Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Mlungula umemlainisha Lala amefanya kile ambacho hakikutarajiwa... R.I.P shem MALIKAA we will always Love you.. Acha bondia aendelee kuwa na punching bag lake
 
lara 1 ahsante kwa kujilipua ila naamini iko namna imefanyika. Sio mbaya hata hivyo Harry atakua kufa na kuzikana kwa Stacy, hilo linanifariji maisha yanampiga but at least he managed to Keep the girl. Gill nae pesa sio kila kitu, he got cash ila hana maisha ya furaha. Naamini haujapokea mlungula.

Hongera na tunakutakia uzinduzi mwema wa blog yetu pendwa.
sina imani na lala, nadhani amebadili gia angani kama yule mwenyekiti wa chama cha kinondoni
 
Nice story, touching, teaching, impressing, wonderful... I love it.
Hongera sana kwa hii pia
 
sina imani na lala, nadhani amebadili gia angani kama yule mwenyekiti wa chama cha kinondoni

Hahaaaaa! MSHAWAHI KUONA WAPI AKAFILISIKA FIII AFU AKATAJIIKA TENA? MUNGU MJOMBA WAKE?????????? IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS NDO IMETOKAAA UNASHANGAA USHAZEEKA.
 
uandishi wako ni ule wakina BEN *MTOBWA* fulani hivi....story ukiisoma unapata picha halisi..sio story mambo ya kufikirika kibao .....



Majina mengine bana
naona umeanza ugomvi mkuu. Unasanifu jina langu?
 
Pongezi kubwa sana kwako lara 1 salut kubwa kwako pia, thanks for the fantastic story.
Bora pia umeanzisha blog yako ili wadau wako tuwe tunakufuatilia huko.

Mwisho wa yote niwashukuru wapinzani wetu wa TEAM HARRY wakiongozwa na team leader wao Samaritan kwa moyo wa uvumilivu mpaka mwisho wa story, kiujumla story imeisha vzr na imetuelimisha vyema.
 
@Lara1 aksante kwa somo zuri. Naliita somo na sio hadithi kwa maana kuna mengi najifunza kutoka kwenye hadithi zako. Hongera kwa kuja na wazo la kufungua blog na kama ikibidi I we na app yake kwa simu. Shukrani.
 
Thanks #lara1

Scene iliyonivutia na kunifunza zaidi ni ya Malika akielezea financial sources zake. Asee lara hapa umenipa boost moja kubwa sana. Na nina imani nitaifanyia sana kazi hii scene.

Mungu akubariki sana.
 
Nashukuru lara 1 kuimalizia jinsi nilivyokuomba, maana bila hivyo hizi team team zingezodoana sana leo.

..... Kwi Kwi Kwi msiniue wala kuchukulia serious(natania tu)

Thanks lara 1, umekuwa mbobezi kwenye hii nyanja
 
Funzo: nikionacho hapa there are two kind of people in this world no matter what you do, how you do, LOOSERS and WINNERS kila mtu anaujua upande wake..... by the way thanks lara for the good story, see you next time.
 
Malikaaaaaaa kaniumaaaa!
that email
daaaah!
nimejikuta nasoma mara mbili mbili,af maskini wala sikuwaza ataishia hiv!


umefanikiwa kunishangaza!
AHSANTE!
WACHA NISUBIRI BLOG
 
lara 1 ahsante kwa kujilipua ila naamini iko namna imefanyika. Sio mbaya hata hivyo Harry atakua kufa na kuzikana kwa Stacy, hilo linanifariji maisha yanampiga but at least he managed to Keep the girl. Gill nae pesa sio kila kitu, he got cash ila hana maisha ya furaha. Naamini haujapokea mlungula.

Hongera na tunakutakia uzinduzi mwema wa blog yetu pendwa.

Ha ha ...team Harry Mwenzangu namna gani sasa imefanyika.....mwendo wa kubalance tu hapo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom