Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ahahhahah
Ahahhahah
Baba yeyoo asante jaman
Teh Rafiki mbona kama unaniovatekisha?! Nipo nilipoishia page ya 68 big cassava sijaifikia.. Nasoma nukta by nukta siachi kituu ndo naenjoi storyPole sana, ndio uwe makini umesikia big cassava zinaacha maafa wakati wa ujauzito..msifurahie tu full picture na uzazi ungalipo.
Inshallah Mola akurudishe salama lara. Alafu uage unasema unaleta bidhaa gani.. Man of the people na ukoo wake wote wa humu watanunua.. Si lazima uwepo ww.. Unatuelekeza sehem ya kuchukulia afu unampa ata mpemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa samahani kwa usumbufu.....Sweetheart, usiquote post ndefu namna hii. Kwa watumiaji wa simu inasumbua sana Ku scroll down hizi post ndefu!
Have a nice day!
- KANA -
Dah maskin mpemba!! Naona atakua anabaki tu ofisini. Karata dume zote zimemuangukiaMwambie Bi Mkora, anaweza akawa anaweka commercial brake anatandaza bidhaa hapa watu wanapiga vitu vya ukweli kama Msomali na Dee. lara 1 fanyia kazi huu ushauri ila chondechonde mpemba asiwe wa kuwasambazia mzigo hawa wadada wa JF, utampoteza asubuhi kabla jogoo hajawika.


nyuchi zote za field kashazikosaDoooh
Acha ni save comment yangu ya leo
Ushaambiwa huko chini kuko wazi, muda wowote mambo yanaharibika!
- KANA -
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sijaona mahali palipoandikwa mimba ni ya msomali.
So, inaweza kua ya Tony!
By the way, mpaka mtu kashonwa huko chini sio masihara. Msishangae kusikia Miscarriage!
![]()
![]()
![]()
![]()
- KANA -