Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Tehe tehe!!!Huu wivuvwa Gill sio kabisa...asingekubali kula papuchi kabla ya kyupi kufwata...Harris nae anamtia kiwewe mwenzie kwa kumchunia msg ila naamini hatamuangusha ili kujiwekea mazingira mazuri kazini.......

Married men wana wivu hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, atajiwekea mazingira mazuri kazini au kati yake na stancy??? Wee wee weeeeeeeeeee!
 
Lazima wawe na wivu wa kufa mnyaturu, guarantee ya kuachwa iko nje nje na hawana uhalali ki sheria wa kuwa na michepuko, kinachoshikilia mpenzi sometimes ni mikwara tu.
 
Kisigino kimepona? Nataka walau nitoe huduma ya massaji!!!! You need to be comfortable you know🙂

Kipoe wapi ndokwanza kinazidi kuuma kama leo nikikanyanyia kisigino tu balaa so nakanyangia toes tu si kwa kuchechemea hapa
 
Ubuyu wa safari hii upo ki cooperate sana ila ndio hivyo trela la movie tu tayari tushatengua udhu! Kubwa la maadui hajawahi kutuangusha.
 
Lazima wawe na wivu wa kufa mnyaturu, guarantee ya kuachwa iko nje nje na hawana uhalali ki sheria wa kuwa na michepuko, kinachoshikilia mpenzi sometimes ni mikwara tu.

Kweli kabisaaaa! Hasa ukute alioa mtu tu ila hajui vitu vingi vingi na hamfanyii tuvitu tudogo tudogo ila twenye radha sana mapenzini kama wewe mchepuko wee patamu hapooo!
 
Kipoe wapi ndokwanza kinazidi kuuma kama leo nikikanyanyia kisigino tu balaa so nakanyangia toes tu si kwa kuchechemea hapa

Uko chachi ya wapi nikufuate sie ndio akina Harris, ila wasamaria just kutoa huduma ya kukurudisha home end of story. Saaana tupige sehem update kijiupepo na ashkilimu za azamu zikichagizwa na mihogo ya cocobeach....
 
Ubuyu wa safari hii upo ki cooperate sana ila ndio hivyo trela la movie tu tayari tushatengua udhu! Kubwa la maadui hajawahi kutuangusha.

Haya jumapili hii mkasali kwanza mkirudi saa 5 tayari.
 
Uko chachi ya wapi nikufuate sie ndio akina Harris, ila wasamaria just kutoa huduma ya kukurudisha home end of story. Saaana tupige sehem update kijiupepo na ashkilimu za azamu zikichagizwa na mihogo ya cocobeach....

Hapa Sidhani kama nitaenda kwa hiki kisigino na mishemishe za town nitajikuta nimeng'oka na cha pili nishindwe hata huko kuchechemea sasa
 
Kibarua cha Harris kimekua mcharo ila sio kwa kumtafuna mchepuko wa MD...hapo dogo itabidi ajiongeze.

Na stancy ajiandae tena si kwa kupulizia hio papuchi unafikiri harry atamuacha kirahisi endapo atamsaidia katika kuwekwa town!
 
Hapa Sidhani kama nitaenda kwa hiki kisigino na mishemishe za town nitajikuta nimeng'oka na cha pili nishindwe hata huko kuchechemea sasa

Ha ha haaa unakataa ofa ya Harris, take me out of this place, nipeleke kokote nisipojulikana.....

Kwa mwendo wa hii stori, jikalie tu nyumbani unaweza kujikuta umeongezea tatizo la kutengua kiuno bure.
 
Ha ha haaa unakataa ofa ya Harris, take me out of this place, nipeleke kokote nisipojulikana.....

Tehteh Sa ndo nachechemea hapa nitakataaje ofa na gari sina,, hakuna namna nipeleke kokote tyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom