carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
HahaaNimedislike
HahaaNimedislike
Si kwa mi care ile lol...acha tu wakati mwingine watamani ungekuwa wewe kwa character[emoji1][emoji1][emoji1]Ahahhh kweli ujue
Acha kabisa nimpende Sally na Dee jaman msomali ukufweSi kwa mi care ile lol...acha tu wakati mwingine watamani ungekuwa wewe kwa character[emoji1][emoji1][emoji1]
Msomali ovyo tu,mkimbizi yule kwanza natamani agongwe na gari[emoji57][emoji57]Akamlee tuu mtoto wake na pendo tena waongeze na mwingine..... Sally tumuachie msomali huhuhuuuuuuuuu
Mkinga anaroho mbaya yule sijapata kuona yani yule ndo angeendana na mkimbizi wenu[emoji23][emoji23][emoji23]Teh mwanamke komaa na ndoa yako
Teh haachiki mtuMkinga anaroho mbaya yule sijapata kuona yani yule ndo angeendana na mkimbizi wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu team Deenampenda Dee
Lara puliiizii msomali agongwe hata na gari akufwe[emoji23][emoji23]Acha kabisa nimpende Sally na Dee jaman msomali ukufwe
Hata mimi nasema akufwe tu!Lara puliiizii msomali agongwe hata na gari akufwe[emoji23][emoji23]
If wishes were horses. ... Tonny tu kawajambisha, sembuse msomali tehKiuhalisia, tusingeweza kumfata msomali mpaka Dubai kumshkisha adabu. Labda kama mama mchungaji angekutana nae Doha!
Ila Mungu sio Heaven sent wala Qurie, al-shabab kajileta mwenyewe!
We gon kick him where it hurts the most. He can't be lucky all the times, he ain't Jesus's nephew!
- KANA -
Tonny anatabia za kimama[emoji57][emoji57]If wishes were horses. ... Tonny tu kawajambisha, sembuse msomali teh
Msomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapoKiuhalisia, tusingeweza kumfata msomali mpaka Dubai kumshkisha adabu. Labda kama mama mchungaji angekutana nae Doha!
Ila Mungu sio Heaven sent wala Qurie, al-shabab kajileta mwenyewe!
We gon kick him where it hurts the most. He can't be lucky all the times, he ain't Jesus's nephew!
- KANA -
Ila am thinking loud itakuaje kama msomali atakua na mke tayar uko aliko enda uwiiii ntaomba Pendo ajiachishe tuu mwenyewe kwa DeeIf wishes were horses. ... Tonny tu kawajambisha, sembuse msomali teh
Ni full picture tu kwa kweliMsomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapo
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Utakula sana mahindi mwaka huu
Bana tusiwaze hivyo. Msomali hajaoa bado[emoji13] [emoji13] [emoji182]Ila am thinking loud itakuaje kama msomali atakua na mke tayar uko aliko enda uwiiii ntaomba Pendo ajiachishe tuu mwenyewe kwa Dee
Kwa micare ile ya Dee naomba awe amembandua tu[emoji23][emoji23][emoji23]Msomali kaja kufata chata yakeee na Lara hajatuambia kama Sally amesha Fanya kwanzia ajifungue so atakua na ugwadu sio Wa nchi hii action ya kwanza watapiga game moja kabambe na msamaha utapita hapo hapo
Bado nawaza ile harusi alioenda kuhudhuria isijekuwa ndo yeye alienda kuoa(naomba iwe hivyo[emoji2][emoji2])...Ila am thinking loud itakuaje kama msomali atakua na mke tayar uko aliko enda uwiiii ntaomba Pendo ajiachishe tuu mwenyewe kwa Dee