Weekend Story! Glory Be To God!

Mmmmmmh!!! Mara nyingi debe tupu huwa haliachi kulia lia. Hizo sifa ulizojipa zimenitia hofu.
 
Mmmmmmh!!! Mara nyingi debe tupu huwa haliachi kulia lia. Hizo sifa ulizojipa zimenitia hofu.
Sasa utakula jeuri yako.

Endelea kujicontrol

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

- KANA -
 
Thanx @ lara,nasikiaje usingizi????,najitahidi kusubiri,guys,u will have to tag me!,
 
No mi nlidhani watu wata vunga
Kifupi sikuwa na chaguo

Wavunge tena? Hapo umeona kabisa hadi makasisi wamepitisha muswaada kwa kishindo..we under 18 endelea kupata tuisheni tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kujeni hukuuuuu

Kuna mtu kaokota dodo chini ya muarobaini.

Yani msomali kasimamia kucha all that long lakini wapi, huyu bwege kugusa tu imoooo!



- KANA -
Mimba ya msomali mechi ya kwenye gali hiyoo sio ya huyo Tonny[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Maseneta watakupiga vikwazo vya kudumu muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…