Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Msikate tamaaa nipo na dude nashushaaaa! Kuna story mpyaaaa! Jituuu kama MOTP story zake! Anakwambia kala wadada karibia 50 wa humu jf eti si kwa nia mbayaaa! ALIKUWA ANATAFUTA MKE. Mtaniuaaaaa kwa kusimuliaaaa. Kitu cha THE WIFE HUNTER KINAKUJAAAA. Na bado hajaoaaaa.

kuwa W ndo ile character tunatumia ID za humu. Samaritan ndo TWH! Afu Samaritan ana kesi ya kumu impersonate Man Of The People na kujilia nyuchiii za kutoshaaa. MOTP Kahifanya ghost inavosemakanaa lakini. Mzee mzima Samaritan kuhisiwa hisiwa MOTP akaona fursaaa ndo hio. Akajivisha uhusikaa. Kala kala nyuchi si haba inavosemekana lakini.

Ila wanawake sisi, come on! Hivi MOTP aneweza kuwa Samaritan our pal LIKE SERIOUSLY!!! Hahahaaa! Mda mwingine mnajiingiza kingi wenyeweeee.
 
Haya,japo nna usingizi sana aisee!
 
Watu wameingia king kwa Msomali hadi wanamuota mchezo? Ahsante KLM kwa kuweka kumbukumbu sawa, mie mchungaji iweje leo wanihisi MOTP yule alikua dracula. Huyu TWH si itakua balaa zaidi?
 
Msikate tamaaa nipo na dude nashushaaaa! Kuna story mpyaaaa! Jituuu kama MOTP story zake! Anakwambia kala wadada karibia 50 wa humu jf eti si kwa nia mbayaaa! ALIKUWA ANATAFUTA MKE. Mtaniuaaaaa kwa kusimuliaaaa. Kitu cha THE WIFE HUNTER KINAKUJAAAA. Na bado hajaoaaaa.

kuwa W ndo ile character tunatumia ID za humu. Samaritan ndo TWH! Afu Samaritan ana kesi ya kumu impersonate Man Of The People na kujilia nyuchiii za kutoshaaa. MOTP Kahifanya ghost inavosemakanaa lakini. Mzee mzima Samaritan kuhisiwa hisiwa MOTP akaona fursaaa ndo hio. Akajivisha uhusikaa. Kala kala nyuchi si haba inavosemekana lakini.

Ila wanawake sisi, come on! Hivi MOTP aneweza kuwa Samaritan our pal LIKE SERIOUSLY!!! Hahahaaa! Mda mwingine mnajiingiza kingi wenyeweeee.
Hahahaaaaa!!!!
Heaven Sent njoo ujichagulie character kabisaaa maana sio kwa balaa hili linalokuja.

Samaritan ndio maana kumbe umekazana kweli na auntie yangu Shunie!!! Kumbe unamdanganya we ndio MOTP!!!! Ole wako!!!!!!!!
 
Saa 2:42 Am hii Dada lara 1 hujatokea..
Anyway humu jf kuna mambo nasubir kitu cha wife hunter maana sio kwa promo hio ulo andika

Anasingizia watu bure huyo, aseme tu Msomali keshafanya vitu vyake...ndio maana anasuasua huku kwenye ubuyu. Na kama alijaribu full size badala ya passport sipati picha hiyo POP wameiwekaje madaktari. Kuna maeneo yana utata
 
Hahahaaaaa!!!!
Heaven Sent njoo ujichagulie character kabisaaa maana sio kwa balaa hili linalokuja.

Samaritan ndio maana kumbe umekazana kweli na auntie yangu Shunie!!! Kumbe unamdanganya we ndio MOTP!!!! Ole wako!!!!!!!!

Aunt yako anataka ubuyu wa babu Issa tu. Ndio maana nikaona isiwe tabu, nikutumie wewe umpatie.

Mama mchungaji ameamua tu kuntilia wivu, MOTP atakua Samaritan ndugu wasomaji? Naona tu KLM ameamua kuweka commercial break wakati anasikilizia uchovu wa Msomali wake..
 
Yangu majicho tu Team Dee hoyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili movie lishaingia dosari mwamba, naona ukungu tu kwenye mwendelezo. Huyu mama mchungaji kuna namna sio bure.. kana alishashtuka mapema kwamba sadaka inatafutwa hapa. Dude linataka kufika tamati utukufu kwa Bwana sijauona kabisaaaaa ...tumeishia kupiga show Jumapili tu.

Sasa ili kupunguza machungu, mie ndio nimekua mbaya eti of all the people!
 
Back
Top Bottom