Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Chief, subiri vumbi litulie huenda ukaona vitu kwenye mwanga bora! Kumbuka Msomali alikua na mipango mirefu...tupe muda tu.
Tatizo lenu mnamchukulia poa FATHER OF THE YEAR!

Mnafikiri yeye amekaa tu idle wakati msomali anaplan upuuzi wake?

Dee is always flying under the radar!

- KANA -
 
Tatizo lenu mnamchukulia poa FATHER OF THE YEAR!

Mnafikiri yeye amekaa tu idle wakati msomali anaplan upuuzi wake?

Dee is always flying under the radar!

- KANA -

Dee mishe anaziweza na kweli yuko safi ila kwa sasa hamsogelei Msomali. Mbaya zaidi dharau na maneno ya akina Dee, espy na kundi lake ndio yalizidi kumpa Msomali hasira za kujikita kusaka pesa!
 
Dee mishe anaziweza na kweli yuko safi ila kwa sasa hamsogelei Msomali. Mbaya zaidi dharau na maneno ya akina Dee, espy na kundi lake ndio yalizidi kumpa Msimali hasira za kujikita kusaka pesa!
Aendelee tu kusaka pesa, wenzie wanasaka pesa na wanatunza familia.

Yeye aliona atelekeze familia ili asake pesa.

He made his own bed, he gotta sleep on it!

- KANA -
 
Aendelee tu kusaka pesa, wenzie wanasaka pesa na wanatunza familia.

Yeye aliona atelekeze familia ili asake pesa.

He made his own bed, he gotta sleep on it!

- KANA -

Unamkumbuka Betina? Influence yake kwa Sally naona kabisa kwamba unagoma kuitambua mkuu. Lakini mwisho wa siku Sally ndio mwamuzi wa mwisho, kumbuka kuna Tonny nae sio haba...tena yule kafanya kazi kubwa kulijo hata huyo Dee.
 
Tonny hajawahi kupendwa na Sally! Mwenyewe tu king'ang'anizi chake.

Na Betina nae sio wa kuamini sana, usije shangaa ukisikia kamegwa na baa Jolene

- KANA -
 
Tonny hajawahi kupendwa na Sally! Mwenyewe tu king'ang'anizi chake.

Na Betina nae sio wa kuamini sana, usije shangaa ukisikia kamegwa na baa Jolene

- KANA -

Ni kweli mwanzi Sally hakumpenda kabisa Tonny, lakini kaka wa watu alifanya shughuli pevu hadi Sally akakubali mwenyewe kiroho safi lolote litakalotokea yuko radhi. Sally anaweza asimpende Tonny ila ana deni kubwa sana kwake.
 
Ni kweli, but life is damn too short to pay back all the people out there, for what they've done to you!

- KANA -
 
Tatizo sio Msomali..mlimnyanyasa sana msomali mkamuita majina yote mariooo n.k sasa itabidi mnyamaze tu. Hakuna namna. Pesa ipo na mtoto wa kwetu, upepo usipobadilika Sally nae tunaweka ndani. Kumbukeni Betina atakua upande wetu...
Baba yeyoo nakusalimia tu mimi
 
Back
Top Bottom