Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Team Harry wanakunywa Diclopar, na ndo kwanza dozi imeanza.
dah....ndo maana nimegoma kuchagua timu....lara1 hutabiriki hata kidogo. timu zote nahisi zina gundu hahahahaaa watu washapiga diclopar 4x3 dadekiii, cjui hao wengine dozi yake....
 
DAAH basi nikafikiria utaniitikia kwa bashasha na maraha saaana,ukizingatia tumepotezana muda mrefuuuuu,lakini napata senkyuuu,daaha binadamu sisi?,haya basi inabidi nikubali tu sina jinsi,yaani Valentina huyu huyu ninaemjua?
Ha haa nilikumiss uchokozi wako tu
 
Hanywi mtu diclopar hapa team harry hadi movie iishe ila sema usibadili gia angani mana huchelew

Umeona lara 1 anavyotuvua nguo mchana hadharani mbele ya kadamnasi? Ila no sweat tutavumilia tu hakuna namna, sio kutudhalilishia kamanda wetu kiasi kile.
 
@lara1 mi sipendi mbona unaitupa stuli wakati kitanzi sijakiweka vizuri
 
@lara1 mi sipendi mbona unaitupa stuli wakati kitanzi sijakiweka vizuri

Si ndio hapo, hata kama mtu umeamua kujinyonga kufa kwa pozi muhimu sio unakufa kienyejienyeji bila hata kupiga selfie ya kuacha kumbukumbu. Anatunyanyasa kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom