lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #621
Gill akiwa bado hajaamini kama anataka kuoa tenaaa, kwa mara ingine wakati divorse yake hatamwka hainaaa akawaza jinsi gani life yake ilio compatible na Malikaa. He had to marry her. Lazimaaa. Atafanya juu chini katikati iwalo na lile. Akshangaa kwanini Malika alikataa proposal yake in the first place hakuelewa kabisaaa, akapaga kuendelea kumbembeleza elieving maybe hapendi ndoa, ni wale watu against marriage.
Huku kwake mkewe alikuwa anaendelea vizurii sana na Mathiew. Katika chimb chimba zake akajua Mathiew han shida kabisa, ni mjane kafiwa na mkewe, na Mkewe alikufa kwa ajali tu mda mrefu sanaa akawa anawalea wanae peke yake. Pia akagundua ni mtu mzuri sanaa kwa wanae, kamsaidia sanaa kwenye malezi sababu he was never much of a father anyway. Kwa hilo akamshukuru sanaaa. Na Marrie was really happy. Kabisaaa. You could see it her. Na wamekubaliana wasizae tena bali wawalee wale watoto wao walionao basi.
Mathiew earned his respect, akaacha visa na kumtafuta ubaya usio na sababu, akawa nae poa tu, wana have conversations kama kawaida, about politics, ball, news. He made peace with him, na akawa ule uhasama hana kabisaa rohoni. Akawa anamwambia "Since you stole my wife, and Marrie is not easy to steal naomba pointers za kumfanya Malika akubali nimuoe. I am afraid nisipomuomba akakubali nikamuoa, some one will snatch her away from me, and i wont be lucky anymore. I have had 3 wonderfull omen in my life, Marrie, Stacy and Malikaa. I guess that is where my luck ends. Wakawa wanapeana pointers na nini.
Akamkalisha Rodgers chini na kuzungumza nae, "As your father i am taking back my words, Mathiew is more of father to you as i am. God was generous to you and gave you 2 fathers, naomba umuheshimu na kumpa ushirikiano wako. Whatever business against him i started i am ending it. We are now familly with him and the girls. We all want your maa happy and the happiness package comes with Mat in it. Akama mawaidha mawaidha paleeee ya kumsaidia maishani.
Ghafla akashangaa imepita wiki, hajaonana na Malika, hampati kwenye simu, email, skype, kokote. Akashangaa sanaaa. Akamtafutaa weee bila sababu. Akaangaia hela zake hamna hata 100 aliopotezaa. Akamfata alipokuwa anaishi akaambiwa nyumba alirudisha. It means uonokaji wake ulikuwa intentional. Akamtafuta sanaaa, mochwari, hospital, kila mahali hakumpata. Ikapita miezi mingi sanaaa bila kumuona. Ukaisha mwaka.
Siku hio hana hili wala lile akaletewa email, kucheki hivi subject imeandikwa Malika. Akaifungua fasta fastaaa, ndo akakuta baruaaa kutoka kwa Malika.
"Gill if you are reading this i am dead by now. I am writing this down with Cancer, the chemo is not so very friendly to me. By the time i met you i had a last stage cancer, and that is why i refused to marry you as much as i wanted. That is why i never gave you a baby. I vanished from your life cause i loved you so much to see me sick and dying while you cant help me. I didnt want you to remember me that way, skinny, bald and life sucked out of me as i am now. I want you to remember me as Malika drop dead gorgeous beauty full of life, full hope, full of happiness, the black market queen, wild and funny, your Malika. I will love you always. Nimemuomba ndugu yangu akutumie hii siku nitayokufa cause i knew you have looked for me every where and you will keep waiting. Dont look for me cause i am Dead and gone by now. Love you forever.
Gill akahokaaa kabisaaa. Hakuna siku iliokuwa ianisha bila yeye kuwaza Malika atarudi kwake. Hakunaaa. Now kujua aeshafariki was even worse. Atazeeka na nani? Mbona majangaaaa.
10 YEARS LATER
Stacy akawa anawaza she always wanted to marry a proper husband, live a proper life. Lakini life has its surprises. Akawa anawaza if she made the right choices. She always hopped life will get better and better but time flies so fast it was 10 years already and counting. She couldnt understand how time went so fast. She was wondering if it was worth it. Akagutuliwa na mtu.
"Mamaaa! Is Dad a deadbeat daddy and a looser who cant take of us? He is broke, a looser and a drunker?" Stacy aashtukaaa "who said that Tyron?" akamuuliza mwanae ambae alimzaa na Harry sasa, na wamezaa watoto wa 2 wa kike na wakiume. "Some kid in school, i dont want Daddy to be a a dead beat dady and a looser. My dad is a hero!" Stacy akamwambia he is not a looser, he takes care of us, and loves us, he might not be rich as other daddies but he is the coolest dad on earth. Mtoto akafurahi na kuondokaaa. Moyoni akawaza tu "he is deadbeat daddy son and a looser too.but he is your daddy son, so just like me you are stuck with him, we are stuck with him" kaendelea kujiuliza "was it worth it to give up everything for Harry, the deadbeat looser daddy?" Hakufikia muafakaaa kwa kweliii. Hata angefikia muafaka isinge saidia.
Harry kiwa anakunywa na kulewa kama kawaida yake, he gave up life completely. He wasnt even trying anymore. He just came into conclusion his time had already passed. Hatokaa arudi pale pale alipokuwaaa zamani. He could live with the pain of being a looser, na kufugwa na Stacy but not without Alcohol. He had a regular job, with regular income, which he could afford alcohol and thats it. Familia alimtlekezea mkewe kwa kweli. He was glad he married her which made his life a lot easier.
When his son was born he was convised he would change, he wanted to change, he swore to change, but theworld had already changed faster than him, he just couldnt keep up. Then his daughter was born, he had reasons to change more than ever, but he never changed. He was still the same old looser. To keep living he had to keep driking heavylly. Like now he was drinking heavily.
Akasikia mtu anamuita Harry! akageuka na kumkuta ni Gill. Wakajumuika wote katika kunywaa. Harry akamuuliza Gill "What did i do to be here at this financial state in this life? Where did i go wrong? What happened?" Gill akamjibu simple tu "In this life we chances, if you dont grab those chances by the balls you will end up wondering how you bacem second rated. Youdidnt grab your chances by the balls man, you became proud and sloppy. But it is not end of life man." Wkaendelea kunywaaa. Harry akamwambia tena Gill " I shouldn have taken her from you, i just distroyed her life and make her miserable. I just didnt know how to love her properly just like Laurent said back then he didnt know how to love his wife properly now i understand his postion. Atlast his wife left but Stacy willnever leave me but i robbed her, the est years of her life. I should have lef her with you." Gill akaa kimyaaa maana hakjua achangie nini.
Gill akaamua kubadilisha topi. "Harry remember tha show that ran you bankrupt? how about we re do it now, times have changed, then was not a time for a show that big but now is a time. We can make it happen, ill invest money in it and you promote. I ll do it in memory of Malikaa. Can you believe me she left me a lot of money in her will. Of which i was given but i spent it on charity towards cancer patients. I renovated couple of wards, sponsred treatement couple of patients, sponsored couple of awareness campaigns. She would have liked me to spend her money that way. I will put money in your show man, lets do this."
AND THEY ALL KNEW IN THEIR HEARTS THEY WERE TOO OLD FOR SHOW BUSINESS, AND IT WAS JUST A DRINKERS TALK AND IT WILL REMAIN A DRINKERS TALK.
THE END.
I AM LAUNCHING MY BLOG 20TH OF JULLY 2016 ILA IKO KWENYE MATENGENEZO YA MWISHO MNAWEZA NITEMBELEA www.lara1stories.blogspot.com ambapo mtapata collection ya story zangu zoote sehemu moja, full story post moja. Karibuni sana.