Stacy akakutana na Lau, akamuomba ushauri kuhusu wazo lake la kuzaa na Harris. Akamsimulia A to Z. au akasema mmhhhh mbona umechagua njia ilio nyembamba? Ujue kurudisha mahusiano na mtu wa hivo ni kazi sanaa, hata ukifanikiwa kuyarudishaaa yatakusumbua sanaa, mda wote he will be bitter. Yaani atakuwa anatafuta chance ya kukulaumu na kukulaani masaa 24. Ni mahusiano magumu sanaa, sababu bado vitu vimemkaa rohoni. Plus he will never see you the same again.
Stacy akajisemea i know, but i still want to win him back, unajua nilimfanyia mambo mabaya sanaaa. Mi sitaki kurudiana nae kuwa mkewe sijui nini, noooooo,mi nataka tu nizae nae katoto kamoja tu ka kike, na huyu Prince nimemalizaaa.I ont need him to love me unconditional au yale mapenzi deep kama ya mara ya kwanza, wala i know lost all my rights for his true love. Now my bar is set too low. I just need him to be interested in having an affair with me, healthy sexual relationship, sababu ana mke niw hata mchepuko tu, mi nishazoea hii nafasi yangu ya mchepuko kitambo sanaa hahaaaa. I will always nw my palce.
Lau akajisema "Stacy mchepuko tenaaaa? It it is such a pity you may never get married, but a nice good hearted person only you keep hooking up with wrong men at wrong times. You will have ben a great wife. Kama shida ni mtoto zaa hata na mimi, i have good genes too. And treat you so much better kuliko both of them si Gill wala Harry. I only cant promise to love you, manake i promised my wife infront of over 100 people and never lived to the expectation, i just didnt know how to love her. Unajua mahakamani anavotoa ushahidi how i was such a terrible husband and unfit father kuwin custodyndo narealise bits by bits kwamba i didnt do her good. Ujue unaweza kuwa umefanya ushetani ila ukikusanywa ukawa documented na kuwekewa usoni ndo utauelewa. Still ill do you so much better."
Stacy akamwambia "I am tempted, ila acha masihara, you my best friend already stuck i the friends zone." Wakacheka tu wote. Harry akamtia moyo if there was a spark between you once you can light it again Sema now haitokwa natural and easy, itahitaji efforts kubwa za kupulizia hiko kicheche mpaka kiwake. Siku hio Stacy akiwa bado anawaza amchotaje akili Harris warudiane hapati muafaka kabisaaa. Akaenda shule kumtongoza mwalimu wee ampe namba ya Harry, mwalimu akawa anasita, mpaka akaanzisha ushoga kumpa mwalimu lace wig, offer ya saloon, mwalimu akampa namba. Na hii sababu since amuone na ule mgari kila akienda shule kufata mtoto anakutana na dereva tu. Akaona hamake progress.
Alivoipata hio namba akamuanza. Hi! Siukuoni shule. Za masiku. I was just saying Hi!. Ikajibiwa Nani mwenzangu? Akajibu mi Stacy. Ikajibiwa "Samahani Stacy yupi? Nawajua Stacy wengi sanaaa" Mmmmh! Stacy akasunyaaaaa, akasema jitu zima hovyoooo hovyooo. Kwa hio Stacy wanamuonaga shul na mwanae wengio sana. Mxiuuuuuuuuu! Kujishaua mijitu mingineeeeeee. Akaamua kumjbu "Samahani kaka nimekosea namba" Ikajibiwa "Haina shaka." Mmmmmh! Stacy akajisema yale yale aliosema Lau, mtu anatafuta chance ya kukjoboaa tu, nitaweza kweli mimi? Mbona kama siweziiii! Eti Stacy yupi? Loooooo! Mmmhhhhhhhhhh! Akajicheka mwenyewe manake ndo mwanzo wa mission na ashaanza ku consider ku abbort mission. Akawa anajipa moyo Harris atamtafuta, wiki ikaisha hajamtafuta wala nini. Stacy akajua kupata hio genes it may take her more than what she had initially planned to give.
Mpango wa simu umefeli, akawaza atumie mpango gani mwingine labda, akakosa kabisaaa. Maana kazini kwake hakujui wala pa kumpata hapajui, akawaza ampeleleze dereva anapoishi siku hizi. Akamfata dereva siku hio akajibalaguzaaa, samahi kaka nimealikwa kwenye birthday ya Stacy sasa location siijui vizuri, unaweza kunielekeza kwao. Dreva akachekaa sanaaa. "Akamwambia Stacy acha uongo, boss aliniambia utakuja kunipeleleza anapoishi na nisikwambie, hahahaa, mi nilivokuona nikajua uongo ila umenichekesha sanaa. We na boss sijui mnacheza mchezo gani, ila katika mchezo inaonesha boss yuko mbele yako, manake aliniambia nikikukatalia pia niwe makini unaweza kuni trail nyuma nyuma mpaka nyumbani. Hahahaaaaaaaaa" Wakajikuta wote wanacheka Stacy na dereva. Stacy akamuuliza "Ndo alivokwambia hivo? Muongo yule, namdai pesa zangu ananikimbia, fine, sasa chukua hii laki unielekeze bwana kishkajiii, mi namdai yule ujue." Dreva akazidi kuchekaaaa, akamwambia "Huwezi amini alinipa 1m, akaniambia anakujua utajaribu kunihongaaa, ndo maana nakwambia kila unachokiwa sahivi boss ashakiwaza siku nyingi sanaaa. Ama kweli huo mchezo wenu hauhitaji hasira" Dreva akamuaga Stacy na kumtahadharisha asim trail. Hahahahaa.
Stacy akazidi kuona mambo magumu, akawaza hivi nachohangaika nini, naweza hata kwenda kuchukua mbegu za machotara huko au wazngu wenye macho ya blue nikatoa kituuuuu. Afu akakumbuka she was so broke now to afford that na hela za Gill hazipo tena za kuchezea. Akawa yupo kizani kabisaaa katika hilo swala. Mtoto mwenyewe mdogo isingekuwa hivo angemtuma hata Price ampeleleze mtoto baba yake anafanya kazi wapi. Prince mwenyewe mdogo hana hata msaada. Akawa kalost.
Hearing ya Lau ikawa inakaribia ukingoni, ila kila mtu alijua Lau atapoteza manake mkewe kiboko, kawaletamajirani zao wa zamani wakatoa ushidi Lau alikuwa mlevi na anampiga mkewe, upande wa mkewe kawaleta ma house girl wa 3 waliokaa nao zamani wakatoa ushahidi wa kinaaa jinsi Lau alivokuwa terrible husband and Father. Akamsimamisha Dr. wa familia akaelezea jinsi mtoto alivokuwa anaumwa Lau hana mda, yeye mziki na pombe tu. Akamsimamisha Mwenyekiti wa jumuiya yao kipindi hiko, akatoa ushahidi Lau hakuwahi kuonekana jumuiya hata siku moja, walikuwa hata hamjui kwa sura. Akamsimamisha father wa kanisani kwao, father nae alichekesha na kusikitisha, akatoa ushahidi kweli mke wa Lau alienda kupeleka mashauri mengi ya ndoa yao, na akamutumia wito wa kuitwa parokiani mara 10, hakwenda hata moja, na nakala za barua zote 10 akaziwasilisha, sema mwishoni Father akamtaka mkewe amsamehe mume na wasuluishe maana ndoa ya kikristo haina talaka akaambiwa Faza ushahidi unatosha hapa sio madhabahuni ni mahakamani. Akamsimamisha mwenye nyumba wao wa zamani aelezee Lau alivokuwa mkorofi kutoa kodi ya nyumba, mlevi na alivomsumbua kodi yake, sema mkewe ndo akawa anamlipa hio kodi na akashauri kwa anavomjua Lau asipewe mtoto kabisaaa, akatimuliwa sio yake kazi yake kushauri mahakama ashatoa ushahidi basi intoshaaa. Akamleta na bar maid ambae ni ndugu wa mkewe, kumbe abr aliokuwa anakunywa Lau kuna barmaid wametoka sehemu moja na mkewe mmh alikuwa anamuona ufirauni wake woteee aliokuwa anaufanyia pale, na Lau hakuwa mtu wa kubadilisha ma bar, ni mtu akizoea bar kaweka makazi. Bar maid kala kiapo akaanza kusimulia vya kweli na chumvi nyingiii, Lau alikuwa sio mtu mzuri mara kibao alikuwa akilewa anafanya fujooo, ananunua malaya, ana wanyoso ma bar maid kwa kwenda mbele, mtu wa mchupaa mpaka alfajiri. Yaani akamuelezea kama mtu asiefaa katika jamiii. Wa mwisho kabisaa akamsimamisha boss wake Gill, ku prove kwamba Lau is broke na hana financial capacity ya kumlea mtoto. Gill hakumuonea alitoa tu ushahidi kwamba kweli alimuomba promotion kwa email kwamba legal fees zimezidi, akawsilisha nakala ya email, akaulizwa alimpa hio promotion? Akasema hakumpa not that Lau sio mfanyakazi mzuri na hastahili promotion la hasha sema kuna system na itifaki katika ofisi kama ofisi zingine ku promote watu, na kumsaidia kama boss wake alimpa mkopo usio na riba. Akashushwa kizimbani.
Upande wa Lau wanasheria wake walijitahidi tu kuonesha Lau is a changed person, sio yule wa zamani, wakamsimamisha mwalimu wa mwanae wa darasa, akasema Lau is phenominal ni baba anejali sanaa, anafatilia home work, maendeleo, na yuko comiitted kwa mwanae, yeye kama mwalimu japo hamjui mama wa mtoto ila haoni tatizo Lau kubakia na mtoto. Akaambiwa ticha sepaa maoni yako darasani tu kwa wanafunzi wako, hapa maoni ni katiba tu. Akamsimamisha kocha wa mtoto kwenye team yake ya mtaani, akamuelezea ni mtu poa sanaa, anaspend time na mwanae sanaa, anahudhuria mechi zoteee, na yupo committed sanaa, matter of fact katika wazazi wote wa watoto kwenye team yake Lau is the best. Upande wa mkewewakamjoboa kuwa anaongea hayo sababu Lau ndo mfadhili mkuu wa team, lazima ushahidi wake uegemee upande mmoja. Akamsimamisha mwenyekiti wa jumuiya yao wa sasa, akaeleza Lau ni muhuzuriaji mzuri wa jumuiya, na anakuja na mwanae mara zote. kawasilisha na Attendance register ya jumuiya wajiridhishe. Akasema tu kwa mambo ya dini Lau yuko vizuri na anamlea mtoto mrengo unaotakiwa. Akamleta na Dr wa familia, akamuelezea Lau yuko vizuri sanaa, anafatilia charts za kumuona daktari, anampeleka mtoto checkup kama alivoandikiwa, anafatilia nutrition charts vizuri kabisaaa. Kwa kweli yeye Dr. haoni ubaya Lau akiachiwa mtoto. Akajobolewa na upande wa mkewe kwamba anajua mtoto akichukuliwa atapoteza mteja na income so lazima atetee kula yake. Akamleta na mwenyekiti wa wazazi shuleni kwa mkewe akatoa ushahidi kwamba Lau hana shida kabisaa. Akawaleta majirani nao wakatoa ushahidi tu kuwa Lau is best father ever. Akamleta dada wa kazi amabe alitoa ushahidi upande wa mkewe ukamjoboa unatetea kibarua chako unajua mtoto akichukuliwa utakuwa huna kazi. Mwisho akamsimamisha Stacy, kama boss wake akamuelezea ni mtu responsible, hardworking , na mtu mwenye maadili. Akajobolewa sababu unatmbea nae lazima umtete kwanza una historia ya kutembea na wanaume za watu. Upande wa Lau ukamshikilia mkewe kwa kigezo kwanini aliondoka miaka yote hio akamuamini na mtoto leo ndo aje akumbuke ya nyumaa, kwanini hakuondoka na mtoto kama Lau ni mbaya kiasi hiko?
Siku ya hukumu Stacy akamsindikiza Lau, akajua tu pale labdaaaa Mungu atie mkono wake, ila mkewe alivo mburuzaa kesi nzima inasikitishaa. Sema kujipa matumaini Lau akajua atashinda kesi. Watu wengi walikuja mahakamani siku hio kutoka ofisini kumsupport tu, akiwemo Gill. Hadi Harry alikuja siku hio. Hukumu ikatolewa mahakama imejiridhisha baada ya kusikia pande zote mbiliii na upima kwa kina na kuangalia kesi kama hizo zilizo amuliwa nyumaaa, na vifungu vya sheriaaa imempa FULL CUSTODY mke wa Lau, ikiamini kwamba mtoto analelewa vizuri zaidi na mama yake. Ila imejiridhisha Lau kajirekebisha na ni baba bora kwa hio Lau ataruhisiwa kumuona mtoto mda wote kwa visitation na makubaliano na mkewe juu ya hizo visitations. Na kuzingatia hali ya kifedha ya wote wawili, na mke wa Lau kuainisha nia yake ya kumuhamishia mtoto USA, atalazimika kumleta nchini mtoto si chini ya mara 4 kwa mwaka kuja kumuona baba yake endapo Lau atashindwa kumudu gharama za kwenda kumuona mwanae huko nje. Rufaa iko wazi ndani ya siku za kisheria, inaweza kukatwa na upande wowote ambao haujaridhika na hukumu hio.
Daaaaaaaaah! Watu wote walikuwa wanajua Lau atapotezaa ila sasa ile kupotezaaa rasmiii sasa, na Familia ya mtu kugawanywa rasmiii, kisheriaa, inaumaaa sanaaaaaa. Watu wengi kiliwagusaaa mnooo, japo hawakulia machoni ila moyoni walikuwa wanalia. Na siku ya hukumu Lau alikuja na mtoto wake maskini kamvalisha suit, sare sare na ya kwake. Mtoto hata haelewiii. Lau alilia machoziiiii kabisaaa na kwikwi. Watu wametoka woteee yeye bado kaina pale pale kwenye kiti analia, kwikwi zimembanaaa. Mtoto kuona baba yake analia, na yeye akaanza kulia. Mwana sheria wake anampa moyo tuta appeal hii kesi usiwe na wasiwasi, bado kuna mwanya wa wewe kupata haki yako na kumchukua mtoto wako. Mkewe akaja kumchukua mtoto maana akaanza kulia kwa kurusha tantarum kumuona baba yake analia. Mkewe ana roho ngumu anamwambia "Dont worry Lau, you can make dozen of other babies, its not like you lost your dick or your sperms and you cant have anymore children." Akamchukua mtoto, mtoto yule mama yake akakubali, mwana sheria akamkatalia badoooo huwezi kumchukua huyu mtoto, mda wa makabidhiano ya kisheria bado, na tunakataaa rufaaa, hii kesi ndo kwanza inaanza. Mke wa Lau akasema huyu nimemzaa sasa ukinikatalia labda masaa ma 2, ujue mi mzazi na uchungu nimeona nalia anaumia ndo nimekuja kumchukua nimbembelezee maana babake tena ndo ashakumbwa na msibaa. Lau akajikaza akamwambia mwanasheria wake, mwache tu amchukue.
Watu wakaja kumwambia Lau twende sasa utakaa hapo utalia mpaka saa ngapi, twende hata bar ukanywe bia upungze machungu ndo uanaume. Akajikokota anapepesuka kabisaaa akaingia chooni kakaa lisaa lizima, watu wakasema nyie wanaume wenzie embu vunjeni mlango wa chooni huko hata tukishtakiwa kuharibu mali za mahakama tutalipa faini hio, ukute kajinyongaaa. Wakavunja mlango wakamkuta kaa chini chooni. kanyoosha miguu kabisaaa, kina Gill wakamzoa zoa pale wakaenda ane kwenye gari lake.
Huku nje bado mkewe yupo, na wazazi wake, na mtoto. Harry na Stacy walionana ila wakapotezeana kila mtu busy na mambo yake. Baadae mkewe akaja kumuita waongee private, watu wakamwambia wewe si ushashinda mama unataka mpaka mwenzio ajiue. Lu akasema acha niongee nae, nishapata nguvuuuu. basi Mkewe anamwambia "It is what it is!" Lau anatikisa kichwa tu. Akammuliza so we will be seeing each on the in the appeal i guess. Lau akamwambia Nope! Nakuachia mtoto, i wont appeal, we ukiwa tayari uje umchukue utakuta nimempangia vitu vyoteee, na kumchukulia uhamisho shule, medical records kila kitu. I guess you wont be so stingy nikitaka kumuona." Mkewe akashangaa hato appeal kweli. "Akajikosha Nooooo, i wont be stingy absolutely. Your lawyer said you are going to appeal though?" Lau akamwambia tu "Ndo alivoshauriiii ila i wont appeal sababu in the appeal itabidi mtoto aje mahakamani kila siku, and i cant allow your lawyers to paint me the picture of a villain father, i just dont want my son to remember me that way. I just cant subject to the horrible procedure, aje atestify kuchagua between mom and dad, not a pleasan procedure for a boy of 10. Afu sahivi ana akili na atakumbuka vyoteee. I just want him to remember me as the best father ever! Of which i will always be. Sito appeal, wewe andaa tu safari yenu, please take good care of him." Mkewe akabakia kimyaaa. Lau akamchukua mwanae wakarudi kwenye gari yake. Harry akasema atawa drive.
Stacy alisikitishwa na kuwaza alivomzoea yule mtoto na Lau kwnye ratiba zake itakuwajeee sasa? Na wale ndo kila kitu kwao yeye na Prince. Akajiambia kama Harry asingekuwa so Stingy, mean and rude hata angeanzisha urafiki na kile kitoto chao. Ila daaaah. Akaona daaah bora anende kwa Lau nyumbani akampe mpe kampni na Prince aagane na mwenzie maana ndo basi tenaa ashakosa kaka.
Kufika kule akamkuta ana paki paki nguo za mwanae, anaongea nae, anamueleza tu, now you are going to live with Muumy, mtoto anamwambia i dont wanna live with Mummy i want to live with you, like we always do. Lu anamwambia sikia you are going to USA, education is bette, everything is better there, your Daddy has never been to USA. You should be proud son, and thank God, and be a good boy that i raised you. Mtoto hatakiiiii.
Wakaongea ongea mawili ma tatu, Stacy akamwambia kuna show twende tukapoeze mawazo. Lau akasema no, i ant to spend every last second with my boy, it is very hard. Stacy akamwambia kweli bwanaaa. Mi modd isha haribika kabisaaaa so bora tu niende nikkeshe maana nikisema nilale sitopata usingizi. Wacha nikaruke madebe mpaka asubuhi, daaah mi naumiaaa, nimewazoeaaa sanaa, nimezoea ratiba zetuuu, sijui hata itakuwajeee. Akamuaga Lau kigiza kilikuwa kishaingia.
Akaenda nyumbani, akacheza cheza na Pince mpaka saa 4, akawa amelala, akaona hana hata lepe la usingiziii, akavaa kaamua kwenda kwenye show ya mziki walau apoteze tu mda usiku upiteeee. Akajipendezeshaaa sio kidogo manake usiku nao ukipendeza huwezi jua unaweza pata mtu wa kukuboa boa mda ukaendaaa. Kafika kwenye show inaboa boa, not that ilikuwa mbaya ila akawa anamuwaza tu Lau. Akaletewa kinywaji shots zake zile zile anazo zipenda, akamwambia muhudumu rudishaaa. Muhudu yuko kasema no strings attached.Akajua lazima atakuwa Gill. Akamwambia muhudumu kama hataki kurudishiwa kunywa wewe au mwaga hapo chini. Mhudumu akawa puzzled, akazitelekeza mezani, Stacy akazichukua akazi mwaga. Akaendelea kunywa konyagi yake kavuuu, na inywa kwenye chupaaaa. Mara kibao anaongea mwenyewe. Zinamiminika tu offer. Akamwambia muhudumu sikia we hizi ziweke hapa, nikiondoka zirudishe counter uchukue hio hela muhudumu akaurahi. Meza ikajaa vinywaji kibaooo vya kila aina. Wakaja wakaka naweza kukaa, anawaambia kaa. Mda si mda kazungukwa na wakaka, wanatia story na kuzungusha bia hatari. Yeye wala hayupooo, anakomaa na konyagi yake. Vinywaji vikawa sasa vimefurikaaa mezani, muhudumu akaja kuvitoa vile vya zamani. Moyoni alishukuru laki pale kajipatiaaa.
Baadae akasema ngoja nicheze cheze muziki maana washanikera hawaaa, kufika dance floor, akashangaa mtu kaja kwa nyumaa kambambiaaa na kumkumbatiaaa kabisaa tight kwa nyuma akastukaaa, akasema falasi gani tena huyuuu, akataka kujinasuaa akashindwaaa mu ana grip sio ndogooo. Yule mtu akamsemesha "Unastukaa nini? kwanini umemwaga shots zangu?" Sauti anaijua akajua ni Harry, akarelax kwanza, akawa exited, whuuuuu, kidogo apige ndaga fijo ya sautiii. akajikaza akakumbuka Harry alivojifanya expensive, akasma and i am not cheap. Akamkazia kwani we nani? Mbona tunabambiana kuholela holea wengine wake za watu jamani mtahomwa visu vya makalio oooh" Hahaaaaaaaaa Harry akachekaaa. "Akamwambia mimi mumeo, anichome nani kisuuuu mali zangu mwenyewe" Stacy akacheka na yeye akawa sasa kamuachia upenyo wa kugeukaaa. Stacy akaamuakumchagizaa "Kaka mbona sikujui alafu umenigandaaa, unazibia riziki ujue, mi nipo kazini hapa nauzaaa." Hahahaaa! Wakacheka wote Harry akamwambia "Hunijui ila namba yangu unaijua unakoseaga kutuma sms, ukamhonga dereva wangu, ushaukalia sanaa mpini wangu kweli hunijuiii hata mi naonaaa." Stacy kusikia mpini umetajwaaa, akasema ile siku ndo leooo ya kupata mbeguuu kama mbingu tu zimechekaaa, nisijivunge wala nini it is now or never.
Wakawa wanacheza Stacy anacheza kichokozi tuuuu, anamkatia maunooo ya hatariiii. Mara amshike dusheee katika huko huko kuchezaa ile kumuonesha mwanaume nipe mpini huooo, kwani tatizo nini? Harry akawa anadata kweli na ile mitegooo, na kumuona Stacy was begging for it, kuka mturn on vibaya mnooo. Akajisemea nispokulamba leo nitakuwa bwabwa tena naliwaaaa. Leo kesi baina yetu ina ahirishwa, nakula mzigo kesi inarudi pale pale. Nae nyege degree 90, kitu kimedidnaaa, anamshika shika mpaka basiii, ila akataka mpaka Stacy atamke begging for it ndo ampe. Bila hivo watacheza mpaka asubuhi na vile vile sabuni zipo. Hahahaaaa! Stacy akashindwa kuvumiliaa, akamwambia baby twende hotelini, i am so hornyyyy. Moyoni Harris akasema safi sanaaa. Akamwambia nakuja. Akaenda chooni. Akarudi. Wakaendelea kuchezaaa, Harry akaamua ku raise the bar to maximum level kumpima tu jotoooo.
Akamwambia "Stacy mi nina mke sahivi na mtoto, siwezi kuwa naingia hoteli kiholelaa holelaaa,afu mi ni maarufu hapa mjini, naweza kupigw picha naingia afu nikatolewa gazetini it is not safe kwa kweli. Kama hivo bora tuache au twenede nyumbani kwako. Stacy akashtukaaa, akajua ushenzii tu wa Harry anamjaribu ili asuseee apate sababu akamkumbuka Lau kwamba mda wote atakuwa anakutafutia sababu. Akajisemea hata sisuis ngoooo. Akamwambia "Lakini Harry si unajua mi na mtoto na dada wa kazi, sasa kwangu unafikiri utatoa picha ganiii kwa wale viumbeee? Ila twende sio kesi si umeamua bwanaaa twendeee." Harry akatabasamu japo he felt very crooked moyoni kwa karata ile sema Stacy being ready to do anything ili tu alale nae it turned him on zaidi. Wakafika wakaingiaaa mpaka chumbani kwake. Bahati Prince alisha muhamisha chumba japo siku zingine ana lala nae.
Kufika na kufika mtanange ukaanza, kila mtu kam miss mwenzieee sio kidogooo. Stacy akawa anaend akimya kimya anaogopa asije kuongea ikawa ndo sababu ya mpambano kusitishwaaa. Harry kumuona Stacy yupo kimya kajsiemea aaah hii ndo mechi ya kimya kimya sio, haina mbaya natambaa na beat. Wameenda kufika sasa mambo yaanze rasmi. Harry katoa condom kwenye mfuko wake wa jeans. Stacy ukimya ukamshindaaa kabisaa, yeye shida yake mtoto condom wapi na wapi? Akaanza kuongea tu anamuomba, baby mi na allergy na Condom. Hahahaa! Harry anamwambia"Mda mrefu umepita tutaaminianaje kireja reja kama hutaki mpira basi." Stacy akasema bora iwe basi tuuu, sasa kuna faida gani yeye kutoa mechi. Akamjibu tu kiupole Basiiii. Stacy akachukua khaga yake akaenda kuoga. Harry hakuitegemea ile basiiii ikawa ime mthrow off propotion, akawa kabakia pale pale kitandani anajishauri he pushed the bar too far sasa im break kiukweli na yeye mechi alikuwa anaitamani sio kidogoooo. Akafanya mamuzi magumu.
Akamfata huko huko bafuni, bila maongezi wala majadilino akamvaa mzima mzima, akaikumbuka ile scene yao ya shower, utamu wake ni mkubwa kuliko hata alivokuwa anakumbukaaa. Hakutaka kuirudia kama ilivoo. Alivoona mtoto kalegea akamvutia chumbaniii, na maji yake kwnye shuka one way. Dozi inaendlea. Stacy anafurahi sanaa kwamba leo Mbingu zikicheka atapata mtoto labdaaaa. Akataka kuingiza, Stacy akamshikaa kwanza. Harry akamuuliza "ndo unanikagua kuhakikisha sijavaa condom? heheeee" Satcy akamjibu "huaminiki hushindwi kuwa umeivaa ki silencer. Hahahaaaaa" Wakacheka wote tuuuu. Mchi ilikuw kali sio kidogoooo. Balaaaaaaa. Stacy ndo aliifaidi maana safari hii hana guilty ya kumcheat Gill wala nini. Aliifaidi hatua kwa hatuaaaa. Akasikia baby im comming, akajisma hapa hapaa finally napata hizo genes. Haikuwa kazi rahisi, akajitegesha vizuriii ziiingie vizuriiii.
Ghafla akastuka mwezie katoa nje kamwaga njeee, zoote, kakunguta kabisa ndo karudi ndani. Afu akabaki huko huko ndani. Tobaaaaaaaaaaaaa! Stacy Alichokaaaaaaa, mwili na roho. Hio ilikuwa MISSION IMPOSSIBLE 5. Hahahaaa! Akakoksa hata cha kusemaaa. Harry anamuuliza mbona umepoa ghafla, au mechi hujaipendaaa, Stacy akajitabasamisha kiuongo uongo ila moyoni alikuwa hana hamu nae.
Akaamua kutokaa kukata tamaa, lasivo mipango yake itakuwa haikamiliki. Kama vipi atambamba cha asubuhi, pale atamfanyia ufundi wa hatariiii atakuwa hana pa kutokeaaa, na usingizi ule, tena anamuanzia usingizini ili awe kama anaot ota. Hakutaka kufa kurahisi. Wamelala wamkumbatiana kabisaaa. Usiku mzto Stacy akaanza kumchokozaa Haary na usingizi ule anasikia raha hatariiii. Stacy yupo we jinyegeshe tuuu ila safari hii mjanja mimi. Katika akaamka akabisaa na kutaka show aisimamie yeye mwanaume jamaniiiii! Wakati show ya mwenzie, wakaa wana conflicting intrest kabisaa kila mtu anataka kusimamia show. Hahahaaa! Stacy plan zake zoteee yule afike wakiwa position ya woman on top amabayo anajua haweziii na hatokuwa na ujanja wa kumwaga nje. Jinsi atavomkaliaaa sijui atafanyaje amwage nje, sijuiiii. Akamuavhia aongoze show mwanzo ila mwisho lazima mwisho aisimamie mwenyewe.
Wakaenda alivoona anazidiwa akamuwahi na woman on top, anampa mauona ya fasta fasta ya hatari ili aloose control amwage ndani. And it was working, you could tell Hrry alikuwa anapotezaaa. Kuona anapotezaaa akasema huyu nammwagia ndani, akakujikumbushaa mambo mabaya mabaya yalyowahi kutokea baina yao kama kumwambia inabidi umwambie Gill una mimba yangu, akajibiwa nipe muda yle mtu wangu wa mda mrefuuu. Akapata nguvu za hatari akaji binua upandee, akamwaga nje tenaaaaa. Stacy akaanza kumtukana, na Harry nae anamtukana wanatukanana matusi ya nguoni. Harry akavaa nguo zake akaondokaa. Stacy akaenda kuoga akaona kafanya kazi ya kanisa tu. Akawa ka kaa kitandani hana hamuuuuu.
Ikaingia sms, akaiwahi haraka haraka huenda Harry anamuomba msamaha yaishe saa 10 ile nani mwingine atume sms?. Akakuta Gill, akaifungua akaisoma akabakia kinywa wazi. "MY WIFE IS SERIOUSLY DIVORCING ME, I NEED TO TALK FOR OLD TIMES SAKE. I HAVE NO ONE TO TALK TO"
ITAENDELEA SAA 3 USIKU.