The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,059
Yani hata mtoto asipokuwa wa msomali, bora tu awe wa Tonny
Dee atavumilia na kuiacha mimba istawi hadi Sally ajifungue mtoto?
Yani hata mtoto asipokuwa wa msomali, bora tu awe wa Tonny
Hapo ndo nimeanza kuwa na wasiwasi, let's pray mweehDee atavumilia na kuiacha mimba istawi hadi Sally ajifungue mtoto?
Haleluya!!!!Jamani shukuriwe Mungu alie hai, Mama ubaya nimefika salama salmini. Sasa kifatacho ni one for the road.
Watu pipooooo weekend itakuwa mutribJamani shukuriwe Mungu alie hai, Mama ubaya nimefika salama salmini. Sasa kifatacho ni one for the road.
Kweli kabisa, ila huyu Msomali wetu yuko fit kweli au anatoa povu?...hili linaniumiza sana ila mara millioni mtoto amekua wa Tonny na sio Dee.
Ameen Mungu yu mwemaJamani shukuriwe Mungu alie hai, Mama ubaya nimefika salama salmini. Sasa kifatacho ni one for the road.
Let glory be to Almighty hallelujahJamani shukuriwe Mungu alie hai, Mama ubaya nimefika salama salmini. Sasa kifatacho ni one for the road.
Ngashtuka huyu Lara 1 itakua yuko na msomali kitu full picture c bure mweeh!