Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Hahahaaa weekend Mama, au unataka niharibu tena? Tunatibu majeraha....huyu Shunie anahofu bure, nimeokoka waungwana naomba mnielewe. Sasa hivi ni mimi na KLM tu kumsifu Mungu.

Niwekee kumbukumbu sawa kwa binti yako kwamba sikughairi bali niliheshimu katazo la mahakama kutoka kwako.
Unatafuta visingizio eeh!!!
 
Same here[emoji137] [emoji137] [emoji137]

Mtu mzima mwenzangu title ya hili dude na content zinabalance kweli? Bado napapasa papasa nakusubiria kwa hamu sehemu za utukuzaji wa Muumba kama naona chengachenga kabisaaa!
 
Muulize viziri Aunt espy akwambie ukweli. Ananisakizia kesi tu ila ukweli anaujua yeye mwenyewe. Mie mtumishi siku hizi sidanganyi..mambo ya Msomali tupa kule! am Jesus boy! Ni wakati wa kumrudia Muumba
Wacha we!!!!
 
Back
Top Bottom