito kwenye kochi asiumie mgongo baby mama, anaendeleza mechi taratibuuu. Anamtania inatakiwa niongeze njiaaaa baba kijacho. Ukifika leba dakika moja tuuuu. Hushonwi hata nyuzi moja. Akampiga cha kwanza kwenye kochiii, Stacy akitaka amkumbatie Harris anagomaa, tutamuumiza mtoto, sitakiwi kulilalia tumbo. Stacy anamwambia tumbo bado dogo bwanaaa, Harris yupo i take no chances na mwanangu. Mpaka mechi inaisha ni kwa ustadi mkubwaaa.
Baadae ana mmasaji miguu, mbona kama miguu imevimbaaa? Hahaaaa! Stacy anamwambia miguu haivimbi mimba ikiwa changaaa, Harris yupo naanza mazoezi mapemaaa. Basi anamuuliza hivi ina miezi mingapi? Stacy anamwambia mi 3. Harris yupo ushaanza clinic? Stacy anamwambia bado, Harris yupo nitakupeleka kesho mama watoto usijali. Stacy akasema ma care haya kiboko. Akasema najisikia kuoga, anawekewa stuli kwenye shower. Hahaaaa! Akasema wenye waume zao wanafaidi si kwa ma care haya, unaweza kuzaa watoto 6 kama Zari. Hahahaaa.
Usiku mzima mechi za taratibu na macare, kila analishika tumbooo, mara alibusu, mara sijui nini yaaani pilika hazimuishiii. Akampora simu akaiweka kabatini japo imezimwa hana amani nayo kabisaaa. Katika story akamuuliza unaona clinic tuanze wapi kesho, wakawa wanajadili kati ya regency au Aghakan. Stacy akachagua Aghakan. Harris akasema atampeleka. Harris akafanya maamuzi kuanzia siku hio hatoki ngoooo kwenye maisha ya Stacy.
Wakalala wote mpaka asubuhi, Stacy akataka kwenda kwake kubadilisha nguo waende clinic sasa, Harris akamkatalia akamwambia avae zake watanunua njiani. Stacy akakubali baba kijacho tena akaamua zile raha azimalizie weekend walau jamani na yeye kidogo loooh. Kufika njiani akachagua gauni, Harris akalikataaa litambana tumbo, jamani baba kijacho huyu ana shidaaaa, akachagua mengine ma 2 ya kuchanua. Harris akalipia 420,000 nguo mbili boxer aliiona ndogo. Akawaza anyway ananipa mtoto sio kesi sanaaa.
Wakaenda clinic, wakaandikisha wakamchagua Dr mhindi yule wa Aghakan, wakaambiwa basics na general idea, vipimo vikaonesha mambo yote safiii. Akapewa kadi lake na akapimwa mpaka HIV yuko fiti. Akambiwa tarehe za kurudi. Mda wa kuondoka akawa Run X inamboaa ashazoea Prado lake liko juu afu comfy ila akajikaza tu. Akajua wanarudi nyumbani. Anaona wanaenda mbezi beach. Akamuuliza safari wapi tenaa, akamwambia tunaenda kula samaki hapo kawe club.
Anaona Mbezi wanaingia ndani ndani akamuuliza vipi tena, akamwambia tunapitia kwa mshkaji kuna kitu nachukua mara moja. Akaamua tu kukaa kimya. Wanafika anamwambia hapa home bwana nataka nikutambulishe kwa wazazi, na kuwapa good news. Stacy akapanic wewe Harris vipi, i am not even sure hii mimba ni yako, you are going too fast. Harris anamwambia MD kashaikataa hii mimba, sababu mimi peke yangu ndo nae itaka basi ni yanguuu.Mmmmmmhhhh! Stacy akashuka sababu washafika.
Mjomba alikuwepo na mkewe wakakaribishwa, basi Stacy yupo jikoni na shangazi yake Harris, anamwambia kwa mara ya kwanza Harris kaleta mchumba nyumbani, miaka 32 sio midogo tushaanza kukata tamaa. Anamuuliza unakaa wapi mwali wangu. Stacy akamwambia Masaki. Shangazi akastuka, kwa wazazi wako? Stacy akamwambia no nimepangaaa. Shangazi akajua yule kibokoooo.
Akaanza kumwambia sasa wewe unakaa Masaki utampenda kweli Harris yatima hana mbele wala nyumaa? Stacy akasema nampendaa ila moyoni akawa anasita mmmmh! Ashazoea Gillbert mahelaa. Akaamua tu kuigiza aone mwisho wa yote. Basi shangazi anamsimuliaaa mambo mia nne. Mda wa kula Harris akawaambia we are expecting. Mjomba akafurahi, akamwambia mama sisi ni watu wazuriii tu, tuta kaa kikao na Harry hapa tuje tujitambulishe tukuchukie jumla jumla. Shangazi ndo kijifanya mkunga sasa maushauri mengiii.
Jioni wakaondokaaa. Weekend ilikuwa na mambo mengi sanaa. Jumapili akashinda kawekwa bed rest na Harry. Anapikiwa, analetewa chochote anachotaka kitandani kwenye movie anapoangalia. Iwe maji, juice, chakula kapikiwa. Akawaza tu i can get used to this. Na mzigo ukaliwa siku nzima sio kwa ma care hayo bure bure.
Jioni akamuaga anaenda kwake, akakataliwa mpka asubuhi ndo ataenda mapema ili wote wawahi kazini. Usiku Harry akamwambia Stacy kwa hio utamwambia MD kwamba una mimba yangu na kubreak up si ndio. Stacy akawa kashikwa kigugumizi akaitikia tu ndio. Harry akamuuliza lini specific. Stacy akamwambia i need time, yule mtu wangu wa mda mrefu, siwezi kumkurupuaaa. Inatakiwa nimpatie pozi nimwambie.
Harry akasisitiza it has be soon, mi sitaki mapenzi ya kujificha, i love you and i want everybody to know, i want to take care of you, sitaki kuwa the man in the shadows. And most of all sitaki uwe unatiana na MD wakati una mimba yangu. Naomba wiki hili lisiiishe hujamwambia. By Sataurday nataka tuwe tunaishi wote. Stacy akasema sawa. Moyoni anawaza haka nako kwa kujitutumua, mia hunaaaa afu unataka nikatibue kwa lodilofa tutaishije mjini. Kijana tuliza vipira hivo mi ndo Stacy nitajua nini cha kufanya.
Harris ndo kadataaaaa, fulll mahaba, anaona dunia rahisiiiii, thubutuuuuuuu! Jumatatu wote wakaingia kazini. Akaenda kumsalimia Laurent, akamuuliza Stacy yuko wapi? Laurent akasema atakuwa kwa boss kubwa. Moyoni akawaza ndo anamwambia huko ukute.
Basi harry anamwambia Laurent, i am so happy, ill soon be a daddy too. Laurent akamsaidia kufurahi. Lau anamchimba baby mama nani kama ni wa pale ofisini akasema hapanaaa. Lau anampa pointers kwamba ajiandae financially na ninj, being a father is the best experience ever. Harry akawa over exited.
Kila saa ana mtext., how are you feeling? Hajakupiga ngumi? Sijui nini wana chat vitu vya kijinga kijinga tu. Mchana akamuuliza unakula nini? Stacy akamwambia nimeagiza Pizza, Harry akamwambia hamna kula Pizza, mtoto atakuwa mkubwa sanaa, you have to eat healthy nakuagiza ugali na kuku wa kienyeji alie changanywa na mboga za majani. Stacy akamjibu sawa baba kijachooo.
Jioni akawa ana hamu waonane, Stacy akamwambia anaenda saloon ila kiukweli ni kwamba alienda ddrinks na Gill. Kila akijitahidi kutaka kumwambia anakosa ujasiri kabisaaa. Mwisho akabakia njia pandaaa asijue cha kufanya. Bahati yake Gill hakutaka mzigo siku hio. Ikawa ndo salama yake. Akawaza kumuacha Gill akili ikamgomea kabisaa ashazoea raha na Harry hana mipango yoyote na hajui kutafuta pesa kama Gill. Akapata wazo amshirikishe Harry wachukie hela kwa Gill za kutosha wafanye biashara zao zikisimama ndo ambwage Gill.
Wakawa wana chat tu mda wote, wanaitana baba kijacho na mama kijacho. Jumatano wakakutana Harry akitegemea Stacy kamwambia Gill and they move foward. Stacy ndo kumwambia huo mpango kazi mpya wa kumuibia Gill. Harry was heart broken, akasikitishwa na akili za Stacy kwanini wamuibie mtu hela zake. Akagoma hio plan ya yeye kuchukua hela za mwanaume mwenzie ambae amemchukulia demu wake. Akaona tu uhasama utakuwa mkubwa sanaaa.
Akaamkatalia, na kumwambia inabidi waende na plan A la Stacy to come clean about their affair na kuwa they are expecting. Stacy akawa haeleweki msimamo wake, anayumba yumba as if hana balls za kufanya hio kazi. Harry akafanya maamuzi magumu moyoni. Akaona trend inavoenda Stacy atakuwa analala na Gill vile vile na tumbo lake. Harry hakuwa tayari kabisaaa.
Kesho asubuhi kachat na Stacy amekula nini, anajisikiaje , huyo kaendaa kwa MD. Secreteary akamgomea, Harry akamwambia mwambie nataka kuongea nae kuhusu Tracy. Secretary alivomtajia hilo jina Gill akamwambia aingie huyo mtu.
Harry kafika pale kamsalimia akawa blant tu, kwamba mimi na Stacy tunapendana sanaa, it wasnt intentional, akamsimuliaa kuhusu siku ile, na kwamba they are expecting and so muvh in love together kwamba Gill aachane na Stacy kama atatafuta demu mwingine atajua yeye au atafocus na mkewe atajua yeye. Ila ukweli ndo huo.
Gillbert akacheka kwanza, Hahaaaaaaa! Kijana umetumwa kuja kinijambisha si ndio. Kakutuma Stacy manake juzi alinijaribu ana mimba nikambalasa sasa ndo kapanga hili igizo kunitishia. Harry akamuonesha screen shot ya chat zao. Gill akazisoma ikaanza kumuinhia kwamba kweli mali zake zimeliwa na zimejazwa mimbaaaa. Kikamuuma sana na mambo yote aliomfanyia Stacy hakumzalia wala hakuwahi kumshikia mimba ila huyu boya wa juzi ashambebea mimba. Akabadilika sura.
Akamkazia sura Harris, kwa hio umeni tombea demu wangu, umemjaza mimba, and you have the balls za kuja kunipangia what should happen next kati yangu mi na demu wangu? You really love her dont you? So do i! Toka ofisini kwangu. Harryndo kujia lichokifanya anajitetea dont take it personal. Gill anamjibu i shouldnt take it personal? Shouldnt i? Unitombee demu wangu nae muweka mjini kwa gharama kubwa and i shouldnt take it personal? Really? At least have the decency to treta a man ambae umechukulia demu na kumjaza mimba with compassion and admit you faulted me. Toka ofisini kwangu. Harry akatoka akiwa mwepesi japo alijua it will coast him jis job.
Akamuuliza secretary huyu kijana unamfahamu? Akajibu ndio yupo floor ya kwanza kule nahisi yupo yupo chini ya kadimu. Gill akauliza anafanya hapa kwahio? Secreyary akasema ndio. Akamuita director of HR. Wakaingia waka lock mlango. Akamwambia kuna kupe mmoja nataka umtimue sekunde hiii kanitombea Stacy! Ht akastukaaa! Mzee gani humu aliekosa adabu? Gill anamwambia sio mzee ni kijana. Bora nagemkaza mke wangu ningemsamehe sio Stacy manake najua kafaidi ma style afu mtamuuu, mke wangu nisingeumia snaa ningejua kafaidi kifo cha menede tu. Direvtor wa HR akawaza kweli boss kaumia mpaka kaanza kutoa siri zake za ndani. Akamujliza kijana gani? Akamwambia Harris. Hr moyo ukafanya paaah maana wanaelewana sio kidogo, akawaza kijana mshenziiii sanaa yule, kamla Stacy aiseeee, itakuwa kafaidi mpaka basi. Hr akaamua kumuokoa, akamwambia u ajua Gill hawa vijana kudeal nao inabidi uende kimwendo kasi. Uki fukuza kazi atapata compassion na affevtion ya stacy wewe niachie mie nitamkaanga humi humu ofisini, nitamuanika juaniiiii, hatorudia tenaaaaa. Gill akakubaliana na Hr.
Akarudi nyumbani saa 4 asubuhi malaria imembana,kutombewa mchepuko kinaumaaa haswaa ukiwa mcharoooo.
ITAENDELEA SAA 5 USIKU.