Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,020
- 454,039
Hellow cuzoo ile nyimbo uliyowekewa kule hujaiona auHi! !
Hellow cuzoo ile nyimbo uliyowekewa kule hujaiona auHi! !
hahaha eti ni bora ufe kiume ndio inavyotakiwa lakini ila kila mtu na kipaji chake aiseeNipo Mama Yeyoooo, napambana hatari..kufugwa nako kipaji. Wengine makabila yetu kufugwa mwikooo hata kama hauna mia, bora ufe kiume. Si umeona watu wanauliza hadi kabila la MOTP wakati tulishamsahau kitambo? Wahenga wameamua kufukua makaburi
hahaha eti ni bora ufe kiume ndio inavyotakiwa lakini ila kila mtu na kipaji chake aisee
Sijaiona iko page number ngapiHellow cuzoo ile nyimbo uliyowekewa kule hujaiona au
hahaha eti ni bora ufe kiume ndio inavyotakiwa lakini ila kila mtu na kipaji chake aisee
Mie nimeingia nimeikuta haipo page nyingi kurudi nyumaSijaiona iko page number ngapi
baba yeyoo sijaukataa si nilikuruhusu utume lakiniSi unaona kama wewe umeukataa ubuyu wa babu Issa ukajua una strings attached, ule ubuyu tu, hakuna chochote cha ziada....
Unatakiwa ujiamini kama msomali hapo baba yeyoo si unaona anavyopiga show ya kibabeKwanza ukinifuga sijui kama ntaweza kupiga mechi...naanzaje sasa. Unyonge utanila mnoooo
Unatakiwa ujiamini kama msomali hapo baba yeyoo si unaona anavyopiga show ya kibabe
Sikatai..mie show inakua ya kiwanfo kama mambo mengine yamekaa sawa. Stress za kufugwa haziwezi kuzoeleka..
Kwa uvivu hawajambo tatizo mamwinyi mara mia wasambaaUmewachana wabondei Lara hatarius
Kwa uvivu hawajambo tatizo mamwinyi mara mia wasambaaUmewachana wabondei Lara hatarius
Nipo best majukumu yametubananisha but tuko pamoja kuleee
Kufukua makaburi kuna raha yake aiseehMsifukue Makaburi
Kufukua makaburi kuna raha yake aiseeh
Hahaa yule si alikua mlokole lakini??...acha tu nasubiri mtanange wa Dee na msomali kwakweliNasikia MOTP ameokoka, si unaona na Kubwa la Maadui anatangaza habari njema? Tuyaache yaliyopita kwa sasa tujikite kwa Msomali na Dee...