Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Lala leo huku kwetu umeme umekatika afa cm zinakaribia kuzima tushazima data na kuwasha mpaka nahic nitaiua cm. Fanya hisani tu nisome nikazime kasimu kangu.
 
Nilikuja speed nikajua nmechelewa ndege kumbe bado bas sawa saa tatu sio mbali na hi leo ijumaa hata episode mbili hazina tabu
 
huyu mwanamke yuko vizuri sana "upstairs"...so much talented af anajua mambo kibao,kila kona yumo...ki shuleshule tulikuwa tuna waita "much know",yani katika kila angle ana idea flan

Yuko smart sana....kishuleshule ...msuli sisimizi matokeo tembo....
 
".......Akapanga kuendeleza mnunooo. Kesi tu imebadilka jina kutoka civil case mpaka ciminal case, manake mwanzo ilikuwa kesi ya kulalamika kwanini kaoaaa, sahivi ni kesi ya jinai on several grounds, Fraud and conspiracy to commit Fraud......"

lara 1
we ni mkali...unafuatilia vitu vingi sana....kila mahala upo...hizi story zako huwa unazungumzia mambo mengi sana katika hali ya kawaida sio rahisi mtu kuyazungumzia kiufasaha.....we ni mkali kwangu mimi wewe ni zaidi ya Shigongo.... uandishi wako ni ule wakina BEN MTOBWA fulani hivi....story ukiisoma unapata picha halisi..sio story mambo ya kufikirika kibao .....
Mkuu huyu she anajua mambo mengi si mchezo, anafaa kuwa FBI
 
uandishi wako ni ule wakina BEN *MTOBWA* fulani hivi....story ukiisoma unapata picha halisi..sio story mambo ya kufikirika kibao .....



Majina mengine bana

yah..BEN ROBERT MTOBWA...vitabu vya mwanzo utakuta mwandishi BEN MTOBWA baadaye BEN R MTOBWA..Hili ni gwiji la kuandika riwaya Tanzania ....TUTARUDI NA ROHO ZETU, ZAWADI YA USHINDI, NYUMA YA MAPAZIA, MALAIKA WA SHETANI, DAR ES SALAAM BY NIGHT na vingine vingi.....
 
nilisoma vibaya jina niliona km MTOMBWA, Daah mawazo yangu sijui yalienda kwa Stacy!

ha ha..weekend hii ndo ishaanza ukute upo kwa vitu virefu tayari......au ndo ''ugawadu'' umezidi.....au unasubiri timu pinzani kunako 6 kwa 6....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom