ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,847
mmh tunalamba Iamba! kesho tupe yote
Gill mbaya jamani.
Mbona unapayuka sana.huyo mwenye stori yake hajapayuka kama wewe,tujifunze kukosolewa unasema tatizo wabongo ,kweli wabongo tatizo na kwa staili hii tutaendelea kuwa tatizo daimaAndika yako basi iliyokuwa original, tatizo la wabongo kila kitu kujifanya wajuaji lakini kutenda zero. Bora ya yeye aliyekopi yako iko wapi?
I doubt G did it intentionally! G na harry Hawatapigana kweli??