Gertie
Member
- Jul 17, 2012
- 55
- 53
Kumbe umeona alivo mzinguajiSally kiboko, anasema hajawah mkataa mwanaume? Mbona alimkataa Dee kisa hana maisha hadi mshkaj kazamia DRC.
Pole kwa safari Lara 1.
Hii inaitwa KUTOKA UGHAIBUNI.
huko ughaibuni ndo staili zao hizi. Kama wanaendelea vile........ Kumbe ndo washamalizaaa!
- KANA -
Subiria hogo from Somaliland Mogadishu!!Kitu kitamu ila kidogo kimeishia njiani........
Asante mama LA mama
Itakuwa kamfuata msomali sio bure!!!Hii inaitwa KUTOKA UGHAIBUNI.
huko ughaibuni ndo staili zao hizi. Kama wanaendelea vile........ Kumbe ndo washamalizaaa!
- KANA -
Hogo sitaki mieee sijazoea ya vikubwa Vya kisomali nsijekushonwa ohoooSubiria hogo from Somaliland Mogadishu!!
Ndugu yangu hapa bado naona. Fanani tuonee huruma jamani!Badoooooo
UNYANYASAJI!!Jamani sio kusudi nilikuwa busy mnooo! Leo nitakuwepo online kuwaletea mambo mnayoyapenda
Lara jamaanJamani sio kusudi nilikuwa busy mnooo! Leo nitakuwepo online kuwaletea mambo mnayoyapenda
Kwa kuwa ni naiti, leta Dude LA Xxxxxx.Mjue na fanani na mie NAPAMBANA NA HALI YANGU.