Weekend Story! Glory Be To God!

uyu msomali apatikana wapi yakhee so kwa ulivyomnogesha ivyo

Msomali kawa msomali kweli, kapigwa iliki, pilipili manga, mdalasini, giligiani, ndimu, ukwaju, chachandu, ukali, pilipili hoho kwa mbaaali...
 
Sio kwamba namtetea, bingwa naenda nae mafundisho kipaimara, maombi, katekism, kwaya..sasa kwanini nisimtetee na sometimes ananipiga injili tunajengana katika safari...

Haaa I doubt hayo mafundisho!!! Lara alivo Mwingiiiii wa habari huyo anaanza tu!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]!
 
Kuna hiyo moja hiyo nimeisahau tittle aisee
 
Wacha we!!!
 
The grass is always greener on the other side ile part1, Workaholics pia ilikua noma. Bila kusahau the man himself MOTP

- KANA -
 
Unajitetea eeeh!! Kwenye story mpya mie ndio nitakuwa msimuliaji.
 
The man of the people lile dude siyo la kitoto nililielewa sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…