Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Bado nawaza ile harusi alioenda kuhudhuria isijekuwa ndo yeye alienda kuoa(naomba iwe hivyo
emoji2.png
emoji2.png
)...
Kwa micare ile ya Dee naomba awe amembandua tu
Weweee ambandue vipi unataka atubemendee mtoto eeee
Hajala kitu apoo kwanza wote wawili wali care sema tuu ndo ivyo kutesa kwa zamu
 
Hio saa 9 haitaki tu kufika....... Yaani ningekua sally ningeenda kwa msomali,
Ninge mpaka upupu
Ninge vuta minguo aloivaa adi ichanike
Ninge parua usoni hadi uzuri usionekane
Alafu ndo ningeanza kumsikiliza explanation yake

Mi kunamuvi huwa nikitaka hasira inipande naangalia na kuna episode nikitaka hasira inipande nasoma, sasa io episode anayo rudi msomali hasira imenipanda kabla sijaisoma

naomba mungu aje na maelezo mazuri labda tamuelewa sio kama Mike
Yaani ungemalizia kabisa aende na kisu amchome au amgonge na gari afweee
 
huyu mwandishi kuna siku ntamshusha shipa la kike!!
yaani mi nakesha kusubiri kweli afu hatupii!?kama ni huyo msomali na afe tu pamhmbaaaaf!
 
Hio saa 9 haitaki tu kufika....... Yaani ningekua sally ningeenda kwa msomali,
Ninge mpaka upupu
Ninge vuta minguo aloivaa adi ichanike
Ninge parua usoni hadi uzuri usionekane
Alafu ndo ningeanza kumsikiliza explanation yake

Mi kunamuvi huwa nikitaka hasira inipande naangalia na kuna episode nikitaka hasira inipande nasoma, sasa io episode anayo rudi msomali hasira imenipanda kabla sijaisoma

naomba mungu aje na maelezo mazuri labda tamuelewa sio kama Mike
Na anayo maelezo mazuri wala usijali
 
Nimeipenda hiyo
Hio saa 9 haitaki tu kufika....... Yaani ningekua sally ningeenda kwa msomali,
Ninge mpaka upupu
Ninge vuta minguo aloivaa adi ichanike
Ninge parua usoni hadi uzuri usionekane
Alafu ndo ningeanza kumsikiliza explanation yake

Mi kunamuvi huwa nikitaka hasira inipande naangalia na kuna episode nikitaka hasira inipande nasoma, sasa io episode anayo rudi msomali hasira imenipanda kabla sijaisoma

naomba mungu aje na maelezo mazuri labda tamuelewa sio kama Mike
 
Msomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapo
Yan mulemule
 
Back
Top Bottom