The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
KLM na wakinga haziivi kabisaaaa. Kila ubuyu wenye mkinga lazima awaangushe tu...
Bado naogopa kutia neno kwakweli,huu upepo waweza stukia mguu wa punda huoo umezamaBado tu unaogopa kutia neno?
Ndio auntie yangu huyo Baba yeyoo mzoee tu
Hiyo mitulinga baba yeyooWewe si ulisema bado mdogo haujui mambo? Mbona unashangaa ? Au wewe hauji control?

Hiyo mitulinga baba yeyoo![]()
![]()
Bado naogopa kutia neno kwakweli,huu upepo waweza stukia mguu wa punda huoo umezama
Huyu ndo KLM mwenyeweNa kweli. Huyu mama ubaya haoni shida kabisaaa. Yeye amekamata remote anapeleka dude anavyotaka mwenyewe.
Baba yeyoo jaman hapo umenipoteza kabisa hivi umemaanisha niniHahahaaa ndio ivo ujicontrol! Ukijidai full picture sijui nani on top uandae na daktari ukiwa mjamzito
Baba yeyoo jaman hapo umenipoteza kabisa hivi umemaanisha nini
Imebidi tu, sio kwa hizi mimba zisizoeleweka!Kwani swahiba toka lini umekua team roho mbaya?
Imebidi tu, sio kwa hizi mimba zisizoeleweka!
![]()
![]()
![]()
![]()
- KANA -
Sasa Dee alikua njema, Msomali nae si haba. Si umeona hadi walikua wanaweka vikao vya senator kwamba full au passport? Mie mhenga nawaza huenda hiyo ndio sababu japo sio mara zote.
Team msomali siku zote hata ukamilifu wa dahariMbona mie sipendi umarioo lakini nimebaki kwa team Msomali? Kampani kuuubwa kutoka kwa Heaven Sent
Team msomali siku zote hata ukamilifu wa dahari
Yani hata mtoto asipokuwa wa msomali, bora tu awe wa TonnyKweli kabisa, ila huyu Msomali wetu yuko fit kweli au anatoa povu?...hili linaniumiza sana ila mara millioni mtoto amekua wa Tonny na sio Dee.