Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

hahahahaha..............kifo cha mende chaliiiiiii.......hii hatari sana mkuu.

Subiria kilio cha Gill kaka, afadhali sie kidume kikija kuibuka kidedea ndio maandishi ya wahusika wa movie yatakua yanapita kwenye screen picha linaisha.
 
Kina Stacy wapo wengi sana mjini, wao kazi kua michepuko na kjiuliza mbona sasa Gill anaowa wakati ni nipo nae miaka 10? Na bado anaowa mwanamke mbayaaa hajui kuvaa, poor them Stacy komaa na Harry acha kupenda pesa

Mbona Stacy wetu huyo tunamuweka ndani? Maisha ya Stacy na Harry yanachanua upya. Lakini kama asingedanganya yule mtoto ni wa kwake asingepewa offer ya kudonate mbegu. Maisha yana maajabu sana.
 
Gill wetu anakoenda siko,...hapa mtunzi anataka kutubadilishia gia hapa kuna watu wametoa cha nyuma ya mbuyu
 
Hahaaaaa! Mbona mnakuwa hamna imani na mimi rubani wenu? Nyie zungukeni ila mwisho wa yote mkae mkijua ndenge inalipukia angani kila mtu ataondoka kimya kimya. Some times life just facks us all. Hahhaaaa!
 
Bora tukose wote kuliko Gill akose peke yake ntaumia sanaaa,.. Mi nakuaminia rubani
 
Hahaaaaa! Mbona mnakuwa hamna imani na mimi rubani wenu? Nyie zungukeni ila mwisho wa yote mkae mkijua ndenge inalipukia angani kila mtu ataondoka kimya kimya. Some times life just facks us all. Hahhaaaa!

Team Rodgers...🙂!
 
Subiria kilio cha Gill kaka, afadhali sie kidume kikija kuibuka kidedea ndio maandishi ya wahusika wa movie yatakua yanapita kwenye screen picha linaisha.
Achane kujifariji jmn, maisha yakishakunyea inachukua mda kweli kutoka Gill wa kimataifa mkuu
 
".......Akapanga kuendeleza mnunooo. Kesi tu imebadilka jina kutoka civil case mpaka ciminal case, manake mwanzo ilikuwa kesi ya kulalamika kwanini kaoaaa, sahivi ni kesi ya jinai on several grounds, Fraud and conspiracy to commit Fraud......"

lara 1
we ni mkali...unafuatilia vitu vingi sana....kila mahala upo...hizi story zako huwa unazungumzia mambo mengi sana katika hali ya kawaida sio rahisi mtu kuyazungumzia kiufasaha.....we ni mkali kwangu mimi wewe ni zaidi ya Shigongo.... uandishi wako ni ule wakina BEN MTOBWA fulani hivi....story ukiisoma unapata picha halisi..sio story mambo ya kufikirika kibao .....
 
Yaani ubaya wote uliotufanyia Jana nikajua Leo tunapumua kidogo kumbe ndio kwanza umezidisha dozi. Team Harry kazi tunayo japo Kambi hatuhami ila mikuki ya moyo itatuhusu sana. Naona kuwa team Harry inabidi uwe na kichwa cha mwendawazimu.

bado tupo pamoja....iwe mvua liwe jua pamoja tutafika......kutakuchwa tu....
 
".......Akapanga kuendeleza mnunooo. Kesi tu imebadilka jina kutoka civil case mpaka ciminal case, manake mwanzo ilikuwa kesi ya kulalamika kwanini kaoaaa, sahivi ni kesi ya jinai on several grounds, Fraud and conspiracy to commit Fraud......"

lara 1
we ni mkali...unafuatilia vitu vingi sana....kila mahala upo...hizi story zako huwa unazungumzia mambo mengi sana katika hali ya kawaida sio rahisi mtu kuyazungumzia kiufasaha.....we ni mkali kwangu mimi wewe ni zaidi ya Shigongo.... uandishi wako ni ule wakina BEN MTOBWA fulani hivi....story ukiisoma unapata picha halisi..sio story mambo ya kufikirika kibao .....
huyu mwanamke yuko vizuri sana "upstairs"...so much talented af anajua mambo kibao,kila kona yumo...ki shuleshule tulikuwa tuna waita "much know",yani katika kila angle ana idea flan
 
Lala ameshachukua mpunga wa UPANDE mwingine ndiyo maana haeleweki. Ningekuwa mimi ndio Gill nisingeongea tena na
STRACY kwa kuifuta kesi. Shwain Jazz band
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom