Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Kwanini mnalea mtoto wa watu? Tena mmeng'ang'ania hadi ugomvi. Baba mtu kesharudi...
You guyz should be thankful.

Msomali amemkimbia Sally akiwa mjamzito, kashonwa nyuzi huko chini, kapata stress kibao!

Bila comfort ya Dee pengine angesha abort au angepata matatizo zaidi.

Dee kasimamia show mpaka Sally amestabilize. Kama kutia mimba hata chizi wa milembe wanaweza. Tatizo matunzo.

Now stop the mocking and hail to the FATHER OF THE YEAR!

- KANA -
 
Tonny was there though. Hizo care angezihamishia tu kwa mkewe na mwanae
 
You guyz should be thankful.

Msomali amemkimbia Sally akiwa mjamzito, kashonwa nyuzi huko chini, kapata stress kibao!

Bila comfort ya Dee pengine angesha abort au angepata matatizo zaidi.

Dee kasimamia show mpaka Sally amestabilize. Kama kutia mimba hata chizi wa milembe wanaweza. Tatizo matunzo.

Now stop the mocking and hail to the FATHER OF THE YEAR!

- KANA -

Bottom line, we own and run the show!!
 
Team Msomali hamueleweki mnataka nini!

Wakati mnamfuga huyu average Joe mlikua mnajikosha eti love and care ndo kila kitu!

Katelekeza familia kisa vijisenti, tayari mmeshabadili gia. Eti mshakua team pesa hahaaa!

Na mkitaka ligi mtaishia jela, zile smuggling business zitawatokea puani!

- KANA -
 
Tena asikumbushe machungu...hawa si ndio kama akina Mzava kujitia kupenda na kujali wake za watu...hahahahaa
Haha ana mkewe kule anampenda hatari, ila anajikuta ana kimbelembele na mke na mtoto wa mwanaume mwenzie. Apambane tu na mkinga wake, uzuri Pendo is going nowhere haha, atamsaidia sana Msomali kurudi into his rightful place
 
Team Msomali hamueleweki mnataka nini!

Wakati mnamfuga huyu average Joe mlikua mnajikosha eti love and care ndo kila kitu!

Katelekeza familia kisa vijisenti, tayari mmeshabadili gia. Eti mshakua team pesa hahaaa!

Na mkitaka ligi mtaishia jela, zile smuggling business zitawatokea puani!

- KANA -
Tuwacheeeeeeeee
 
Back
Top Bottom