Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Jamani Leo nimeingia blog ya Lara 1 na kusoma Hadith moja matata sana, Pia nimejifunza kubana poo ili njaa isiume
 
Kumbe blog tayar ngoja nikacheki. ... I l you ky6qqlqlqli you have
Jamani Leo nimeingia blog ya Lara 1 na kusoma Hadith moja matata sana, Pia nimejifunza kubana poo ili njaa isiume
 
Lara if you ever write a story like this again, I'll bewitch you! Sijawahi kulala saa 9 usiku kisa tu hadithi! Usirudie nakwambia.
 
Hata wewe huwa unakuja huku? Najua heaven sent huwa halali ila sikujua wewe team popo
si umeona nimemtishia kumloga? sijawahi kesha tena kisa hadithi. Mbaya ni kwamba sikuwa nimeingia muda kwa hiyo nikakuta series zote. Kila nikisema niishie hapa niendelee kesho utamu unazidi kukolea. Hafai huyu mtoto.
 
Aisee kuna Dada ana mimba changa ya mchepuko .
Juzi kaletewa juice anywe...yeye amegoma anajua imetoka kwa njia kuu...Kwa story ya Lara1 nimejua kazi ya juice

huyo Jamaa kila akipiga simu anauliza kwann hujanywa juicy hadi ugomvi...
Asante Sana Binti story zako zina tufumbua Sana sisi
Baki njia kuu. Na atakukamata tu, hamna namna.
 
sina imani na lala, nadhani amebadili gia angani kama yule mwenyekiti wa chama cha kinondoni
Hapa naweza sapoti. Na duniani @lara1 ukumbuke kuna psychos unaeza kutana na mtu akakupiga kofi akakwambia thats for harry!

Hongera kwa hadithi zako, saw ur blog. Inahitaji few arrangements iwe more suitable for use. Nice story!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom