Gillbert kiukweli kabisaa toka moyoni he never realised ni kasi gani anampenda Stacy mpaka boya Harris anavotaka kumpokonya. Akareview the way he hs been treating her akagundua amekuwa sloppy, no more romantic and he was taking her for granted of which will cost him soon. Huku Malaria imemshika, mkewe akaja kumuuguza ila akili yote ni kuwaza aisee Stacy kambebea mimba yule kakaatakuwa anampenda kuliko yeye.
Kilichomuuma ni kwamba possibly Stacy had affairs with other people lakini he was alwaysnumber 1 kwa Stacy. Aaunganisha matukio akajua tu hio siku itakuwa ni siku aliomkuta bila chupi. Faaaaaaack! It was so evident so open why didnt he figure it out sooer. Akakumbuka na choo kilichofungwa akajua tu the bastard ndo alikuwa kaipeleka ile chupi angemshika ready handed, akajilaumu kutokua speculative.
Akakumbuk na stay kumuuliza if she was pregnant itakuwaje akamblast, not that hakuwa aktaka kuzaa nae, ila basi tu siku hio hakuwa in mood kuongelea mimba na watoto. Akili ikamjia if Stacy came to him first he could be the father. Akajiongeza akafigure out siku ile kwanza alivomla hakumuelewa elewa sema hakutuliza akili itakuwa ndo alitoka kuuza mechi, so even she doesnt know who the father is. Akaona atleast ila bado kizaaa. What if moto wa yule boyaa na akizaa nae it means boya ata stuck kwenye maisha yao jumlaaa. Akawazaaa na kuwazua.
Saa kumi akamtumia sms Stacy, naomba tuonane. Stacy akatoa sababu 100. Akavaa Jacket maaria inampiga si kidogo akamwambia mkewe nina kazi muhimu sanaa, nikichelewa kurudi nyie laleni tu, hesabu hazija kaa vizuri. Akaenda kwa ofisini. Saa 11 anatoka akampigia niko parking hapa, Stacy akasema mi nishaondoka mda sijui nini, akamwambia Stacy nakuona umesimama hapo kwnye ngazi. Kwa aibu akaenda kupanda gari la Gill.
Break ya kwanza hotelini, akamwambia mi sijisikiii vizuri sijui nini, Gill anamwambia huoni mi nimevaa koti, haya mazungumzo muhimu sanaaa. Stacy akicheki simu Harry calling mfululizo. Akawa kaitelekeza kwenye pochi. Kufika hotelini, Gill anambebea pochi kama sio yeye. Akaanza kujitetea, nimefikiria swala lako what if una mimba, i take back all my words, i will be the happiest man on earth. You have always been by my side, na it is time tuunganishe damu na nakuomba unizalie. Pleaseeee. Sijui kwanini hatujazaa mpaka leo but now i am ready naomba unizalie. Nakupenda sanaaa.
Na kuthibitisha i am a changed person kesho yule teja anamleta mtoto wa Traves, i paid him, and you can raise him sitompeleka kwa Marrie, it was inhuman kufikiria kumpeleka kwa Marrie wakati ni uncle wako. Nakupenda sanaa baby. Come lets make a baby pleaseee. Stacy moyo ukayeyukaaaa, akawa haamini amaini akahisi kuna angle ambayo hajaiua why sudden change of heart. Akawa bado anasita sita.
Gill akamsoma kwamba bado hajamconvise, akampandia dau im ready to leave my wife, niishi na only you. That is all Stacy wanted to hear. Na Gill alijua that is an offer she cant refuse. Stacy akalegeaaa, akamkumbuka Harry for a moment ila akajismea Fack Harry hana hela bwanaaa. kaamua kuungana na Gill huku. Machozi ya furaha ya kamtoka. She happiest woman on earth. Akajua hio mimba kujifungua ni Paris, with Gill having the baby will be best experience ever. She couldnt imagin the nursey. She was all giggles.
Gill akataka mzigo japo moyoni roho inamuuma kama mimba ya Harris atakuwa anapanda mbegu juu yambegu nyingine kitu ambacho ni dhambi ila anajipa moyo mimba ile ni yake, maana Harry hana hata katoto ka kusingiziwa wakati yeye ana watoto wa 2. Akala mzigo hivo hivo. Basi anamtega siku hizi unanenepeana tu naona kitambi kinakuaaa. Baada ya mechi Stacy akataka kumsurprise kwamba the bay tayari yuko sio wana mmake.
Gill mnafiki sanaa yule kaka, aka act all exited and surprised. Nae anajiita baba kijacho. Wakalala wote usiku mzimaaa. Basi anamwambia mi hospital za bongo siziamini nataka uwe unaenda clinic SA. Ndo mambo yake anayo yapenda Stacy tenaaa. Mmmmmh! Akafurahi hatari. Wakalala usiku kucha baba na mama kijachooo.
Kesho Gill kila akikaa hana amani na Harris anahisi kama Harris atampandia dau Stacy afu Harris hana mke ndo kilicho muumiza kichwa. Akawaza akasema hawa vijana njaa njaa sana atakuwa tu anataka hela, what if I pay him off aachane na Stacy wangu. I can throw few change on his side and he will be gone. Hili tatizo sio kubwa kama navolikuzaa.
Kesho akamfata floor ya 1 saa 5, Harris akasema nakuja kukabidhiwa barua ya kufukuzwa in person, Gill akamwambia twende clients. Akashindwa kukataaa. Akaingi kwenye gari la Gill, Hari anawaza asipo tumbukizwa mtaroni basi atabamizwa kwenye mti. Wakafika bar, Gill akaagiza bia, Harry soda akawa hamuamini kabisaa Gill.
Gill akamwambia kuhusu maongezi yetu ya jana, what if i tell you i am ready to throw you facking 20 millions to get lost in our lives and forget Stacy. Harry akatikisa kichwa. Kuashiria hataki. Gill akasema fine you are greedy i will double 40 million, not a small cash at all. Think wisely, i can always get my girl back, if i got her once i can win her back, but i like short cuts, i respect hustles, that is why i am paying you for your hear break and trouble, this is my final offer take it or leave it. Think carefully. Harris akatikisa kichwa hapanaaa. Gill akasema okay final final offer is 50 millions if you forget about the baby.
Harris akamwambia mimi sitaki hata senti yako, mtoto sikuachii na demu sikuachiii. Keep your flithy money. Harris akaondokaaa. Gill akawaza huyu kijana ni tatizo kubwaa, na huyu mtoto akiendelea kuwepo pia ni tatizooo kubwaaa. Akili ikamvurugika kabisaaaa. Akamtumia sms mama kijacho Nakupenda sanaa baby tumetoka mbali, Cant wait for our wedding. Stacy kusikia wedding akadataaa. Akawaza inabidi asawazishe na Harris kabisaa asije muharibia mambo yake ya wedding na alivo kinganganizi. Akamtumia sms we need to talk.
Harris akafurahi akapanga kumwambia amemconfront Harris and he tried to pay him off. Kufika kama kawaida mahaba makubwaaa. Walikutana hoteleni. Stacy akaanza kumwambia kwanza i am sorry, i am really sorry. Akamwambia tu ukweli Gill wants the baby back. Na nimeamua to stay with Gill, thanks for everything, you are a nice person and all but Gill is my life. Roho ikamuuma sanaaa, sanaaa akaja tatizo pesaaa. Harris hakuongea neno lolote.
Stacy akaondoka akamuacha kaka pale pale.Roho ilimuuma kidogo but ilitakiwa wakakutane na mama wa mtoto wa Traves. Ila roho ilimuuma kimtindo ila akajipa moyo ukute Harris akmpenda ili amchune tuuu hana hata upendo wa kweli. Gill is reliable. She is makig good decision ku stick with Gill. She culdnt wait the wedding.
Siku hio Gill akamwabia nakuja kwako, akawa kajiandaa hatari. Gill akaja a juice, akamkataza kunywa pombe akamwambia anyw ile juice. Yeye Gillnakunywa bia zake. Kanywa juice nusu, story story na wewe. Akaanza kusiki tumbo linamuuma. Akamwambia Gill tumbo linaniumaa. Gill anamwambia it is nothing ni kawaida kwa haliyako trust me mke wangu kazaa watoto wa 2. Wamekaa tumbo linazidi akamwambia Gill nazidiwa, akahisi damu zinamtoka, akaendachoni damu kweli. Alipiga yowee. Gill akasema ngoja nikukimbize hospital. Njiani mafuta yameishaaa. Akampigia simu sijui nani awaletee. Akaa nusu saa ndo kaleta. Akajua ataplekwa hopital kubwa, kapelekwa dispensary akaambiwa kuna specialist. Akaanza kuingiwa mashaka ila akajipa moyo this is Gill he cant hurt me. Kuchekiwa Dr akamwambia mimba imeharibika inabidi usafishwe kizazi. Akalazwa.
Stacy aliumia roho ilimuuma sio kidogo, akajua tu harusi basi tena, aliumia sana mwnae kufa. Hakujua Gill atakuja na gia gani. ofisini taarifa zikasambaa Stacy ame miscarriage, zikafika kwa Harris akajua tu Gill kamtoa ile mimba. Since hakuwa na uhakika and he paid him off akagoma ndo kusawazisha kamtoa ile mimba kuondoa utata.
Akamfata huko ofisii kwake, leo ndo leo asemae kesho uongo.
ITAENDELEA KESHO.